Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Kila mahusiano nayoingiaga huwa najuaga tangu mwanzo kama yatadumu ama la..

Wengine hatuna muda wa kuwa na mtu ili tu anisaidie kupunguza 'kibubu' kikijaa! So siwezi vumilia tu mtu ili mradi.
Kama hakuna future ninayo iona sijivungi
 
Kula like kwanza ntakuja kuchangia comment yako baadae kidogo
 
Sasa kama umeamua kutozifuata si uachane na hizo habari uwe baridi kabisa kuliko kuwa vuguvugu
vugu vugu ndio mtu wa aina gani?

ninachojua wewe na mimi tupo kundi 1

na usipoangalia yawezekana mimi wa moto kuliko wewe

endelea tu kufatisha ninachoandika
 
Hauna hisia nae tena? Haujihisi kama bado unampenda?
 
wewe ukiwa karibu ukinijibu hivyo naeza kukutoa meno
 
wewe ukiwa karibu ukinijibu hivyo naeza kukutoa meno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sasa unakuta umemuelekeza mtu haelewi kabisa...tafsiri nyingine anataka useme "ndiyo" kwa kile anachokiongea
 
Mimi nikipenda huwa napenda kwelii, siwezi kumuacha mtu kiutani jamani!!
nahisi unafaa kwa matumizi ya NDOA wewe

hapo tena huyo mume awe tayari mna watoto nae

hiyo ndoa ataivunja SHETANI tu na aje live live sio atumie wafuasi wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sasa unakuta umemuelekeza mtu haelewi kabisa...tafsiri nyingine anataka useme "ndiyo" kwa kile anachokiongea
Bora utambe tukiwa tunaongea kwenye simu tuu

ila tukiwa live ukinijibu hivyo "unalo" usiponijibu "unalo"

nataka majibu sahihi tena yajibiwe kwa adabu na sauti nyororoooo
 
Bora utambe tukiwa tunaongea kwenye simu tuu

ila tukiwa live ukinijibu hivyo "unalo" usiponijibu "unalo"

nataka majibu sahihi tena yajibiwe kwa adabu na sauti nyororoooo
Mimi huwa Ni mpoole Sana na siwezi kubishana..unakuta mwanaume ana gubu huyo,unamuelekeza haelewi,,ukikaa kimya shida..Sasa SI anataka nimjibu hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…