Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Hivi nani alishawahi kumpenda mtu then by one way or another isiwe meant to be?

Guys, Mwaka juzi nilipitia Maumivu makali saana, it was the most excruciating pain I ever had..

Nilipata dark night of the soul(yaani unakuwa kama mzoga unao tembea) nafsi inakosa mwanga kabisa, nothing feels exciting)

I never knew I was weak, nililia kama mtoto, nilimtumia message ka essay, nikawaambia watu wa karibu, mpk nikaja na uzi humu..

Hapo ndo nilipo funzwa ya kuwa, mapenzi ni usenge mambo ya hopeless romantics ni kuwaachia wazungu tu..

Healing, ilitokea pale nilipo amka siku moja na kugundua kuwa ukipenda bila return unakuwa mtumwa...

Niliacha, kumwaza ghafla nikaanza kufocus na kufurahia maisha ya kila siku, bila expectations za kupata mtu ka yeye..

Well, that's when nikakutana na mrembo mwingine, aliyenipenda ila sikutarajia kama tungeenda popote, we still together (long distance) ila ndo hivyo ile break up ndo imesababisha nimekuwa imara.

Cc meghan markle
 
Cash out mlima zaidi ya kiinua mgongo,
Nikakataa rushwa
Kanji akafunga cash out na mkekq ukachanika.
Nililia sana.
Kwanini unataka tukumbuke yaliyotujeruhi Hadi tukafikia hatua ya kukata tamaa huoni kama tutakua tuna attract yajirudie Tena wakati tulishakubalia kwamba forward we Go.
Kuna watu wana majereha ya moyo Wengine ya nje ya mwili.
Nikiskia majambazi
Nikiona kisu mwili wangu Huwa unasisimka sana kwani duniani Kuna watu makatiri na wenye roho nzuri pia.l
 
Aloooh! Nimejitahidi kukuelewa ulichoandika hapa ilaaa 😂😂
Ni kilugha gani hiko kinakutesa miaka yote hapa JF

Wewe na Pdidy the way mnaandika ni kujiamulia tu 🤦‍♀️

Mbona mimi nimeandika vizuri sana jamani..

Unataka niandike kila kitu!!!.. Ukikutana nayo tena ukisoma naamini utaelewa..

Inshallah tulikutana tena 😊
 
Nimesoma hii nimeishia kuumia mno, ndiyo kipindi ninachopitia hivi sasa, nahisi moyo wangu unavuja damu, Mungu anisaidie tu nivuke salama huu msimu bila kuchukua maamuzi yoyote magumu..!

Ngoja kwanza nikalie tena..!🙌🏾
Kulia ni njia nzuri sana ya kupunguza uchungu wa ndani kabisa, kama umejaliwa kulia unapokutana nyakati ngumu, tafuta faragha lia kadri unavyo weza.
Kuna faraja kubwa sana baada ya kulia.

Vinginevyo pole sana, juwa tu kama kulivyo pambazuka jana na kuka kuchwa ndivyo nyakati ngumu zinavyo pita, haidumu hio hali.

Ombi langu uvuke salama bila majeraha.
 
2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo 😭

Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Mkuu move on usiendelee kuweka akili sehemu hauhitajiki.... Dunia hii haina huruma na watu sio wema....

Back then around 2017 nilikua na kazi fresh tu akaja jamaa ambaye ni contractor mwingine ambaye tunafanya kazi sawa wakani approach wakapandisha dau. Nilipiga hesabu na nilipo mishahara ilikua ni mpaka miezi 3 ndio unalipwa nikasepa.

Nikasaini contract wakaniwekea kipengele cha probation 3 month. Nikachapa kazi kwa uaminifu mkubwa kumbe wadau hawapendi. Imefika mwisho wa probation nashangaa nakuwa terminated.

Ingawa nilipigwa na butwaa ila sikuuliza sababu wala sikulalamika ila baadaye ndio nikaambiwa wana walipiga dili wakasingizia kwa boss ni wewe na mia sikula wala kujua hiyo dili.

Nikala buyu nikasepa nilikula msoto 2017-2019 hatari sana. Plus wakati nipo home dogo mmoja akapindua gari yangu ikawa right off halafu sina bima kubwa (story ya siku nyingine nilitokaje hapa)......

Nilifikia kipindi sina mia mtoto yupo shule yani nilikuwa namkopa mpaka housegirl wetu, mama watoto alikua akipata buku 10 ananisukumizia nikapate jibapa nitoe mawazo.

Niliuza mpaka mihogo kudadeki ila ile ya kishua buku buku na mishikaki.

Ila niliapa wale jamaa sitafanya nao kazi tena hata iwaje. And karma is a good bitch anakulipa kadri ya matendo yako. Ile kampuni walifitiana tena mpaka ikaja kufa after only 2 years toka wanifitini...

Back to me 2020 nikaamua kubadili fani ya engineering nikahama field na kuingia field nyingine ya engineering on the same sector nikachapa cv upya nikapata dili temporary nilikula msoto pale mwanzo nilikuwa napiga msuli usiku asubuhi naingia job wanaona expert si ndio huyu. Kumbe msuli usiku asubuhi kazini baadae nikapelekwa field nikanyoosha project. Nilifanya miezi mitatu mkataba ukaisha.

