Mi nilikuaga na huyo babe yaani yeye ana priorities zake, Mimi sipo kabisaa kwenye ratiba zake,ukimpigia simu he's busy always yani, mpaka akutafute yeye
Sasa iloniboa ni hii, ilikua graduation yake chuo, sasa mama watoto huku nimejiandaa na kijizawadi nini , nimefika Kwa graduation ni busy busy tuu, nikaishia kumpa zawadi faster, sijaoneshwa ndugu yake yeyote,afu ananambia kuna sehemu tumeandaa party tunaenda na washkaji see youu, kha nikaona mmh hii Gari haifiki popotee, ila nimekumbuka huenda ni hii bad looking., na nakumbuka nilivyokua nimevaa mshamba first year student mimi,naona alihisi atachekwa na wenzie tu[emoji3] [emoji3] simlaumu sanaa.