Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Hahhahaa.!!Mnaopiga jamani mkuje huku dada anawataka[emoji2788][emoji2788][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Shindwaaa.! Funga macho tukemee!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahaa.!!Mnaopiga jamani mkuje huku dada anawataka[emoji2788][emoji2788][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kula like kwanza ntakuja kuchangia comment yako baadae kidogoCONTROLA naomba usinikumbushe, niliwahi date mwanaume ana maneno huyo..!!
Yaani ukikosea usiombe vichambo vyake utajuta!! anakuchamba mpaka unahisi uchizi, vile ukijishusha kuomba radhi ndo kama unachochea moto wa kuchambwa, na vile I hate offensive words niliondoka kimya kimya hata sikuaga.! Mpaka Leo I can't date mtu wa kunitukana hata kidogo maana hiyo ni ticket ya one way to the 'delete button'..!!
Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!
Haha,Kula like kwanza ntakuja kuchangia comment yako baadae kidogo
[emoji23][emoji23]Hahhahaa.!!
Shindwaaa.! Funga macho tukemee!!
PoleLabla nikusimulie kwa voice nimetoka job nimechoka [emoji16][emoji16][emoji16]
vugu vugu ndio mtu wa aina gani?Sasa kama umeamua kutozifuata si uachane na hizo habari uwe baridi kabisa kuliko kuwa vuguvugu
Hauna hisia nae tena? Haujihisi kama bado unampenda?Kuna mmoja huyu Juzi Juzi nimeona niachane nae maana niliona Safari ya kuanzia Mtoni kwa azizi ally mpaka Mbagala Tu haiwezekani
Kisa kiko hivi beibe nimeichoka IPhone yangu 7+ nataka XR, nikamwambia Mfuko wangu unaweza ku Afford 8+ hiyo XR siwezi si kwamba sina ila siwezi weka bajeti huko kwenye mambo ya fashion na luxury ambazo Kimsingi hazina mwisho na kila siku zinatoka mpya
Majibu yake sasa ooooho hauwezi kunipangia choice unayotaka wewe mimi natumia brand ninayotaka Mimi, nikajisemea Dooh hapa gari haiwezi kufika Safari nikashuka njiani
Nb; Sikulalamika nikamuacha na Maisha yake, Jaribu kumbadilisha mwenzi wako ukiona haiwezekani Walk away Don’t kill yourself [emoji120]
wewe ukiwa karibu ukinijibu hivyo naeza kukutoa menoHaki ya Nani,na ambavyo sipendagi tuhuma ambazo SI za kweli Wala SI za muhimu ..huyo mwanaume mbona atajichosha bure..atakapomaliza namjibu sawa/ndiyo.
Yeye: kwa hiyo ulifanya makusudi kukaa kimya/kuchelewa kupokea
Mimi:ndiyo
Yeye:unajidai unaosha vyombo masaa yote kumbe ulienda kwa wajinga wenzio eeh
Mimi: ndiyo
Yeye:Una kiburi siku hizi
Mimi:sawa
Sipendagi ujinga
sweetieLeeyuko wapi huyo.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]wewe ukiwa karibu ukinijibu hivyo naeza kukutoa meno
nahisi unafaa kwa matumizi ya NDOA weweMimi nikipenda huwa napenda kwelii, siwezi kumuacha mtu kiutani jamani!!
Bora utambe tukiwa tunaongea kwenye simu tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sasa unakuta umemuelekeza mtu haelewi kabisa...tafsiri nyingine anataka useme "ndiyo" kwa kile anachokiongea
Mimi huwa Ni mpoole Sana na siwezi kubishana..unakuta mwanaume ana gubu huyo,unamuelekeza haelewi,,ukikaa kimya shida..Sasa SI anataka nimjibu hivyoBora utambe tukiwa tunaongea kwenye simu tuu
ila tukiwa live ukinijibu hivyo "unalo" usiponijibu "unalo"
nataka majibu sahihi tena yajibiwe kwa adabu na sauti nyororoooo
Hapa tunakuongelea wewe, tuko kundi moja una uhakika?vugu vugu ndio mtu wa aina gani?
ninachojua wewe na mimi tupo kundi 1
na usipoangalia yawezekana mimi wa moto kuliko wewe
endelea tu kufatisha ninachoandika
It's SweetieLee mdogo wangu!