Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitano umebondwa mara mbili unaacha mtu.... Huyo jamaa hana mkono wa kupiga kabsa....
 
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hauna adabu una mdomo mchafu kwa nini usidundwe ?...lazima upigwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro ukiona hadi leo hujaanzisha mahusiano ujue dawa ilaanza kukuingia na unaanza kumkumbuka sasa. Chezea kurogwa ww. Mm sikubali demu aje kwangu anifulie nguo sijui anipikie, aninyooshe nguo, alale siku nzima wakati ni demu wangu sio mke. Kazi za mikono nazujua tena zaid ya sana. Siwezi kubali demu awe mke kabla ndoa. Wanaume wengi tumepigwa ndumba kama sio juju kuwaachia mademu mwanya wa kuwa wake.
😍😍😍👊👊👊
 
Mwanaume anapenda sex kila mkikutana, hana muda wa kuongelea issue yoyote ya maana na hatak hata mtoke out muda wote anataka tuwe kwake na ni sex muda wote, nikaona isiwe tabu nikasepa kimya kimya. Hadi leo hajui kwa nn nilimuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
nikimuona nakusemea,siwezi kubali member ateseke kwa

kumpoteza Hamida wake bila sababu za kujulikana
 
Ata huko utakapokwenda utadundwa pia
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa rafiki yangu ukakubali uliwe bure aiseee... ungelipiza na wewe ka kuigonga
Kuna mmoja huyo alikuwa ni vizinga tu mwanzo nilikuwa nampa kama anavyotaka nikihisi ataona aibu kwa vizinga vya kila mara.

Kadri navyo mpa ndivyo anaongeza moto walahi nilikimbia mahusiano.

Walahi yule alikuwa hana aibu si kwa vizinga vile karibia kila siku.

Hata papuchi sikugusa maana sikutaka aseme nimechakata papuchi ndio nimekimbia.

Nilikimbia kiroho safi ila si kwa vizinga vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wa kwanza nahisi ulifanya makosa ....ungeendelea mfundisha taratibu si ajabu hajalelewa hivo , na wewe unafanya kama command mambo hayaendi hivo....

huyo wa pili kusema ulimwambia aende na hujamtafuta na yeye akapotezea si ajabu alikuwa ashakuacha bila wewe kujitambua we ukaona umemkomoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwani unampango wa kuwa na mahusiano na mimi mkuu? No sio ukimya unaoufikiria, huyu ye alikuwa haongei kabisa na mimi, ndio maana nasema ajabu ni kwamba kwa wenzie anaongea vizuri kabisa anapiga stori kama kawaida.

nafikiri hakuna mwanamke anayependa ME anayeongea kama cherehani, huyu wangu alikuwa beyond normal.
Sasa wewe si ni binti kiziwi , anaongeaje sasa?

Harafu hizo tabia za huyo jamaa kama zangu tuu...[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuaga na huyo babe yaani yeye ana priorities zake, Mimi sipo kabisaa kwenye ratiba zake,ukimpigia simu he's busy always yani, mpaka akutafute yeye

Sasa iloniboa ni hii, ilikua graduation yake chuo, sasa mama watoto huku nimejiandaa na kijizawadi nini , nimefika Kwa graduation ni busy busy tuu, nikaishia kumpa zawadi faster, sijaoneshwa ndugu yake yeyote,afu ananambia kuna sehemu tumeandaa party tunaenda na washkaji see youu, kha nikaona mmh hii Gari haifiki popotee, ila nimekumbuka huenda ni hii bad looking., na nakumbuka nilivyokua nimevaa mshamba first year student mimi,naona alihisi atachekwa na wenzie tu[emoji3] [emoji3] simlaumu sanaa.
Ulijikoki mwenyew kumbe upo "far below average" hahaha, [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nimeamua rasmi kubwaga manyanga...mwanaume nliyeishi nae kwa miaka mi5 na tukajaliwa kupata a very beautiful baby girl, ningeweza kuvumilia yote lakini sio vipigo, nishasamehe mara 2 but enough is enough tusije kufikia pabaya ikamcost mtoto wetu. Mungu naomba nipe ujasiri wa kulivuka hili [emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole my dear.
Asije akakuua

Kumuacha mume kwa sababu anahatarisha maisha yako au ya familia hijawahi kuwa kosa. Kuwa na amani, ingawa itahitaji moyo sana kama alikuwa moyoni mwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom