SoC02 Umeshawahi kujiuliza haya kuhusu mitandao ya kijamii?

Stories of Change - 2022 Competition

Nsama

Senior Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
192
Reaction score
249

images (2).jpeg
images (1).jpeg

picha kwa hisani ya mtandao(Google)

Nani mnufaika wa machapisho yako?​

Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me).

Yote yanaweza kuwa majibu, Machapisho unayoweka mtandaoni mnufaika anweza kuwa mtoto wako,Baba yako au mtu baki,na watu wengi kwa ujumla. Mfano Mimi binafsi nilivutiwa na mijadala mbalimbali ndani ya Jamiiforum Kupitia Majukwaa yake hasa la Siasa,MMU na kadhalika. Vijana wa chichat,Siasani na kwingineko nawapa heko kwa kuchochote mijadala mbalimbali inayo hamasisha watu kujiunga na Jamiiforum.

Je, Unanufaikaje na mitandao ya kijamii?​

Mitandao ya kijamii inaweza kuwa na manufaa yafuatayo endapo itatumika ipasavyo;
  • Kukutana na Marafiki mfano Facebook, Jamiiforum n.k
  • Kuuza ujuzi wako mfano LinkedIn
  • Kushiriki mijadala mbalimbali yenye lengo la kuchochea maendeleo ya kisiasa,kijamii na kiuchumi mfano Jamiiforum imetoa jukwaa ambayo imeongeza uwajibikaji katika serikali na sekta binafsi.
  • Kutangaza bidhaa Mbalimbali, mitandao ya kijamii imetoa mwanya watu kutangaza bidhaa zao mfano jukwaa la matangazo Jamiiforum , Facebook n.k
  • Kutafuta taarifa mbalimbali mfano taarifa zinazohusu Teknolojia,Siasa,Elimu,Muziki,Michezo,Utalii n.k.
  • Kutafuta Mwenza au Mchumba. Dunia ya Sasa umekuwa ndani ya kiganja inakuwezesha kukutana na mtu yeyote kutoka Kona yoyote ndani ya Dunia. Mfano jukwaa la Love connect lililopo Jamiiforum.
Je wewe mitandao ya kijamii imekunufaishaje?.

Je, Ni zipi athari zinazoweza kujitoketa endapo utatumia mitandao ya kijamii?​

Mitandao ya kijamii inaweza kuwa na athari mbalimbali kwa mtumiaji mmoja mmoja na jamii kwa ujumla;
  • Uraibu uliopitiliza wa matumizi ya mitandao ya kijamii hupelekea Msongo wa mawazo. Jamii inapaswa ielewe matatizo ya akili yameongezeka na kichocheo kimojawapo kinaweza kuwa mitandao ya kijamii. Mfano uvujaji wa picha au video za faragha(siku hizi huitwa connection) hupelekea baadhi ya watu kuona wametengwa na Dunia pale wanaposhambuliwa kwenye mitandao ya kijamii.
  • Wizi wa mitandaoni(Scams) umeongezeka. Jamii inapaswa ichukukue tahadhari pale mtu/watu wanapotembelea link asiyo na taarifa nayo au kuombwa taarifa zao katika mitandao ya kijamii. Kwani wezi wa mitandaoni nao ni wabunifu,kutokuwa makini utajikuta unapoteza Pesa na taarifa zako kuvuja mitandaoni.
  • Bullying (Kudhalilishwa). Je umejiandaaje kisaikolojia kukabilia na vitendo vya Kudhalilishwa mtandaoni?,Unaweza kuhimili? .Muda wote unapaswa kuwa umejiandaa kisaikolojia maana mashambulio ya mitandaoni wakati mwingine hupelekea kujitoa uhai.
  • Kupunguza morali ya kazi. Mitandao ya kijamii isipotumiwa kwa kiasi hupunguza Hali ya utendaji wa kazi, kwani ufanisi unaposhuka hupunguza uzalishaji na kipato cha muhusikia.
  • Udukuzi, Je,taarifa zako ziko salama wakati wote?.Ili kuepukana na udukuzi usitoe taarifa zako Kama email ,password ili account yako isidukuliwe.
  • Mitandao ya kijamii imeifanya Karne ya Sasa watu watafute ukamilifu(Perfection) kwa kujiongezea au kupunguza sehemu za miili ya yao kwa kuonekana Bora au kuvutia zaidi.
    Mtu Kama Kim Kardashian(mwanamitindo na mjasiliamali) amefanya wanawake wa kileo wapigane kupata mionekano mizuri wenyewe wanaita "body goals" bila kujali athari zake
Je, kwako athari zipi unaziona zinatokana na mitandao ya kijamii?.