Nikaapply kazi kwingine nikapata nmekaa pale mwezi mmoja naona mapicha tu naingia ofsini sipewi kazi nashangaa tu mwezi wa kwanza umeisha sioni mshahara. Wa pili hola naambiwa sijui mifumo sijui nini. Nikawaambia sikilizeni mi ngoja nirudi kitaa. Kumbe nilivyoajiriwa kuna boss alikua na mtu wake anataka amweke nafasi yangu. Akawa aapprove mishahara yangu. Nilivyosepa tu mtu akawekwa pale.

Nikasota miezi kama miwili boss mmoja pale akaniita akanipa dili la nje... From there the rest ikawa history.... Nikaanza upya nikachapa kazi mpaka yule mshua aliyenichomoa akaona noma.

Kilichoendelea yule boss akaja kugombana na share holder wenzake wakagawanya kampuni ile kampuni yake ikawa hoe hae. Ile niliyobaki tunadunda mpaka sasa na kuna vihaki haki nikapewa pale viasilimia flani nasukuma gurudumu level za juu....

So mangi achana na kusikitika kaza moyo songa mbele haya ndio maisha duniani hatujaja kutia huruma ni kukaza nginja nginja....

Ukikata tamaa na kutia huruma kuna fala ni advantage kwake..

Ukijiua ni kumpa funza chakula cha bure. Tunakomaa hapa hapa duniani.

Mimi ukinitendea ubaya naachana na wewe sihangaiki sikusumbui nasonga yatakayokupata ni kadri ya matendo yako.

Kuna demu nilimpenda 2007 huko fala yule kuna siku ananitumia message kuwa hanipendi after 3 yrs ni alikua anapretend... nikateseka ila siku niliamka nikaenda baharini nikapiga ukunga na kelele pale mpaka stress zangu zikaisha nikaapa kwa majina yote. Yule mpuuzi mpaka leo haolewi wala hazai. Mwaka jana ananitafuta nmsamehe aendelee na maisha yake after fucken 18yrs....

Ngoja nisikumbuke haya mambo.
 
Cash out mlima zaidi ya kiinua mgongo,
Nikakataa rushwa
Kanji akafunga cash out na mkekq ukachanika.
Nililia sana.
Kwanini unataka tukumbuke yaliyotujeruhi Hadi tukafikia hatua ya kukata tamaa huoni kama tutakua tuna attract yajirudie Tena wakati tulishakubalia kwamba forward we Go.
Kuna watu wana majereha ya moyo Wengine ya nje ya mwili.
Nikiskia majambazi
Nikiona kisu mwili wangu Huwa unasisimka sana kwani duniani Kuna watu makatiri na wenye roho nzuri pia.l

Lengo ni wengine waone kila changamoto ina mwisho wake ama atleast ina uafadhali with time
 
Hivi nani alishawahi kumpenda mtu then by one way or another isiwe meant to be?

Guys, Mwaka juzi nilipitia Maumivu makali saana, it was the most excruciating pain I ever had..

Nilipata dark night of the soul(yaani unakuwa kama mzoga unao tembea) nafsi inakosa mwanga kabisa, nothing feels exciting)

I never knew I was weak, nililia kama mtoto, nilimtumia message ka essay, nikawaambia watu wa karibu, mpk nikaja na uzi humu..

Hapo ndo nilipo funzwa ya kuwa, mapenzi ni usenge mambo ya hopeless romantics ni kuwaachia wazungu tu..

Healing, ilitokea pale nilipo amka siku moja na kugundua kuwa ukipenda bila return unakuwa mtumwa...

Niliacha, kumwaza ghafla nikaanza kufocus na kufurahia maisha ya kila siku, bila expectations za kupata mtu ka yeye..

Well, that's when nikakutana na mrembo mwingine, aliyenipenda ila sikutarajia kama tungeenda popote, we still together (long distance) ila ndo hivyo ile break up ndo imesababisha nimekuwa imara.

Cc meghan markle

Ndo alikutoa uvulana wako sio?

Razorblade
 
2010 na 2017.

2010 ni kama nilifufuka kwa msaada wa madaktari ila 2017 baada ya akili zangu kufika mwisho niliamuru mambo fulani kwa imani yakatokea kwa zaidi ya 100%

2013-2014 nilikuwa bega kwa bega nikimsapoti kiranga kwenye hoja za kupingana na nguvu za kiroho lakini hiyo 2017 kuna vitu niliamuru wakati nakaribia kudanja vikatokea kwa namna ambayo iliifanya niwe mpole kwenye mambo ya imani.

Yote hayo ilikua ni mapenzi na kufilisika..... Now nimeimarika kila nyanja 😊
Naomba laki mkuu
 
Hey people,
Good evening

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Sababu ilikuwa ni ipi?

Naanza,
Wakati nasoma niliwahi kupendana na mtu ambaye alikuwa mwanaume wangu wa kwanza,baadae akaja niambia ati tuachane na mbaya zaidi akaanza kupendana na mdada mwingine pale pale class(ilisemekana hivyo,sikuwahi kuwaona pamoja hadi niliposikia wameachana)

Nilijikatia tamaa ya kuishi kiasi kwamba niliamua kupiga simu home kuwataarifu naacha shule nataka kurudi nyumbani kupumzika, walikataa nikaendelea kibishi hadi nilipomaliza

With time nilikuja kukaa sawa

Wewe Seleina Tikili kwanini umejikatia tamaa?

Uzi tayari




View: https://youtu.be/0p3Os1VJOqU?si=S9XB-vdSHZopxC_d

My current situation,nilipoteza kazi 2025, nikajaribu kilimo. Wakati wa kuvuna nikapata msiba, niliyemuachia akauza na kupotea. Nimepoteza kila kitu.
 
Back
Top Bottom