Tawire
Member
- Apr 21, 2022
- 32
- 64
Habari za weekend wakuu?
Napenda kujua,je umeshawahi kufumaniwa?Ilikuchukua muda gani kwa tukio lile kufitika kichwani mwako?
Binafsi ilinitokea siku za karibuni,sielewi ni nani alimtonya wife,Akaja direct mpaka kwenye guest tuliyokuwa tunanyanduana,cha ajabu zaidi mpaka kwenye dirisha la chumba,bahati mbaya dirisha lilikuwa wazi,akafanya kusogeza pazia pasi na sisi kujua,Kwa mujibu wake tukiwa katikati ya mchezo alifanikiwa kuturekodi,(Binafsi video sijaiona).
Aliketa timbwili pale,nilafanikiwa kumzuia na demu akachoropoka akakimbia.Nikijaribu kuwauliza wahudumu wa pale,na wenyewe wanasema hawaelewi aliwezaje kufika mpaka pale.Imekuwa ni vigumu tukio lile kufutika kichwani mwangu.
Unaweza kushare na wewe kisa chako hapa.