Blood of Jesus Christ
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 538
- 984
MK ni mkoa gani mkuu??(Nilinyala)unatokea Mk sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MK ni mkoa gani mkuu??(Nilinyala)unatokea Mk sio
Maybe...Hizo ndo type zako.
Ungemuuliza tatizo nn,,,unaweza kuta n ugonjwa tu wa tumbo,,,unaohitaji matibabu
Unaundugu na Tshala mwana..?[emoji23][emoji23]
Nakubaliana na wewe lakini most Of Afrikan Girls swala la wao kuwa independent ni tatizo hapa si kwamba nawasema vibaya hapana ni mifumo tu ya kimalezi na tamaduni zetu yaani Elimu ya pesa inatupiga chenga sana kwa wote
Kuhusu hao wanaume ambao wanatelekeza Familia na kuweka matumizi kwa michepuko kisa mwanamke ameamua kuwa independent wana matatizo makubwa sana kwenye Bongo zao na namna wanavyo fikiria
Yet wanawake independent wapo sana Afrika na Tanzania ikiwepo lakini wengi wao huwezi wakuta kwenye Millenia’s Wengi ni wamama ambao umri wao umekimbia kidogo
Hawa millennia’s wengi wapo carried away na fantasy za movie, trend za mitandao ya kijamii na the likes
Hahahha [emoji23][emoji119], kudaadeki walahiTuache masihara. Mdada mzuri sana nilipata mwenzenu mji kasoro bahari.
Tatizo ana kidude cha kati kubwa km mkuyenge. Na tukifanya anamwaga zile nziitooo! Km mwanaume. Mambo yake ni misuri misuri tu. Anaweza kmata ndama mkubwa tu kwa mkono mmoja. Yuko tayari kuzichapa na mimi km nik muudhi. Ana history za kupigana na kaka zake
Akikamua ngombe anazuia kwa mikono. Hafungi ndama.
Niliondoka bila kuaga
Good. Wewe sio mchangiaji kabisa humu
Bro ukiona hadi leo hujaanzisha mahusiano ujue dawa ilaanza kukuingia na unaanza kumkumbuka sasa. Chezea kurogwa ww. Mm sikubali demu aje kwangu anifulie nguo sijui anipikie, aninyooshe nguo, alale siku nzima wakati ni demu wangu sio mke. Kazi za mikono nazujua tena zaid ya sana. Siwezi kubali demu awe mke kabla ndoa. Wanaume wengi tumepigwa ndumba kama sio juju kuwaachia mademu mwanya wa kuwa wake.Mimi nulikimbia baada ya kukuta madawa dawa,kucha na nywele za sehemu za siri,zimechanganywa na madawa dawa ya kienyeji,nilipomuuliza akasema alienda kwa mganga ili anikamate sawa nisifurukute,nilimwacha nikaenda zangu...
Moyo wangu uliteseka sana kumuacha lakini akili yangu iliniambia kumrudia Tena Ni upumbumbavu mkubwa,SIKURUDI MPAKA LEO SIJAANZISHA MAHUSIANO TENA...
