Umeshawahi kujutia kumsaidia mtu?

Umeshawahi kujutia kumsaidia mtu?

Ukitoa usisubiri Shukrani wala malipo. Mwache wala usisumbuke kumtafuta pambana kivyako vyako utatoboa.
Mkuu ushawahi pata changamoto had ukawa down to zero? Yaan hugusi hata buku 10 kwa zaid yamiez 3 na daily hujui mtakula nn leo? Kuna mambo yanafanya mkutane huko mitaani wala simdai wema wangu ila najuita sana kuutoa
 
Inauma sana aseee. Kipindi namaliza chuo nilikuwa sina nauli kabisa ya kurudi home wazazi walipata majanga flan yakawamalizia pesa kabisa. Nikamuomba rafiki yangu kipenzi ambaye nilimsaidia sana na kumtreat kama ndugu kipindi iko alikuwa kapata ajira ya ualimu ana mwaka mzima kazini nikamuomba aniazime japo shilingi elfu kumi na tano then nikifika home ntamrudishia huwezi amini jamaa alininyima iliniuma saaana nikajifunza kitu ukiwa na shida watu wanakukimbia
Noma sanaa mzee...
 
Mara kibao haswa wale ndugu wakopa kopa pesa, sasa hivi huwa sikopeshi mtu hela hata kama ninayo...
Nakushauri usie unakopesha wape tu for free maadam unayo mkuu
 
Nilimsaidia mdada flani niliyekutana nae Chuo, alikuwa na shida sn kiuchumi, nikapigana mpaka akapata kazi Serikalini kwenye Taasisi nyeti sn, huu ni mwaka wa 4 hakuwahi ht kuniambia asante ya mdomo alivyoripoti kazn akauchuna tu, jamaa yng pia nikamsaidia kupata kazi kwenye Kampuni moja hapa bongo ya mawasiliano lakini alivyopata kazi hakuwahi kunitafuta wala kuniambia asante mpaka alivyoharibu kibarua na wakampiga chini kabisa ndio akanipigia sim nilimtimulia mbali aliniharibia kwa yule bosi mpk leo sina hamu tena ya kumsaidia mtu apate kazi.
Daaah matendo ya watu wegnne yanaleta effect sana kwa wenye shida wengine infact walifanya makosa sana kwakweli wanakill sense of humanity

Lakini kama una nafasi ya kunisaidia please let us be different
 
Waliosema ukitoa toa bila kukumbuka walikuwa na maana hiyo, usiache kusaidia mtu bali saidia mtu na usahau kuwa ulimsaidia usihitaji akurudishie maana watu ni tofauti sana duniani
N kweli mazingira ndio yalikuwa yanafanya niwe naingia anga za jamaa sio kwamba nilimtafuta alipe fadhila haana

Sikuwahi kukumbuka kama nilimsaidia hadi maisha yalipoyumba ndio nikamwambia hiki na kile sio kwa kuwa nilimsaidia ni kwa sababu ndiorafiki mkubwa kwangu
 
D
Watu kama hao wasiokumbuka walipotoka mwisho wao huwa mbaya sana...Sasa Si afadhali huyo kaka,,,Ngoja nikupe stori wengine watajifunza mimi baba yangu alimlea mtoto wa dada ake tangu akiwa ana umri wa miaka 5 mpaka anapata mke,,ni yeye ndiye alimfundisha biashara za sokoni na pia alimpata mtaji baada ya kuzoea akawa anapiga kazi lakini kulala na kula home.

Mungu akamsaidia akatoboa ikafikia jamaa anamiliki magari Daladala zaidi ya 10+ maroli na maduka acha nyumba za kuishi...ila huyo jamaa kwake hataki hata ndugu hata akikuta njiani hata kusaidia hata kwa lift tu salamau hadi umuanze wewe.Alikua yuko radhi ambipu mzee kuliko kumpigia ajabu sana mtu mwenye biashara za maana alikuwa anabipu ili aonekane hana kitu.

Mzee hata kama aliomba laki akopeshwe hatapata hata aombeje,Mwaka 2014 bro wangu alikua anatoka Tunduru na gari ndogo alipofika sehenu moja katikati ya muhoro na somanga gari ikaharibika na pale ni pori kwa bahati akaona fuso inakuja akasimamisha aimbe msaada wa kuvutwa ikasimama,,dereva wa fuso akawa ameshuka amsaidie akakubali kumvuta ila akamwambia ngoja amwambie boss maana yupo nae basi kunwambia aah kumbe ndo jamaa bro akajua kwa sababu ni mtoto wa shangazi mambo yangekuwa poa lakini jamaa alikataa katakata na kusema gari imebeba mzigo mzito hawezi kumvuta mpaka dereva alishangaa baada ya kujua wale ndugu lakini boss analeta ukuda usiku wa saa 4 kumuacha ndugu yake porini.