Je, hatua gani za kuchukua kukabiliana na Athari zitokanozo na mitandao ya kijamii?​

Ili kuepuka/kupunguza athari zitokano na mitandao ya kijamii huna budi kufanya yafuatayo;
  • Kutobonyeza link ambayo huna uwakika nayo Hadi pale utapojihakikishia usalama wake. Kwani kwa kufanya hivyo unakuwa umeepukana na Athari ambazo zingekupata Kama udukuzi wa taarifa zako au kutapeliwa.
  • Kutoa taarifa kwa mtandao husika pale unapohisi taarifa zako haziko salama, au unapofanyiwa bullying.
  • Ku Log out pale unapochangia kifaa Cha kuingilia mtandaoni mfano simu au kompyuta. Hiii itakupunguzia taarifa zako kutovuja.
  • Kuomba ushauri wa wataalmu pale unapoona huna ujuzi napo hasa masuala ya Teknolojia.
  • Elimu, jielimishe kabla haujajiunga na mtando wa kijamii.
Je, hatua gani zinafaa zichukuliwe kuepukana atahari za mitandaoni?

Je, Sheria ya mtandaoni imeongeza au imepunguza Nini kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii?​

Ilichoongeza​

Sheria imetukumbusha tusiitumie mitandao ya kijamii vibaya, kwani kw kuchapisha maudhui ya "kichochezi" unaweza kukutana la rungu la sheria ambayo faini inaweza kuwa milioni tatu au zaidi au kifungo gerezani.

Ilichopunguza​

  • Imeshusha morali ya wachangiaji kwa kuhofia kutiwa nguvuni na vyombo vya dola.
  • Imekimbiza mijadala yenye tija amabo ilikuwa na lengo kuiwajibisha serikali na kuchochea maendeleo ya nchi .
  • Imejenga woga miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Watu wako tayari kuchangia habari za udaku,Michezo na sio Siasa kwa kuhofia mkono wa dola.
Je, ulishawahi kujiuliza lolote kuhusu sheria sheria ya makosa ya mtandaoni?.Hii Ni baadhi ya mitandao ya kijamii kwa uchache;

Hii ni Baadhi ya mitandao ya kijamii kwa uchache;

  • JamiiForums
  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter
  • LinkedIn
  • Snapchat
  • Quora
  • Pinterest
  • Reddit
  • WhatsApp
  • YouTube
  • Tik Tok
  • Viber
  • Telegram
  • Badoo
  • Myspace
  • Xanga
  • Clubhouse
  • Sportfy live
  • WeChat
  • Line
  • Tribe
  • Vero

Kuna ulazima wa kujiunga na mtandao zaidi ya mmoja?​

Jibu ni ndio/hapana kutegemea na matumizi ya muhusika, unaweza kutumia mitandao tofauti kuwafikia walengwa tofauti tofauti kwa kuwa na account zaidi ya moja.

Teknolojia imewezesha simu zetu kuweza kuweka application mbali mbali mfano Instagram, Facebook,jamii, Snapchat, telegram n.k hii imerahisisha matumizi zaidi.

