Huyuhuyu wa kwenye Dunia ya Manyanya?Dada Matilda rest in peace ulinilea toka nazaliwa π!
wengine tumezaliwa na kukua ki-communist kwa sababu ya poverty, hakuna cha msaidizi wala ndugu, baada ya siku 40 post delivery, mama anaenda shamba nimebebwa mgongoni, lkn wote tumefika kwa same destination.Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?
Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.
Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?
Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.
Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.
Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.
Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?
Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.
Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.
Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)
2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)
3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Wakishua au Mtoto wa 2000Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?

Mimi ninaemkumbuka yule alinionjesha kwa mara ya kwanza nikachomeka nikahisi motoo nikakimbia kumuambia mama π€£π€£π€£Wale mliokuwa mnapasha pasha kwa wadada, piteni mbele tuwaone.
nilikuwa namchungulia bafuni akiwa anaoga aiseee maana alikuwa ana zigo yaaani. alafu badae sheria mkononi π₯΄π₯΄π₯΄Wale mliokuwa mnapasha pasha kwa wadada, piteni mbele tuwaone.
Alifariki, aendelee kupumzika kwa Amani, alinilea kwa upendo πJe, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?
Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.
Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?
Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.
Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.
Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.
Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?
Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.
Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.
Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)
2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)
3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Uliua au?tuambie Jamhuri tukuchukie hatua π€£π€£nilikuwa namchungulia bafuni akiwa anaoga aiseee maana alikuwa ana zigo yaaani. alafu badae sheria mkononi π₯΄π₯΄π₯΄
Wale mliokuwa mnapasha pasha kwa wadada, piteni mbele tuwaone.
ππ bro we ulipona?Kuna wadada walikuwa wakipata uchupa wanabaka watoto wa kiume...