Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Kwa jinsi nilivyo kuona mara ya mwisho kipindi kile kama ndo vibaya vile , basi macho yangu yana matatizo
[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi nilivyo kuona mara ya mwisho kipindi kile kama ndo vibaya vile , basi macho yangu yana matatizo
😂😂😂Mada za watu walioshiba![emoji30][emoji30][emoji30]
Kwelimuda wa kujiburudisha huwa ni mchache
hamna anaependa kujiburudisha kwenye miili ya wadada kila leo
labda ziro aikyuuu ila wengine sisi tuna wish kama Lait angepatikana mmoja tu halafu tuendane Daaah
Amri 10 unaziona chache eee,ila usiombe kujaribu zifatisha kwenye matendo,unaeza jihisi uko JELA (Gwantanamooo)
[emoji23][emoji23][emoji23]wangu hakuwa romantic kabisa kuna siku karudi kutoka safari cha kwanza kuuliza ni kuku wake, kwa kweli nilimdelete mazima
Vip aisee, upo Ok.Unaundugu na Tshala mwana..?
Curious about
TrueWanaume wa kibongo hawana kanuni. Utajihangaisha wee humuombi kitu Kumbe hela zake anatumia kwa wengine na atakuona fala tu. Me mwanaume asiyeweza nihudumia simtakii bora niwe singo
Nikigundua dem ni mlokole tuu ..huwa na delete kimya kimyaa
Maana ni wa Naha as sana
Duh kumbe upo online, niko napiga vyombo hapa kwa bed, ngoja nije Chobingo sahivPoa poa mimi nipo karibu
Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
Iyo inaitwa cheni ya bandia.....Pesa ya bandia hahahahahaha..Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
HapanaMmhh kwaiyo wewe ilishakutokea hiyo mamii??.
"What is yours will always be yours no matter what "
Aahh inaonekana unakuaga Real eehh..
Mimi nakuwaga real sana mpenzi, shaka ondoaAahh inaonekana unakuaga Real eehh..
"What is yours will always be yours no matter what "
Inapendeza ikiwa hivo. Maisha yenyewe yako wapi ya kupotezana muda , Corona itupotezee muda , bado Mapenzi yatupotezee muda...
Kabisa mpenzi, mambo ya kupotezeana muda sio ishu kabisaInapendeza ikiwa hivo. Maisha yenyewe yako wapi ya kupotezana muda , Corona itupotezee muda , bado Mapenzi yatupotezee muda...
Sasa hayo maisha tutayajenga vipi ?... Tuepuke upotevu wa muda usokua nafaida Sweetheart
"What is yours will always be yours no matter what "
When a woman doesn't love you she will always give you credits... Hakuna mwanamke ambae hajui kujali au kuvumilia hali ya mfuko wa mwanaume, Ingawa kama mwanaume unatakiwa kuwa kama provider nizuri mwanamke akashukuru kutokana na kipato chako.Yeah it’s the biggest challenge that most of us African Men facing, lucky you if you can understand
Na hata hayuko polite wala kutumia lugha yenye ushawishi as if she earned it,
nilikuwa na jamaa yangu kutoka Benin alikuwa na mwanamke wake from Russia ananisimulia
Anadai Binti wa kirussia alikuwa so independent inafika kipindi anafanya zake job anatafuta nauli lengo Tu akakutane na Mpenzi wake, and she was doing for love na jamaa akawa ananiambia yeye alikuwa anajihisi Fahari hata kumpa zawadi na kumfanyia mambo mengine out of love
Lakini mifumo yetu ya kiafrika baadhi ya wanawake ndiyo inawalemaza na kuwadidimiza shimoni kabisa.
Aahhh kwa nyakati zetu hizi, MTU anapokua kweli nawe kua Kweli, hamna faida ya kuhangaika., mtu anapoamua kuweka malengo , kua na malengo