Pia, Mitandao ya kijamii kwa kiasi kikubwa inamatumizi yanayo fanana, sio lazima uwe na Account nyingi za Mitandao tofauti ndio uwe wa kileo. Unapaswa uwe na na ile ambayo una matumizi nayo au ile inayohusisha Shughuri zako za kila siku, mfano WhatsApp, YouTube , jamiiforum n.k

Maswali mengine ninayojiuliza kuhusu mitandao ya kijamii?​

  • Je, nini kesho (future) ya mitandao ya kijamii, kutakuwa na teknojia kubwa zaidi ya hii kuhusu mitandao ya kijamii. Evolution yake iko vipi? Kuna mitandao itakufa au ataibuka mbabe wa mmoja na kumeza wote?, Maswali Ni meng hapa.
  • Je, mitandao ya kijamii imetusaulisha au Ni hamasa kwa mazingira yetu,mfano suala zima la tabia ya nchi. Ipi nafasi ya mitandao ya kijamii hapa?, je, Ni mbwa anaebweka bila vitendo?.
Maswali Ni mengi, Je wewe unajiuliza nini kuhusu mitandao ya kijamii?, Una maoni gani kuhusu maada hii ,au unafikilia Nini kuhusu mitandao ya kijamii?.

Karibuni kwa mjadala.​

Upvote 26

Nani mnufaika wa machapisho yako?​

Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me).
Yote yanaweza kuwa majibu, Machapisho unayoweka mtandaoni mnufaika anweza kuwa mtoto wako,Baba yako au mtu baki,na watu wengi kwa ujumla. Mfano Mimi binafsi nilivutiwa na mijadala mbalimbali ndani ya Jamiiforum Kupitia Majukwaa yake hasa la Siasa,MMU na kadhalika. Vijana wa chichat,Siasani na kwingineko nawapa heko kwa kuchochote mijadala mbalimbali inayo hamasisha watu kujiunga na Jamiiforum.

Je, Unanufaikaje na mitandao ya kijamii?​

Mitandao ya kijamii inaweza kuwa na manufaa yafuatayo endapo itatumika ipasavyo;
  • Kukutana na Marafiki mfano Facebook, Jamiiforum n.k
  • Kuuza ujuzi wako mfano LinkedIn
  • Kushiriki mijadala mbalimbali yenye lengo la kuchochea maendeleo ya kisiasa,kijamii na kiuchumi mfano Jamiiforum imetoa jukwaa ambayo imeongeza uwajibikaji katika serikali na sekta binafsi.
  • Kutangaza bidhaa Mbalimbali, mitandao ya kijamii imetoa mwanya watu kutangaza bidhaa zao mfano jukwaa la matangazo Jamiiforum , Facebook n.k
  • Kutafuta taarifa mbalimbali mfano taarifa zinazohusu Teknolojia,Siasa,Elimu,Muziki,Michezo,Utalii n.k.
  • Kutafuta Mwenza au Mchumba. Dunia ya Sasa umekuwa ndani ya kiganja inakuwezesha kukutana na mtu yeyote kutoka Kona yoyote ndani ya Dunia. Mfano jukwaa la Love connect lililopo Jamiiforum.
Je wewe mitandao ya kijamii imekunufaishaje?.

