Umeshawahi kujiuliza Msichana wenu wa kazi 'wa Miaka hiyo' yuko wapi?

Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?

Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.

Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?

Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.

Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.

Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.

Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?

Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.

Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.

Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)

2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)

3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Dada angu wa kwanza aliitwa teddy nikiwa mdogo mafinga 96..... alinielea akaondoka maza marehemu alikuwa ni nurse hapo mafinga hospital alihamia 1994...... so tulikuja mafinga ikiwa changa sana i remember teddy ndo alinilea japo nikiwa na age 5 alinipa kidudu nikala inshort sijutii japo alinibaka ila nasemaga asante kwa kunibaka teddy .....

Akaja mwingine from 1999 to 2005.... alitwa sara huyu alikuwa ni ndugu yetu alinilea dar kaunzia dar 2000s hadi niliporudi mafinga tena nilikuja kumuaga 2004 niliondoka nyumbani nikiwa mbali nikasikia blaza wangu nae kamtia mimba maza aibu blaza kampa mimba binamu ikatolewa fasta maza aliipata na presha atawaambia nini uncles ....

Nakumbuka alikuja home hajui kusoma marehemu maza akamkodia mwalimu wa kumfundisha...kiukweli maza angu alimpenda sana sarah

Sasa hivi kaolewa na number zake ninazo
Inshort namheshimu sana kanizdi miaka kama 8 ila umasikini ulifanya asiende shule na kuishia mfanyakazi wetu....kwanza ngoja nimpigie mmenifanya nimkumbuke.... tena maza alifariki niliamuru akae bure kwenye nyumba yetu hapo mafinga akapewa nyumba moja ....sijui ikawaje walikaa miaka kadhaa mme wakaondoka .....ila nilimwambia ukiwa na shida nyumba kakae tu si tupo dar nyumba haina mtu zaid ya wapangaji tu...mabraza nao hawakai
 
Uliua au?tuambie Jamhuri tukuchukie hatua 🤣🤣

Jamani ushauri kwa wamama
Mkimleta beki tatu awe anaeleweka kidogo sura ..hata shape...anaweza kua potential mkwe
We si unaona kule korea au uarabuni kwenye movie 😏
😅huyo alinifanya nianze tabia ya kuchungulia watu wenye haiba ya mwili wake ..

Wakaja ongeza na mwingine huyo ndio alikuwa mzuri baraa.. huyo home wakaanza msomeshaa

Nilikuwa muoga, nikaishiaga kuwa nachungulia tu na sheria mkononi.. Demu wa kwanza nimekuja kula mwaka wa nne chuoni
 
Umenikumbusha dada flani simtaji jina alikuja kwetu sijazaliwa nikazaliwa mwaka 1965 akanilea nilipoanza la kwanza tu akaondoka.
Huyu ni zaidi ya dada ni mama kwangu
Ngoja nikamsalimie
Niliozesha binti yangu yeye ali act kama mama
Kuna mahali mc alisema dada mlezi wa bibi harusi yaani mwanangu akajitokeza akatoa zawadi
Ikafika zamu yangu nikawaambia kuna dada mlezi wa baba wa bibi Harusi alijitokeza anachechemea na mkongojo alipewa zawadi ya Khanga na zawadi nyingi tu.
Duh ,hongera sana aisee ,sahiv huyo dada ni Mzee sana
 
Wale mliokuwa mnapasha pasha kwa wadada, piteni mbele tuwaone.
Mimi sikulelewa na dada wa kazi ilitokea bahati mbaya mama yetu aliugua kwa muda mrefu akiwa na nzao 4 mimi nikiwa wa 3 anayenifuata ndiyo alikuwa na kama mwaka mmoja tu. Sasa ikabidi waje watoto wa shangazi kutulea, baba wakati huo anahangaika na afya ya maza! Mimi ndiye nikawa nabaki na hao madada, nilibakwa nikiwa mdogo kila nikiwa namtafuta baba namwita dada mkubwa unasikia anaitika ndani akiigiza sauti ya baba nikiingia tu ananikamata na kunichomekea kidudu changu kwenye uke wake! Pumbavu kabisa! Angeweza hata kuniambukiza magonjwa huyu! Sema tu sasa hivi amezeeka na uzuri aliokuwa nao enzi hizo haupo tena, hakika sasa hivi lazima ningemla kikwelikweli!
 
Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?

Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.

Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?

Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.

Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.

Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.

Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?

Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.

Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.

Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)

2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)

3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Mimi nimekulia kijijini

Habari za wasichana wa kazi hatukuwai kuwanaooo wala kuwajuaa so huu uzi haunihusu
 
Dada Mariam alinilea toka nina miaka 2 mpaka kulea kijana wangu wa kwanza.
Hakuwa dada wa kazi tena, alibadilika na kuwa kama yangu mzazi.

Hakujaaliwa kuzaa lakini nina hakika mpaka mauti yake hakuhisi pengo la kutokuwa na mtoto maana wote alietulea tulimchukulia kama mama yetu mzazi.

Mungu amlaze mahala pema peponi.
 
Je, ulishawahi kujiuliza msichana wenu wa kazi wa kipindi hiko yuko wapi na anafanya nini?

Habari zenu wapendwa wana Jf na guests mnaosoma kimya kimya.

Ulishawahi kujiuliza hili swali?
Yuko wapi,
Yu hai au alifariki?
Je, kama ana watoto....huwa anakuja kuwatembelea siku moja moja?

Najua wengi wetu huwa tunawapuuza dada zetu hawa kwani wanakuwa wameshaondoka katika familia zetu na kuanza maisha yao sehemu ingine.

Dada aliyekulea tangu ukiwa una mwaka 1 mpaka unafikisha miaka 10 au 20 n.k unajua alipo?
Alikulea kwa upendo.
Alikupikia, alikufulia nguo zako za shule na za nyumbani, mlicheza pamoja.
Alikuwa anajua ratiba yako ya wiki nzima na anahakikisha anaifuata.

Kuna wadada wengine wa kazi walikuwa ni zaidi ya wazazi kuanzia kwenye upendo mpaka kwenye malezi.
Hata mzazi wako usipomuona siku 3 (kutokana na majukumu ya kazi), dada wa kazi alikuwa mstari wa mbele katika kukulinda na kukutunza.

Kuna zile familia ambazo baba na mama wanaondoka kwenda kazini alfariji sana watoto wakiwa wamelala na wanarudi usiku mkubwa watoto wakiwa wamelala pia, je, hapo umuhimu wa dada wa kazi bado hujauona?

Siku unaamka asubuhi, unakuta dada yako aliyezoea kukuamsha asubuhi, kukuogesha, kukunyooshea nguo na kukupeleka shule hayupo,....lazima ujiulize.

Najua haina umuhimu sana, ila leo nimekaa na kuwaza hili jambo.

Nawakumbuka:
1. Dada Mwajuma....alinilea tangu mama yangu kanizaa mpaka natimiza miaka 8 (huyu alishatangulia mbele ya haki, aendelee kupumzika kwa amani)

2. Dada Gerite miaka 8 mpaka 13 (ana familia yake)

3. Na dada Asha miaka 14 mpaka 18 (nachati nae sana Fb, yuko na familia yake na mumewe na watoto)
Mungu awatunze na muendelee kuwa wamama bora kwa waume zenu na watoto wenu kwa maana mlitulea vyema.
Hongera, sisi tuliozaliwa Kijijini na kukulia huko hakukuwa na housemaids
 
Back
Top Bottom