Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Raha ya mapenzi kabla ya kutoka hata kama hamuishi pamoja mkijua mnaenda mahali mnapigiana Simu nguo gani mnavaa ikiwezekana hata tupicha Sasa kidume hata bei ya chupi hujui ya bae wako achilia mbali bei ya nguo za mtoko akija kishamba unatoka puvu inasikitisha Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hawachi bwana..
 
CONTROLA naomba usinikumbushe, niliwahi date mwanaume ana maneno huyo..!!
Yaani ukikosea usiombe vichambo vyake utajuta!! anakuchamba mpaka unahisi uchizi, vile ukijishusha kuomba radhi ndo kama unachochea moto wa kuchambwa, na vile I hate offensive words niliondoka kimya kimya hata sikuaga.! Mpaka Leo I can't date mtu wa kunitukana hata kidogo maana hiyo ni ticket ya one way to the 'delete button'..!!

Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!
[emoji1][emoji1][emoji1]mwalimu mkuu
 
Yeah it’s the biggest challenge that most of us African Men facing, lucky you if you can understand

Na hata hayuko polite wala kutumia lugha yenye ushawishi as if she earned it,

nilikuwa na jamaa yangu kutoka Benin alikuwa na mwanamke wake from Russia ananisimulia

Anadai Binti wa kirussia alikuwa so independent inafika kipindi anafanya zake job anatafuta nauli lengo Tu akakutane na Mpenzi wake, and she was doing for love na jamaa akawa ananiambia yeye alikuwa anajihisi Fahari hata kumpa zawadi na kumfanyia mambo mengine out of love

Lakini mifumo yetu ya kiafrika baadhi ya wanawake ndiyo inawalemaza na kuwadidimiza shimoni kabisa.

Wanaume wa kibongo hawana kanuni. Utajihangaisha wee humuombi kitu Kumbe hela zake anatumia kwa wengine na atakuona fala tu. Me mwanaume asiyeweza nihudumia simtakii bora niwe singo
 
Back
Top Bottom