Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Hey people,
Good evening
Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Sababu ilikuwa ni ipi?
Naanza,
Wakati nasoma niliwahi kupendana na mtu ambaye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza, baadae akaja niambia ati tuachane na mbaya zaidi akaanza kupendana na mdada mwingine pale pale class(ilisemekana hivyo, sikuwahi kuwaona pamoja hadi niliposikia wameachana).
Nilijikatia tamaa ya kuishi kiasi kwamba niliamua kupiga simu home kuwataarifu naacha shule nataka kurudi nyumbani kupumzika, walikataa nikaendelea kibishi hadi nilipomaliza.
With time nilikuja kukaa sawa.
Wewe Seleina Tikili kwanini umejikatia tamaa?
View: https://youtu.be/0p3Os1VJOqU?si=S9XB-vdSHZopxC_d