Kuna manzee nilimpenda balaaa alafu nilimuamini kweli alikua mzuri hatari alafu Mimi wa kawaida tu ila daah alikua ananipenda nadhani ule ulikua upendo wa kweli aisee basi tulidumu kwenye mapenzi miaka karibia 6 na muda mwingi nilikua nae ingawa hatukuwa tunakaa pamoja ila kila nikimuhitaji au hata nisipomuhitaji alikua anakuja
Kuna kipindi niliyumba vibaya kiuchumi daah alinisave sana yule dada alikua anakuja na misosi home kidume navunga ila ananikazia acha kujifanya kidume wewe basi nakula msosi namla na yeye fresh yani mambo yalikua bambam kwao nilikua napajua Kwa mama yake ila yeye alifikia muda akasema anaenda kupanga nikaona poa ingawa napo nilikua naenda ila sijawahi kulala kwake
Basi bwana siku Kaja na bonge la gauni la kama la harusi vile akataka nimyosheee mana anaenda kusimamia harusi ya rafiki yake kweli baada ya siku tatu akarudi gheto ila amechorwa balaa ila sikujiuliza nikapiga gemu week nzima ndio akasepa
Maisha yakaendlea baada ya miaka miwili kuna siku simu ikaingia eti unamjua S duuuh sauti ya kike ikasema Mimi ni mama yake naomba achana na mwanangu ameshaolea miaka miwili
Duuuh kidume sijui kitu kumbe manzee kaolewa miaka miwili nyuma
Basi nilitafuta ushahidi tu nikahakikisha kweli demu aliolewa na sababu ya kuolewa ni pesa mi sikua nazo ila yule jamaa yake alikua vizuri
Basi nikaona sio issue nika hama getho kimywa kimywa alafu akalamba broke kila sehemu so nikawa nimeachana nae
Sababu ya kufanya hivo kuna siku nilimuuliza alikataa kabisa ila alisema hey nakupenda sana nafanya mambo ya ajaabu sababu yako naomba ukijua chochote usinichukie nafanya sababu nakupenda basi nilimumiza kichwa nikajua pesa nyingi anatoa Kwa jamaa lakini jamaa hapendwi
Kwakweli yule manzee nilimuacha ingawa tulikua tunapendana sana Ila ndio hivo tena saizi ni mwaka sasa nasikia ananitafuta ingawa nimeapa siwezi kuonana nae nikiwa masikini bado
Daaaa"I still see your shadows in my room
Can't take back the love that I gave you
It's to the point where I love and I hate you
And I cannot change you so I must replace you"
Alale panapomshahili. Mwana kulitaka mwana kulipata. Mwanamke wa hivi namchukia hata kama simjui. Kupenda vitu vikubwa wakati mfuko unahudumia ni wangu. Alale motoni sio peponi huyooo.Kuna mmoja mungu tu alinisaidia ni mwanamke haridhiki nikajenga akaanza hii nyumba gani? Dodoma hapo Hii nayo nyumba, nataka gari mbn wewe una gari yako nikamwambia ya kazi hii siyo ya kutanulia tutumie wote, sina uwezo kwa sasa subiri. Yakawa si maneno na matusi wala hatujawahi kupata mtoto nae. Nikajitahidi nikanunua collora gari gani hii mini nataka ist. Wanaume wanaowapenda wake zao wanawa ulizaga wake zao machaguo yao. Mwanaime gari hujali hata hisia za mke ooo aaa
Alikuwa safi ukweli bodi lake murua, nyuma mashaala, puchi nayo swafii tukahamia Dar akaanza kusema mwanamke kama mimi natakiwa na wanaume wengi. Hunijali gari gani mwaka sasa tumepanga pesa unazo lkn unajali biashara zako. Siku moja kaja nyumbani kalewa sikujua hata amelewea wapi kanishushia matusi kibao.
Kesho yake nikamuomba apeleke pesa fulani kwao baada maneno na shutuma kibao alipo ondoka tu nikahama nyumba nikazima simu zangu na kubadilisha namba. Nikahamisha biashara nikahamia mbeya baada ya mwala mmoja tulikutana kapungua sana akataka kunizoea nikamwambia una nyumba una gari bodi la kubebea wanaume wazuri unalo puchi tamu unayo umekosa nini usinizoee.
Baada ya miaka minne nikasikia ukimwi ume mchukua ni ka mshukuru Mungu ni kajisemea kisicho ridhiki hakiliki
Yes, ila ni msomaji mzuri, sometimes unakuta unapotaka kuchangia, mwingine alishasema unachotaka kusema therefore unaishia ku like tu.Good. Wewe sio mchangiaji kabisa humu
Hapana siko hivyo.Mmhh basi wewe hupendi kujichanganya na watu.. Are you introvert?
Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!
Sasa kwa nini ulimwacha jamaa ?you're very right, absolutely right..!!