Je, Ni zipi athari zinazoweza kujitoketa endapo utatumia mitandao ya kijamii?​

Mitandao ya kijamii inaweza kuwa na athari mbalimbali kwa mtumiaji mmoja mmoja na jamii kwa ujumla;
  • Uraibu uliopitiliza wa matumizi ya mitandao ya kijamii hupelekea Msongo wa mawazo. Jamii inapaswa ielewe matatizo ya akili yameongezeka na kichocheo kimojawapo kinaweza kuwa mitandao ya kijamii. Mfano uvujaji wa picha au video za faragha(siku hizi huitwa connection) hupelekea baadhi ya watu kuona wametengwa na Dunia pale wanaposhambuliwa kwenye mitandao ya kijamii.
  • Wizi wa mitandaoni(Scams) umeongezeka. Jamii inapaswa ichukukue tahadhari pale mtu/watu wanapotembelea link asiyo na taarifa nayo au kuombwa taarifa zao katika mitandao ya kijamii. Kwani wezi wa mitandaoni nao ni wabunifu,kutokuwa makini utajikuta unapoteza Pesa na taarifa zako kuvuja mitandaoni.
  • Bullying (Kudhalilishwa). Je umejiandaaje kisaikolojia kukabilia na vitendo vya Kudhalilishwa mtandaoni?,Unaweza kuhimili? .Muda wote unapaswa kuwa umejiandaa kisaikolojia maana mashambulio ya mitandaoni wakati mwingine hupelekea kujitoa uhai.
  • Kupunguza morali ya kazi. Mitandao ya kijamii isipotumiwa kwa kiasi hupunguza Hali ya utendaji wa kazi, kwani ufanisi unaposhuka hupunguza uzalishaji na kipato cha muhusikia.
  • Udukuzi, Je,taarifa zako ziko salama wakati wote?.Ili kuepukana na udukuzi usitoe taarifa zako Kama email ,password ili account yako isidukuliwe.
Je, kwako athari zipi unaziona zinatokana na mitandao ya kijamii?.

Je, hatua gani za kuchukua kukabiliana na Athari zitokanozo na mitandao ya kijamii?​

Ili kuepuka/kupunguza athari zitokano na mitandao ya kijamii huna budi kufanya yafuatayo;
  • Kutobonyeza link ambayo huna uwakika nayo Hadi pale utapojihakikishia usalama wake. Kwani kwa kufanya hivyo unakuwa umeepukana na Athari ambazo zingekupata Kama udukuzi wa taarifa zako au kutapeliwa.
  • Kutoa taarifa kwa mtandao husika pale unapohisi taarifa zako haziko salama, au unapofanyiwa bullying.
  • Ku Log out pale unapochangia kifaa Cha kuingilia mtandaoni mfano simu au kompyuta. Hiii itakupunguzia taarifa zako kutovuja.
  • Kuomba ushauri wa wataalmu pale unapoona huna ujuzi napo hasa masuala ya Teknolojia.
  • Elimu, jielimishe kabla haujajiunga na mtando wa kijamii.
Je, hatua gani zinafaa zichukuliwe kuepukana atahari za mitandaoni?

Je, Sheria ya mtandaoni imeongeza au imepunguza Nini kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii?​

Ilichoongeza​

Sheria imetukumbusha tusiitumie mitandao ya kijamii vibaya, kwani kw kuchapisha maudhui ya "kichochezi" unaweza kukutana la rungu la sheria ambayo faini inaweza kuwa milioni tatu au zaidi au kifungo gerezani.

Ilichopunguza​

  • Imeshusha morali ya wachangiaji kwa kuhofia kutiwa nguvuni na vyombo vya dola.
  • Imekimbiza mijadala yenye tija amabo ilikuwa na lengo kuiwajibisha serikali na kuchochea maendeleo ya nchi .
  • Imejenga woga miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Watu wako tayari kuchangia habari za udaku,Michezo na sio Siasa kwa kuhofia mkono wa dola.
Je, ulishawahi kujiuliza lolote kuhusu sheria sheria ya makosa ya mtandaoni?.

Maswali mengine ninayojiuliza kuhusu mitandao ya kijamii?​

  • Je, Nini kesho(future) ya mitandao ya kijamii, kutakuwa na teknojia kubwa zaidi ya hii kuhusu mitandao ya kijamii. Evolution yake iko vipi? Kuna mitandao itakufa au ataibuka mbabe wa mmoja na kumeza wote?,Maswali Ni meng hapa.
  • Je, mitandao ya kijamii imetusaulisha au Ni hamasa kwa mazingira yetu,mfano suala zima la tabia ya nchi. Ipi nafasi ya mitandao ya kijamii hapa?, je, Ni mbwa anaebweka bila vitendo?.
Maswali Ni mengi, Je wewe unajiuliza nini kuhusu mitandao ya kijamii?, Una maoni gani kuhusu maada hii ,au unafikilia Nini kuhusu mitandao ya kijamii?.

