RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Staff members,dada mtu,mkubwa wa kada yetu,diwani,mfanya biashara wa electronics equipments,Hadi mwanafunzi niliyemfundisha walishirikiana pamoja kunitemesha familia niliyoipigania sana na kuamua upya maisha!!!
Niipokuja kugundua WALKING DEADLY aiseh!!
Hata alipojaribu Kuni drag back kwa nguvu nirudi kwenye mstari baada ya kuona naondoka,niligoma kurudi kabisa!!!
Ogopa cycle ya mkeo ni hatari sana
Majarubani!!
Niipokuja kugundua WALKING DEADLY aiseh!!
Hata alipojaribu Kuni drag back kwa nguvu nirudi kwenye mstari baada ya kuona naondoka,niligoma kurudi kabisa!!!
Ogopa cycle ya mkeo ni hatari sana
Majarubani!!