Bro aliporudi home akamwambia baba kuwa kuanzia leo hana undugu na yule jamaa,maana si binadamu.Jamaa mama alipokuwa anaenda kwake mara nyingi alishindwa kukaa kwa tuhuma za uchawi,siku moja mjukuu wake aliwahi kulalamika kuwa ameibiwa chupi na mjukuu wake Hiyo siku shangazi alilia sana akaondoka n kuaapa hatarudi kwa mtoto wake tena,,,japo walikuja kupatanishwa lakini still maelewano hayakuwa mazuri.

Nifupishe stori,mwaka juzi shangazi alikufa ninavyozungumza sasa yule jamaa amefirisika sana amepoteza karibu 50% ya utajiri wake na hata rafiki zake waliwahi kunfuata mzee kumwambia afanye namba amsaidie mjomba wake anapoelekea ni kubaya.

Kwa hiyo kaka usisikitie kuna watu wana roho mbaya sana na mwisho wao huwa mbaya.
Daaaaaaah dunia hii jaman!
 
Inauma...., Ukiamua kusaidia mkuu we saidia tu. Wanadamu ukisubiri return utabaki unashangaa na usiamini.
Daah yaan tangu utoto had tumekua then jamaa anafanya hvo tunapotezea sawa but bado itauma tu
 
Nimkweli unapomsaidia mtu usitegemee shukrani toka kwake, ila mtu ukipata shida na ukahitaji msaada wazo la kwanza ni kumwomba mtu wako wa karibu huwezi kuanza kuvamia usiowajua wakusaidie labda uwe ombaomba mtaani. Ila mimi wakati nasoma kuna mshikaji alikuwa ananipeleka kukaa kwao ila baadae tukapotezana kwa sasa ni miaka mingi. Ila kuanzia 2015 mambo yalibadilika sana. Akanitafuta akanipata akanieleza kwa kweli naona kama ndugu yangu tu kwa sababu alinisaidia zamani. Hivyo ndugu yangu ukipata shida unaanza na uliyemsaidia kama ana uwezo huwezi kuvamia watu.
Asante sana umenisaidia sana kueleza sababu ya kumuomba msaada hyu mtu
 
Ngoja nisiandike kitu ila upande wangu bora unione mbayaa funzo nlilopata maishan kuhusu kusaidia watu ni kubwa kuliko hata degree
 
Inauma sana aseee. Kipindi namaliza chuo nilikuwa sina nauli kabisa ya kurudi home wazazi walipata majanga flan yakawamalizia pesa kabisa. Nikamuomba rafiki yangu kipenzi ambaye nilimsaidia sana na kumtreat kama ndugu kipindi iko alikuwa kapata ajira ya ualimu ana mwaka mzima kazini nikamuomba aniazime japo shilingi elfu kumi na tano then nikifika home ntamrudishia huwezi amini jamaa alininyima iliniuma saaana nikajifunza kitu ukiwa na shida watu wanakukimbia
Inauma sana aseee. Kipindi namaliza chuo nilikuwa sina nauli kabisa ya kurudi home wazazi walipata majanga flan yakawamalizia pesa kabisa. Nikamuomba rafiki yangu kipenzi ambaye nilimsaidia sana na kumtreat kama ndugu kipindi iko alikuwa kapata ajira ya ualimu ana mwaka mzima kazini nikamuomba aniazime japo shilingi elfu kumi na tano then nikifika home ntamrudishia huwezi amini jamaa alininyima iliniuma saaana nikajifunza kitu ukiwa na shida watu wanakukimbia
Nakumbuka nilipomaliza chuo nililala stendi ya basi misuna singida kwa siku 3 daah na kile kibaridi cha singida daaah
 
Mkuu umenikumbusha machungu binafsi niliwahi kumsaidia brother shukrani aliyo nipa iliniumiza mno,Nikamsaidia tena rafiki kwa Sasa nimejifunza bora kuwa na roho mbaya. Allah anisamehe.
Hawachi rudisha moyo nyuma jaman
 
sijuti maana nilifanya nililoweza. nimeshawahi kumkopesha mtu pesa ambayo niliikopa kwa mtu mwingine ili tu nimsaidie kutokana na kushibana kwetu. Cha ajabu mimi nilimaliza mkopo wangu kwa mtu mwingine lakini yeye alinilipa theluthi tu na hapo anaishi good life kinyama huku mimi nakaa kishida tu. Halafu hata hashtuki ila sijutii maana kashajipa termination na somo gumu kanipa. Sasa hivi ninakupa ninachoweza kutoa, sijitoi mbuzi wa kafara tena
Kweli mlikuwa mmeshibana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bro naelewa ni nini unapitia, mimi kuna wakati nasema kuwa i wont help anybody kutokana na mambo kama haya lakini inafikia point nasema basi tu Mungu ndo analipa, mimi imefikia point nimefuta namba za simu zote kwenye simu yangu za watu ambao hawana faida wala manufaa kwangu, nimefuta hata namba za ndugu mpaka wa kuzaliwa .

