Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

Alikuwa kanizidi mwaka mmoja tuuu na miezi kadhaa
Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikuwa mtu wangu wa kwanza,nilimpenda kweli kweli na sikuwa na mtu wa pembeni wa kunifariji wakati yeye ananiacha

Ndio roughness yenyewe sasa, yani unakatishwa ghafla connection na mtu uliyemzoea na kumpenda na hata hukuona dalili mapema ukajiandaa kwa the worse!
 
Ukisoma posts zote kwa huu uzi utaona kila mtu hapa alitaka kukata tamaa kwa sababu ya kuumizwa na mtu mwingine tazama dada yetu Joanah aliyeanzisha uzi hadi wa mwisho kbs hamna aliyekutana na tukio natural, ni watu tu waliotaka aumie na wakamuumiza!
Mkuu duniani humu wenye ufahamu na kujua mema na mabaya ni kiumbe binadamu. Sasa unataka ukatishwe tamaa na Ng'ombe? Ukiona hukatishwi tamaa na kiumbe binadamu basi bado maisha hayajashika speed.... Up and down kwenye maisha ni kawaida ila tunatofautiana level....
 
Hadi umri huu niliofika bado sijafikia hiyo Hali, Kwa Hilo Tu nashkuru, sio kwamba sijapitia magumu hapana Bali kuna namna Tu najikuta Niko salama bila kutarajia.
Watu wanatofutiana level katika kukata tamaa na kuwa disappointed. Wengine wanakwama wengine wanachukulia easy wana move...
 
Alikuwa kanizidi mwaka mmoja tuuu na miezi kadhaa
Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikuwa mtu wangu wa kwanza,nilimpenda kweli kweli na sikuwa na mtu wa pembeni wa kunifariji wakati yeye ananiacha
Kuna jambo la msingi sana umeliongea hapo "Nafikiri maumivu yalitokana na kwamba alikua mtu wangu wa kwanza''

Mapenzi na mtu wako wa kwanza kabisa ndio mapenzi halisi na yana hisia zaidi,kuna sababu nyingi ila mojawapo unakua hujawahi kuumizwa na mapenzi,so utampenda mpenzi wako kwa asilimia mia na kwa penzi la kweli kutoka ndani ya nafsi yako.
 
Kuna watu humu wanajifanya hawajawahi kuumizwa au kukata tamaa. Ni hivi kila mtu ana breaking point yake. Ni vile hayajafika ktk kiwango chako. Ndiyo maana mwingine kazi inamuumiza kuliko kifo Cha mama yake mwingine mapenzi mwingine kuungua kwa nyumba. Kila mtu ana point ya kuumizwa.
 
Back
Top Bottom