Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Tushukuru tungi kwa kukuokoa bwashee, bila hivyo ungeendelea kutafuna kucha mpaka uzimalize.Kipindi nipo nasoma nikimaliza mitihani kucha zangu zote unakuta zimebaki nusu tu🤔
Mno mangi bia tamuTushukuru tungi kwa kukuokoa bwashee, bila hivyo ungeendelea kutafuna kucha mpaka uzimalize.
Ukimaliza unashushia na matunda 😀Mno mangi bia tamu
Mimi tangu utotoni!Umeshawahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu hutafuna kucha zao mpaka zinachubuka. Hii si tabia ya kawaida tu — ni ishara ya kinachoendelea ndani ya akili yako.
Kutafuna kucha husabishwa na Msongo wa mawazo ,Hofu au aibu, Kuchoka, kukosa la kufanya na Kwa wengine ni Tabia ya kurudiarudia toka utotoni.
Hapo sasa,tafiti zingine!Mbona kuna wtt wadogo tu wanatafuna kucha, nao pia wana msongo wa mawazo?
Nami nasubili jibu ili sababu rafiki yangu ana mtoto wake wa kike yupo sekondari nae anakula kucha hadi damu zinamtoka hadi tumeplani tuwe tunamvisha gloveMbona kuna wtt wadogo tu wanatafuna kucha, nao pia wana msongo wa mawazo?
Mimi mpaka za mguuni aisee..Kula kucha sidhani kama nitaaacha,hua nazitafuna afu nasaga kwa meno vipande vipande afu nakua nanusa ile harufu yake ndo hua naipenda.
Hiv ni inqsqbqbishwa na nn?!Mimi mpaka za mguuni aisee..
Tena huwa situmii wembe an nakata alafu natunza ili nianze kutafuna
Na jani vipiMno mangi bia tamu
Ni natural tuu maana mimi mpaka sasa ni mkubwa ila nashindwa acha...Hiv ni inqsqbqbishwa na nn?!
aahhh! Hyo Alphard nyeusi sio….Next time tembea na Gunzi ujikune vizuri mkuuNi natural tuu maana mimi mpaka sasa ni mkubwa ila nashindwa acha...
Najitahid kipindi cha ramadhan tuu na sitafuni naona taharibu funga ila otherwise natafuna vibaya mno
Just imagine mi kujikuna huwa natumia funguo ya gari yangu hii gari mpya Alphard G hata mwaka haina
Leo wakati natoka kariako nipo kwa bajaji miguu imepaukaaaaaaaa...aahhh! Hyo Alphard nyeusi sio….Next time tembea na Gunzi ujikune vizuri mkuu