cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
cocochanel huu sio mwandiko wako bhana
Kiswahili changu sasa, Shukurani kwa JF. Ila maneno nisingetaka yaje, nisingerusha. 🤗
cocochanel huu sio mwandiko wako bhana
Nikikwambia sijui vijiweni wanaongea nini hutaniamini 😃
Hivi kweli wewe huwa unabet au unatuchora?
Kweli vijiweni hujui watu wanaongelea nini?? 😹😹
DoneNa ww futa h 😎
Amesahau kuweka signature yake aliyokuwa anaitumia anapomtumia Bwana AIcocochanel huu sio mwandiko wako bhana
Dah ww kweli n mtoto wa kishua 🙌Kweli kwanza vijiweni ni neno nalisikiaga lakini uhalisia wa neno au watu wapo vijiweni siujui 🤦♀️
Kesha kuelewa ...Dah ww kweli n mtoto wa kishua 🙌
Kausha broKesha kuelewa ...
Hivi Azam Na Yanga wametokaje.?
Asipoelewa na hapa basi.
Huu ndo mwandiko wako sasa 😂
Jamaniii 😂😂😂 soon utanizoea na upya wangu. 💃🏽💃🏽💃🏽 Nimesemwa sana humu, kilugha ninge andika kama kila mtu humu angeelewa.
Ila waje tu niwape mengi waboreshe, wajiongeze itumike kirahisi na wengi.. Tupendao kusevu muda kujiachia humu. 😀
Nimefiwa na wakaribu.. Kuwasahau siwezi naishi kama wapo nchi zingine haswa nikiwa fikiria kila ya leo na kuwakumbuka. Ni mengi dia, ngumu Ila Maisha yanasonga. Na ndugu kila mtu anapigwa kivyake, muhimu kutambua hili ili kutofikiriana vibaya. Tuzidi kuombeana 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Jambo Moja tambua ya kuwa hata giza liwe totoro kiasi gani just uko Duniani tambua na uelewe kuwa Asubuhi itafika.Nimesoma hii nimeishia kuumia mno, ndiyo kipindi ninachopitia hivi sasa, nahisi moyo wangu unavuja damu, Mungu anisaidie tu nivuke salama huu msimu bila kuchukua maamuzi yoyote magumu..!
Ngoja kwanza nikalie tena..!🙌🏾
de Gunner pia ni mimiNilicho gundua hiyo Seleina Tikili ni wewe
Mkuu Fafanua kidogo2010 na 2017.
2010 ni kama nilifufuka kwa msaada wa madaktari ila 2017 baada ya akili zangu kufika mwisho niliamuru mambo fulani kwa imani yakatokea kwa zaidi ya 100%
2013-2014 nilikuwa bega kwa bega nikimsapoti kiranga kwenye hoja za kupingana na nguvu za kiroho lakini hiyo 2017 kuna vitu niliamuru wakati nakaribia kudanja vikatokea kwa namna ambayo iliifanya niwe mpole kwenye mambo ya imani.
Yote hayo ilikua ni mapenzi na kufilisika..... Now nimeimarika kila nyanja 😊