Umeshawahi kujutia kumsaidia mtu?

Ukitoa usisubiri Shukrani wala malipo. Mwache wala usisumbuke kumtafuta pambana kivyako vyako utatoboa.
Mkuu ushawahi pata changamoto had ukawa down to zero? Yaan hugusi hata buku 10 kwa zaid yamiez 3 na daily hujui mtakula nn leo? Kuna mambo yanafanya mkutane huko mitaani wala simdai wema wangu ila najuita sana kuutoa
 
Noma sanaa mzee...
 
Mara kibao haswa wale ndugu wakopa kopa pesa, sasa hivi huwa sikopeshi mtu hela hata kama ninayo...
Nakushauri usie unakopesha wape tu for free maadam unayo mkuu
 
Daaah matendo ya watu wegnne yanaleta effect sana kwa wenye shida wengine infact walifanya makosa sana kwakweli wanakill sense of humanity

Lakini kama una nafasi ya kunisaidia please let us be different
 
Waliosema ukitoa toa bila kukumbuka walikuwa na maana hiyo, usiache kusaidia mtu bali saidia mtu na usahau kuwa ulimsaidia usihitaji akurudishie maana watu ni tofauti sana duniani
N kweli mazingira ndio yalikuwa yanafanya niwe naingia anga za jamaa sio kwamba nilimtafuta alipe fadhila haana

Sikuwahi kukumbuka kama nilimsaidia hadi maisha yalipoyumba ndio nikamwambia hiki na kile sio kwa kuwa nilimsaidia ni kwa sababu ndiorafiki mkubwa kwangu
 
D
Daaaaaaah dunia hii jaman!
 
Inauma...., Ukiamua kusaidia mkuu we saidia tu. Wanadamu ukisubiri return utabaki unashangaa na usiamini.
Daah yaan tangu utoto had tumekua then jamaa anafanya hvo tunapotezea sawa but bado itauma tu
 
Asante sana umenisaidia sana kueleza sababu ya kumuomba msaada hyu mtu
 
Ngoja nisiandike kitu ila upande wangu bora unione mbayaa funzo nlilopata maishan kuhusu kusaidia watu ni kubwa kuliko hata degree
 
Nakumbuka nilipomaliza chuo nililala stendi ya basi misuna singida kwa siku 3 daah na kile kibaridi cha singida daaah
 
Nakumbuka nilipomaliza chuo nililala stendi ya basi misuna singida kwa siku 3 daah na kile kibaridi cha singida daaah
Mkuu umenikumbusha machungu binafsi niliwahi kumsaidia brother shukrani aliyo nipa iliniumiza mno,Nikamsaidia tena rafiki kwa Sasa nimejifunza bora kuwa na roho mbaya. Allah anisamehe.
Hawachi rudisha moyo nyuma jaman
 
Kweli mlikuwa mmeshibana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu hichi ni kipindi Duniani ambacho binadamu ni mbinafsi sanaa,tunapenda fedha,Mali,kuabudiwa,kujionyesha.nk.so utakuta uyo mchizi anakudis hukuwahi kumsaidia,so once you help some one dont expect akurudishie wema wako. Just tenda wema nenda zako usingoje shukrani .Mungu Mwenyewe atakulipa.Yashanikuta kaka yangu,kuna kipindi nilitoa muda na Mali kwa baadhi ya watu,ila amini hao watu sijawahi kuwaona,bt I blve the blessings I have ni kwa sababu ya matendo yangu.
Ni binadamu wachache wenye kurudisha fadhila my brother.
 
Ningekua dereva siendeshi gari,namuachia aende mwenyewe,ningebaki na huyo ndugu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…