Karibuni kwa mijadala.​

Mi Huwa najiuliza zile pcha zako ninazo post na kufuta uwa zinaenda wapi!! Ni kweli zinafutika mazima au kunasehem zipo tena
 
Mi Huwa najiuliza zile pcha zako ninazo post na kufuta uwa zinaenda wapi!! Ni kweli zinafutika mazima au kunasehem zipo tenaunapofuta

Mi Huwa najiuliza zile pcha zako ninazo post na kufuta uwa zinaenda wapi!! Ni kweli zinafutika mazima au kunasehem zipo tena
Unapofuta picha mfano Instagram wenyewe Wana utaratibu wa wa kuzi-hold kwa muda wa siku 90. Ila naamini kwa asilimia kubwa huwa zinabaki kwenye Saver zao hukaka kwa muda kulingana na policy zao.@Chief mkwawa tusaidie hapa
 
Kwanza nimeshow love mkuu nimeshavote tayar.

Juzi ktk what's up nimepewa link eti kuna nafasi ya kazi,per day malipo ni 50k mpk 500k daah nikajiuliza ndio mambo yetu Yale ya kuingizana mkenge.

Kwa maoni yangu mitandao ina faida zake na hasara pia,lkn naona faida ni nyingi kuliko hasara,Kikubwa ni watumiaji kuwa Makini ni namna gani tunaitumia hii mitandao.

Nakupa kongole bandiko zuri
 
Mkuu Etugral Bay Faida Ni nyingi ndio ili walio wengi wetu hatunufaiki nazo. Mtu akikosa bando anakuwa kama amekabwa kiu. Hayo malink hasa WhatsApp ni mengi Ni kuwa makini napo.
 
Msisahau vote(kunipigia Kura)wadau wote mnaopita hapa.
 
Msisahau Mtandao wa kijamii ndio umewezesha Hadi hili shindano.
 
Mambo ya kuongezea;

Fursa za kiuchumi zilizoko kwenye mitandao ya kijamii Ni nyingi, na zinahitaji utulivu kuzitumia. Mfano wa utoaji Elimu ya kilimo na mifugo.

Ni rahisi kutoa Elimu ya Afya kupitia mitandao ya kijamii mfano,Elimu juu ya muasla ya Afya hasa Ngono Salama,Madhara ya ukeketaji, matumizi ya hedhi kwa wasichana , Matumizi ya kondomu.

Habari za punde/breaking news Ni rahisi kupata kupitia mitandao ya kijamii.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mitandao ya kijamii inasaidia kujibu mahitaji ya wakati mfano suala la sensa mitandao ya kijamii imetumika kuhamasisha Sana kupitia matangazo na mijadala mbalimbali.
 
Jamii tujiepushe na Yahoo boys kwa kutokujibu jumbe zao wanazo tutumia in inbox huko Facebook, Instagram, Jamiiforum, Twitter na kwingineko. Msiwafaidishe Wakina hushpuppy wengine
 
Kuna ulazima wa kuwa na mtandao wa kijamii zaidi ya mmoja?
 
View attachment 2303198View attachment 2303200

Nani mnufaika wa machapisho yako?​

Unapoweka chapisho mtandaoni Kuna vigezo unaviangalia?, Nani mlengwa mkuu wa machapisho yako? Je, Chapisho lako linalenga umri wa mnufaika/Msomaji au linajikita zaidi katika jinsi mfano (ke/me).
Yote yanaweza kuwa majibu, Machapisho unayoweka mtandaoni mnufaika anweza kuwa mtoto wako,Baba yako au mtu baki,na watu wengi kwa ujumla. Mfano Mimi binafsi nilivutiwa na mijadala mbalimbali ndani ya Jamiiforum Kupitia Majukwaa yake hasa la Siasa,MMU na kadhalika. Vijana wa chichat,Siasani na kwingineko nawapa heko kwa kuchochote mijadala mbalimbali inayo hamasisha watu kujiunga na Jamiiforum.

