Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

muda wa kujiburudisha huwa ni mchache

hamna anaependa kujiburudisha kwenye miili ya wadada kila leo

labda ziro aikyuuu ila wengine sisi tuna wish kama Lait angepatikana mmoja tu halafu tuendane Daaah

Amri 10 unaziona chache eee,ila usiombe kujaribu zifatisha kwenye matendo,unaeza jihisi uko JELA (Gwantanamooo)
Kweli
 
Mimi nilikua na mahusiano na mtoto mmoja hivi mzuri tu kuanzia akiwa form 5, chuo mpaka anaajiriwa kampuni kubwa ya mawasiliano ila mimi nilipotezeaga kurudi chuo miaka ya nyuma kusomea degree so baada ya kufanya mishe kadhaa mikoani nikasema ngoja nirudi zangu IFM nikasome.
Zamani mtoto alinipenda mzee ila issue ikaja baada ya yeye kuanza kazi kwenye iyo kampuni mara asinitafute na nikimcheck na kumuuliza why uko ivo ananijibu Sina mood basi mzee nikaona hapa hakuna kitu so nikamtema kimya kimya.

Baada ya miezi kadhaa akarudi tena akaomba msamaha na kutumia watu wangu wa karibu basi nikaona sio mbaya kiukweli nilimpenda sana. Basi siku zinapita tukawa tunaendelea vizuri siku moja nipo ofisi fulani maeneo ya posta akaja nikaacha mishe zangu na kumfuata alipo but nafika pale tunapiga stori hapa na pale akaniambia " UKINIONA NAOLEWA NA MWANAUME YEYOTE UJUE NAOLEWA KWASABABU YA NDOA NA WATOTO TU ILA SIO KWASABABU NAMPENDA UYO MWANAUME" aisee nilimshangaa sana na baada ya maongezi ile kauli ikanikaa kichwani why ameongea vile ina maana kuna mtu kaingia na gear za ndoa? Kiukweli nilijisikia vibaya sana so nikaona hapa ni kusex tu hakuna future tena.
Kuna siku tupo room baada ya sex kuna mwana anapiga simu ila demu wangu anakata nikamuuliza vipi? akanijibu kuna jamaa msumbufu sana. Nikajifikiria pia huyu ana tabia mtu akimzingua kidogo anamblock why uyo jamaa amwache tu?. So zikapita siku kadhaa demu akawa kila saa tukimit au kuongea na simu anaulizia ndoa mara ooh! Utaniona lini? Utaniona kweli? Namjibu we subiri nikimaliza chuo nakuoa akawa haridhiki hatukai kidogo anaulizia ndoa ilikua hakuna neno I luv u au umeshindaje mpenz bali ni ndoa tu.
Nikaamua kupiga chini nikagundua kuna jamaa kaingia na gear ya ndoa ila manzi hampendi so anamzungusha akinisikilizia mimi so baada ya kuona nimempotezea kimya kimya haikupita hata siku nyingi nikaona yupo kwenye uhusiano mwingine na jamaa mtu mkubwa jeshini.
Nilishukuru Mungu tu maisha yyakaenda.
Siku anavalishwa pete anaanza kuchat na mim ananiambia naomba tuendelee na uhusiano wetu, nikamwambia wewe si mchumba wa mtu na leo umechumbiwa mi sitaki wake za watu maana ni sumu.... Akanijibu usijali wew una maziwa... Nikakaa nikawaza assume situation ya jamaa inanikuta mim nikiwa namvalisha pete mpenzi wangu alafu awe anawasiliana na X wake kama hivi? Nikasema huyu mtu niliedate miaka ya nyuma sio huyu wa sasa ivi tena. Nikaamua kumblock kotekote na kumshukuru Mungu kwa kujiepusha na kikombe hiki
 
Inabidi wote muambiene ukweli kwamba mnajiburudisha tu.
Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
Iyo inaitwa cheni ya bandia.....Pesa ya bandia hahahahahaha..

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Mimi nakuwaga real sana mpenzi, shaka ondoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Inapendeza ikiwa hivo. Maisha yenyewe yako wapi ya kupotezana muda , Corona itupotezee muda , bado Mapenzi yatupotezee muda...

Sasa hayo maisha tutayajenga vipi ?... Tuepuke upotevu wa muda usokua nafaida Sweetheart

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Inapendeza ikiwa hivo. Maisha yenyewe yako wapi ya kupotezana muda , Corona itupotezee muda , bado Mapenzi yatupotezee muda...

Sasa hayo maisha tutayajenga vipi ?... Tuepuke upotevu wa muda usokua nafaida Sweetheart

"What is yours will always be yours no matter what "
Kabisa mpenzi, mambo ya kupotezeana muda sio ishu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah it’s the biggest challenge that most of us African Men facing, lucky you if you can understand

Na hata hayuko polite wala kutumia lugha yenye ushawishi as if she earned it,

nilikuwa na jamaa yangu kutoka Benin alikuwa na mwanamke wake from Russia ananisimulia

Anadai Binti wa kirussia alikuwa so independent inafika kipindi anafanya zake job anatafuta nauli lengo Tu akakutane na Mpenzi wake, and she was doing for love na jamaa akawa ananiambia yeye alikuwa anajihisi Fahari hata kumpa zawadi na kumfanyia mambo mengine out of love

Lakini mifumo yetu ya kiafrika baadhi ya wanawake ndiyo inawalemaza na kuwadidimiza shimoni kabisa.
When a woman doesn't love you she will always give you credits... Hakuna mwanamke ambae hajui kujali au kuvumilia hali ya mfuko wa mwanaume, Ingawa kama mwanaume unatakiwa kuwa kama provider nizuri mwanamke akashukuru kutokana na kipato chako.

Inawezekana ukawa na hela nyingi kiasi kwamba IPhone Xr kwako ikawa ni kama kununua ua tu, hapo lazima akikuomba IPhone ukamnyima ataona umemuonea!

Lakini kama anajua kabisa pengine mnamatumizi mengine muhimu hata kwenye familia zenu lakini ndo anajikuta anataka kila toleo jipya la IPhone hapo kunakuwa na ukakasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mpenzi, mambo ya kupotezeana muda sio ishu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aahhh kwa nyakati zetu hizi, MTU anapokua kweli nawe kua Kweli, hamna faida ya kuhangaika., mtu anapoamua kuweka malengo , kua na malengo
( sijui ni sababu Watu wanakua hawajapendana ?)

Ikiwa watu wataitazama Dunia yetu ktk point ya maradhi, Ni Mwanamke na mwanaume pekee ambao ndio watakaoamua kulinda afya zao kwaajili yao na watoto wao.!!!.


Mengine yalobaki ni masuala ya kuamua Kubadilika, akufae , umfae

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Back
Top Bottom