Umeshawahi kujutia kumsaidia mtu?

Dah!! Mkuu ulifika mbali sana!!!
alifanya jambo zuri ambalo limempunguzia maumivu ya nafsi aliyekuwa nayo. fikiri vizuri, hiyo laptop angeilipa vipi kama asingepata hiyo hela? kama alikopa , unajua alimaliza vipi deni? unajua alifanya lipi au alifanywa nini kuilipa hiyo laptop? Jamaa kafanya jambo la maana sana, na hilo ni funzo la uaminifu.
 
Duh
 
Wema hauozi, utakuja kutusua kwa namna nyingine ambayo hujatarajia, pambana na usikate tamaa
 
Inawezekana sipo sahihi, lakini kinachokuumiza ni Kwa vile ulimsaidia SANA siku za nyuma. Kama ungekuwa hujawahi kumsaidia pengine hata huu uzi usingeuanzisha
 
Kuna habari ukisimiliwa unaweza ukapata nafuu SANA ukilinganisha na iliyoyapitia. HUYU NDUGU ATAPOTEA VIBAYA.
 
Mkuu wengine wanapesa zenye masharti magumu. Hapo omba Mungu isije ikawa anatembelea nyota yako, kama amekushika nyota kutusua itakuwa ngumu ila kama nyota bado inang'aa utatusua tu usiogope.
 
Sio wote jamaa yangu rekebisha kauli yako, nina mifano mizuri tu ya baadhi ya hayo makabila ni watu wenye moyo wa kusaidia sana na wenye upendo wa kweli.
 
Sijaelewa Ila ukimsaidia mtu sifikirii Kama unamsubiri akulipe unapokwama ni bora usisaidie huyo mtu hata Kwa kidogo maana utakuwa too disappointed.
 
Usimuamin mtu ambaye umeachana naye zaid ya miaka miwil au mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…