Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,428
Habarini wana-jamiiforum!
Hivi umeshawahi kujutia kumsaidia mtu,awe ndugu,rafiki au jamaa?
Binafsi nakumbuka tangu shule ya msingi nilikua na mshkaji alimizidi miaka ya kutosha tu so ni kama kaka yangu.
Huyu bwana walikua na hali ngumu kiasi kimaisha,mimi kwetu tulikuwa swaaafi sana mzee alikua mzito zito shirika fulani la umma.
Toka kipind hko mshkaj asipopewa chai alku ananambia nampa mia mbili au tatu ale vitafunwa shule,mara nyingi mamaake wa kambo hakuwa anampa msosi so akawa anakuja home tunashea msosi wangu
Kwa vile alikua mbele yangu madarasa mawili alitangulia kumaliza std 7,akanambia anataka kwenda dsm kutafuta maisha coz home hapakaliki na hazijvi na mamaake wa kambo,ikabidi nijiumwishe nkapewa pesa niende hosp tshs 30elf (miaka ya2007 kushuka chini iliku pesa ya kutosha tu)nikampa pia nikaiba simu home nkampa jamaa akaamsha
Akiwa dsm akapat azi kuza duka,mwenye duka alikua ni jamaa yake ckmbuki ila nahs mamaake mdogo,hakuwa anamlipa,pesa ndogondogo za vocha na k,gest alikua ananiomba mimi,miaka 5 mbele mambo yakamshinda akaomba nauli nkampa jamaa akarud Mtwra,
Akastruggle na bodaboda hatimayeakatoboa akanunua bodaboda3 na bajaj moja mambo yakamnyookea.
Mwaka2017 mzee akafuuzwa kazi akafilisiwa kila kitu(nilikua chuo singida)pesa ya kujikimu chuo ikawa shida ada ndo ilishndkana kbsaa(now nina deni 2.2mil vyeti vya taluma wanvyo wao as dhamana)
Maajabu yakaja hapa kila nkimtafuta jamaa namweleza anisaidie buku 5 or 10 nijikimu chuo anatoa sababu elfu!!!!
Iibidi kuuza laptop simu nguo na viatu kadhaa hatimaye nikahitimu 2018 mwazoni.
Kurud Mtwara jamaa kanenepa kitambi juu anag'aa ukwasi
Nakmbuka nilifika town nkaishiwa nauli nkamchek jamaa anihelp buku nipande daladala akasema hana
Kuna siku home hakuna kitu madogo wanalia njaa nkatoka had town nkatafute chochote njaa kali ikanishika nikakaa stendi ya daladala kila nkisma nismame natetemeka vbaya nkamtxt jamaa madhila yaliyonikuta akasema yupo nje ya mji wakat namuona kbsa anakatiza katiza na bajaj ,basi
nkakaa hapo had saa 1 hvi mmama mmoja akauliza nna tatzo gan mbna natoka jasho huyo ndo akaninunulia chakula akanipa na buku 5 nkakimbilia home kuwahisha unga!
iN short jamaa hayupo radhi hta kutoa jero kwa ajili yangu ila kwa wegne jamaa anajitoa sana haswaaa watoto wa kike!
huyu bwana ndo ananifanya nijutie sana kupenda rafiki na kujitoa kwa ajili yake najuta na naumia sana zile pesa saiz ningefungua duka la rejaeja na likajaa kabisa!!!
note:
for anyone mweye nafasi ya kazi iliyo ndani ya uwezo wangu usisite kuniunga nipo tayari kwa kazi yoyote
age:24
Elimu:astashahada ya ualimu ( Grade A)