Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanamke umempa shoo ya kibabe saivi Goli 5 unaenda kazini
ukirudi anataka tena GOLI 5 unajua unaweza kufa hivi hivi
kuna madem engine zao ni za Lamborghini sasa anakutana na mimi mwanaume
nina ka engine cha SUBARU unajua lazima nichemke....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Raha ya mapenzi kabla ya kutoka hata kama hamuishi pamoja mkijua mnaenda mahali mnapigiana Simu nguo gani mnavaa ikiwezekana hata tupicha Sasa kidume hata bei ya chupi hujui ya bae wako achilia mbali bei ya nguo za mtoko akija kishamba unatoka puvu inasikitisha Sana.
😁😁😁😁Kwa kweli ukweli usemwe kuweka sawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawachi bwana..
[emoji1][emoji1][emoji1]mwalimu mkuuCONTROLA naomba usinikumbushe, niliwahi date mwanaume ana maneno huyo..!!
Yaani ukikosea usiombe vichambo vyake utajuta!! anakuchamba mpaka unahisi uchizi, vile ukijishusha kuomba radhi ndo kama unachochea moto wa kuchambwa, na vile I hate offensive words niliondoka kimya kimya hata sikuaga.! Mpaka Leo I can't date mtu wa kunitukana hata kidogo maana hiyo ni ticket ya one way to the 'delete button'..!!
Mwingine huyo alikuwa ana wivu huu wangu hauoni ndani, in fact huu ukasome, let say mnaongea ukamuambia I got to do something, anakuambia how long will it take? unajibu only 10 minutes sababu nataka kukosha vyombo, After a while anapiga, unajibu umemaliza ila unadeki, haha' utajuta unaambiwa ulisema tu vyombo hukusema kama kuna kudeki.!! Hapo ujue kashamaindi muda sana, yakanifika haaaapa.!! Jamani nilikimbia speed mfanowe hakuna.!!
😂 😂 wa shule gani mkuu?[emoji1][emoji1][emoji1]mwalimu mkuu
Hahahaa mkuu umetumia kiashiria kipi kugundua
Marahaba. [emoji39][emoji39][emoji39]Shikamoo[emoji41][emoji41]
Haya mambo ya kitaalamu sana, ni ngumu kuelewa.
Ungemuuliza tatizo nn,,,unaweza kuta n ugonjwa tu wa tumbo,,,unaohitaji matibabuHatari mkuu me mtu anae jamba jamba ovyo wanini sasa....
Analipa kiasi mkuu, lkn sasa wewe wa mjini humuwezi,huyu wa shambaanalipa lakini??
Yes mkuuhahaha,amezaa??
Yeah it’s the biggest challenge that most of us African Men facing, lucky you if you can understand
Na hata hayuko polite wala kutumia lugha yenye ushawishi as if she earned it,
nilikuwa na jamaa yangu kutoka Benin alikuwa na mwanamke wake from Russia ananisimulia
Anadai Binti wa kirussia alikuwa so independent inafika kipindi anafanya zake job anatafuta nauli lengo Tu akakutane na Mpenzi wake, and she was doing for love na jamaa akawa ananiambia yeye alikuwa anajihisi Fahari hata kumpa zawadi na kumfanyia mambo mengine out of love
Lakini mifumo yetu ya kiafrika baadhi ya wanawake ndiyo inawalemaza na kuwadidimiza shimoni kabisa.