Umeshawahi kufumaniwa?

Umeshawahi kufumaniwa?

Tawire

Member
Joined
Apr 21, 2022
Posts
32
Reaction score
64
Habari za weekend wakuu?
Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako?
Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya wife,Akaja direct mpaka kwenye guest tuliyokuwa tunanyanduana,cha ajabu zaidi mpaka kwenye dirisha la chumba,bahati mbaya dirisha lilikuwa wazi,akafanya kusogeza pazia pasi na sisi kujua,Kwa mujibu wake tukiwa katikati ya mchezo alifanikiwa kuturekodi,(Binafsi video sijaiona).
Aliketa timbwili pale,nilafanikiwa kumzuia na demu akachoropoka akakimbia.Nikijaribu kuwauliza wahudumu wa pale,na wenyewe wanasema hawaelewi aliwezaje kufika mpaka pale.Imekuwa ni vigumu tukio lile kufutika kichwani mwangu.
Unaweza kushare na wewe kisa chako hapa.
 
Kwanini usioe wote wawili iki uepuke uzinifu mkuu?
 
Mi nilifumwa na rafiki yangu namla beki tatu wao ndani kwao,mbaya zaidi walikuwepo na washikaji zangu wengine.siku hiyo nilifedheheka sana mshedede ulinywea ghafla wakati ulikuwa umesimama kama mlingoti.Ila tuliyamaliza kiume mpaka leo bado ni marafiki
 
Hapo hukufumaniwa ulikutwa. Unless huyo beki tatu alikuwa na mahusiano na rafiki yako.
 
Back
Top Bottom