Kunakipindi mtu unapitia unajiona kama dunia nzima uko peke yako unakutana na mtu unamueleza matatizo yako tena mtu anaekujua kabisa lakini the way ana respond mpaka unakata tamaa unaona haina haja tena ya kueleza shida zako kwa yeyote.
Mkuu hichi ni kipindi Duniani ambacho binadamu ni mbinafsi sanaa,tunapenda fedha,Mali,kuabudiwa,kujionyesha.nk.so utakuta uyo mchizi anakudis hukuwahi kumsaidia,so once you help some one dont expect akurudishie wema wako. Just tenda wema nenda zako usingoje shukrani .Mungu Mwenyewe atakulipa.Yashanikuta kaka yangu,kuna kipindi nilitoa muda na Mali kwa baadhi ya watu,ila amini hao watu sijawahi kuwaona,bt I blve the blessings I have ni kwa sababu ya matendo yangu.
Ni binadamu wachache wenye kurudisha fadhila my brother.
 
Watu kama hao wasiokumbuka walipotoka mwisho wao huwa mbaya sana...Sasa Si afadhali huyo kaka,,,Ngoja nikupe stori wengine watajifunza mimi baba yangu alimlea mtoto wa dada ake tangu akiwa ana umri wa miaka 5 mpaka anapata mke,,ni yeye ndiye alimfundisha biashara za sokoni na pia alimpata mtaji baada ya kuzoea akawa anapiga kazi lakini kulala na kula home.

Mungu akamsaidia akatoboa ikafikia jamaa anamiliki magari Daladala zaidi ya 10+ maroli na maduka acha nyumba za kuishi...ila huyo jamaa kwake hataki hata ndugu hata akikuta njiani hata kusaidia hata kwa lift tu salamau hadi umuanze wewe.Alikua yuko radhi ambipu mzee kuliko kumpigia ajabu sana mtu mwenye biashara za maana alikuwa anabipu ili aonekane hana kitu.

Mzee hata kama aliomba laki akopeshwe hatapata hata aombeje,Mwaka 2014 bro wangu alikua anatoka Tunduru na gari ndogo alipofika sehenu moja katikati ya muhoro na somanga gari ikaharibika na pale ni pori kwa bahati akaona fuso inakuja akasimamisha aimbe msaada wa kuvutwa ikasimama,,dereva wa fuso akawa ameshuka amsaidie akakubali kumvuta ila akamwambia ngoja amwambie boss maana yupo nae basi kunwambia aah kumbe ndo jamaa bro akajua kwa sababu ni mtoto wa shangazi mambo yangekuwa poa lakini jamaa alikataa katakata na kusema gari imebeba mzigo mzito hawezi kumvuta mpaka dereva alishangaa baada ya kujua wale ndugu lakini boss analeta ukuda usiku wa saa 4 kumuacha ndugu yake porini.

Bro aliporudi home akamwambia baba kuwa kuanzia leo hana undugu na yule jamaa,maana si binadamu.Jamaa mama alipokuwa anaenda kwake mara nyingi alishindwa kukaa kwa tuhuma za uchawi,siku moja mjukuu wake aliwahi kulalamika kuwa ameibiwa chupi na mjukuu wake Hiyo siku shangazi alilia sana akaondoka n kuaapa hatarudi kwa mtoto wake tena,,,japo walikuja kupatanishwa lakini still maelewano hayakuwa mazuri.

Nifupishe stori,mwaka juzi shangazi alikufa ninavyozungumza sasa yule jamaa amefirisika sana amepoteza karibu 50% ya utajiri wake na hata rafiki zake waliwahi kunfuata mzee kumwambia afanye namba amsaidie mjomba wake anapoelekea ni kubaya.

Kwa hiyo kaka usisikitie kuna watu wana roho mbaya sana na mwisho wao huwa mbaya.
Ningekua dereva siendeshi gari,namuachia aende mwenyewe,ningebaki na huyo ndugu yake.
 
Back
Top Bottom