Je, Unanufaikaje na mitandao ya kijamii?​

Mitandao ya kijamii inaweza kuwa na manufaa yafuatayo endapo itatumika ipasavyo;
  • Kukutana na Marafiki mfano Facebook, Jamiiforum n.k
  • Kuuza ujuzi wako mfano LinkedIn
  • Kushiriki mijadala mbalimbali yenye lengo la kuchochea maendeleo ya kisiasa,kijamii na kiuchumi mfano Jamiiforum imetoa jukwaa ambayo imeongeza uwajibikaji katika serikali na sekta binafsi.
  • Kutangaza bidhaa Mbalimbali, mitandao ya kijamii imetoa mwanya watu kutangaza bidhaa zao mfano jukwaa la matangazo Jamiiforum , Facebook n.k
  • Kutafuta taarifa mbalimbali mfano taarifa zinazohusu Teknolojia,Siasa,Elimu,Muziki,Michezo,Utalii n.k.
  • Kutafuta Mwenza au Mchumba. Dunia ya Sasa umekuwa ndani ya kiganja inakuwezesha kukutana na mtu yeyote kutoka Kona yoyote ndani ya Dunia. Mfano jukwaa la Love connect lililopo Jamiiforum.
Je wewe mitandao ya kijamii imekunufaishaje?.

Je, Ni zipi athari zinazoweza kujitoketa endapo utatumia mitandao ya kijamii?​

Mitandao ya kijamii inaweza kuwa na athari mbalimbali kwa mtumiaji mmoja mmoja na jamii kwa ujumla;
  • Uraibu uliopitiliza wa matumizi ya mitandao ya kijamii hupelekea Msongo wa mawazo. Jamii inapaswa ielewe matatizo ya akili yameongezeka na kichocheo kimojawapo kinaweza kuwa mitandao ya kijamii. Mfano uvujaji wa picha au video za faragha(siku hizi huitwa connection) hupelekea baadhi ya watu kuona wametengwa na Dunia pale wanaposhambuliwa kwenye mitandao ya kijamii.
  • Wizi wa mitandaoni(Scams) umeongezeka. Jamii inapaswa ichukukue tahadhari pale mtu/watu wanapotembelea link asiyo na taarifa nayo au kuombwa taarifa zao katika mitandao ya kijamii. Kwani wezi wa mitandaoni nao ni wabunifu,kutokuwa makini utajikuta unapoteza Pesa na taarifa zako kuvuja mitandaoni.
  • Bullying (Kudhalilishwa). Je umejiandaaje kisaikolojia kukabilia na vitendo vya Kudhalilishwa mtandaoni?,Unaweza kuhimili? .Muda wote unapaswa kuwa umejiandaa kisaikolojia maana mashambulio ya mitandaoni wakati mwingine hupelekea kujitoa uhai.
  • Kupunguza morali ya kazi. Mitandao ya kijamii isipotumiwa kwa kiasi hupunguza Hali ya utendaji wa kazi, kwani ufanisi unaposhuka hupunguza uzalishaji na kipato cha muhusikia.
  • Udukuzi, Je,taarifa zako ziko salama wakati wote?.Ili kuepukana na udukuzi usitoe taarifa zako Kama email ,password ili account yako isidukuliwe.
Je, kwako athari zipi unaziona zinatokana na mitandao ya kijamii?.

Je, hatua gani za kuchukua kukabiliana na Athari zitokanozo na mitandao ya kijamii?​

Ili kuepuka/kupunguza athari zitokano na mitandao ya kijamii huna budi kufanya yafuatayo;
  • Kutobonyeza link ambayo huna uwakika nayo Hadi pale utapojihakikishia usalama wake. Kwani kwa kufanya hivyo unakuwa umeepukana na Athari ambazo zingekupata Kama udukuzi wa taarifa zako au kutapeliwa.
  • Kutoa taarifa kwa mtandao husika pale unapohisi taarifa zako haziko salama, au unapofanyiwa bullying.
  • Ku Log out pale unapochangia kifaa Cha kuingilia mtandaoni mfano simu au kompyuta. Hiii itakupunguzia taarifa zako kutovuja.
  • Kuomba ushauri wa wataalmu pale unapoona huna ujuzi napo hasa masuala ya Teknolojia.
  • Elimu, jielimishe kabla haujajiunga na mtando wa kijamii.
Je, hatua gani zinafaa zichukuliwe kuepukana atahari za mitandaoni?

Je, Sheria ya mtandaoni imeongeza au imepunguza Nini kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii?​

Ilichoongeza​

Sheria imetukumbusha tusiitumie mitandao ya kijamii vibaya, kwani kw kuchapisha maudhui ya "kichochezi" unaweza kukutana la rungu la sheria ambayo faini inaweza kuwa milioni tatu au zaidi au kifungo gerezani.

Ilichopunguza​

  • Imeshusha morali ya wachangiaji kwa kuhofia kutiwa nguvuni na vyombo vya dola.
  • Imekimbiza mijadala yenye tija amabo ilikuwa na lengo kuiwajibisha serikali na kuchochea maendeleo ya nchi .
  • Imejenga woga miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya kijamii. Watu wako tayari kuchangia habari za udaku,Michezo na sio Siasa kwa kuhofia mkono wa dola.
Je, ulishawahi kujiuliza lolote kuhusu sheria sheria ya makosa ya mtandaoni?.Hii Ni baadhi ya mitandao ya kijamii kwa uchache;

Hii ni Baadhi ya mitandao ya kijamii kwa uchache;

  • Jamiiforum
  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter
  • LinkedIn
  • Snapchat
  • Quora
  • Pinterest
  • Reddit
  • WhatsApp
  • YouTube
  • Tik Tok
  • Viber
  • Telegram
  • Badoo
  • Myspace
  • Xanga
  • Clubhouse
  • Sportfy live
  • WeChat
  • Line
  • Tribe
  • Vero

Kuna ulazima wa kujiunga na mtandao zaidi ya mmmoja?​

Jibu ni ndio/hapana kutegemea na matumizi ya muhusika, unaweza kutumia mitandao tofauti kuwafikia walengwa tofauti tofauti kwa kuwa na account zaidi ya moja.
Teknolojia imewezesha simu zetu kuweza kuweka application mbali mbali mfano Instagram, Facebook,jamii, Snapchat, telegram n.k hii imerahisisha matumizi zaidi.
Pia, Mitandao ya kijamii kwa kiasi kikubwa inamatumizi yanayo fanana, sio lazima uwe na Account nyingi za Mitandao tofauti ndio uwe wa kileo. Unapaswa uwe na na ile ambayo una matumizi nayo au ile inayohusisha Shughuri zako za kila siku, mfano WhatsApp, YouTube , jamiiforum n.k

Maswali mengine ninayojiuliza kuhusu mitandao ya kijamii?​

  • Je, Nini kesho(future) ya mitandao ya kijamii, kutakuwa na teknojia kubwa zaidi ya hii kuhusu mitandao ya kijamii. Evolution yake iko vipi? Kuna mitandao itakufa au ataibuka mbabe wa mmoja na kumeza wote?,Maswali Ni meng hapa.
  • Je, mitandao ya kijamii imetusaulisha au Ni hamasa kwa mazingira yetu,mfano suala zima la tabia ya nchi. Ipi nafasi ya mitandao ya kijamii hapa?, je, Ni mbwa anaebweka bila vitendo?.
Maswali Ni mengi, Je wewe unajiuliza nini kuhusu mitandao ya kijamii?, Una maoni gani kuhusu maada hii ,au unafikilia Nini kuhusu mitandao ya kijamii?.

Karibuni kwa mijadala.​

Uzi mzuri mkuu.
Nimevote.
 
Back
Top Bottom