Nyumba niliyokuwa naishi ilichomwa moto usiku, nikiwa ndani ila niliwahi kuudhibiti moto kabla haujaniletea madhara..
Kesho yake ikachomwa moto nyumba ya pembeni yangu na watu wakafa, so hiyo kitu iliniathiri na kujihisi na mimi ni mmoja ya wale waliokufa
Mwezi mzima nilihisi kama nimekufa ila nipo duniani kwa muda tu
Sababu ya kuchomwa moto ni
I was in a certain country where there were strikes directed at traders, particularly foreign nationals. Consequently, the demonstrators resorted to acts of arson. Sitaki kuzua taharuki
Doh! Pole sana, jaribu kuachilia uponye nafsi yako2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo π
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Polee Lamomy kwa kuondokewa na mamaNilipompoteza my momy nilihisi dunia imefika mwisho..!! π₯
Nilikua nashinda nalia muda wote hata shule niliona ya uchungu..!
Ilikuja kunitokea tena hiyo hali kwa mwanaume niliyempenda sana aliponipa siri yake aliyonificha kipindi kirefu kwa kuogopa kunipoteza..!! ππ
Nilimuacha huku nampenda na sijawahi kutamani kuingia kwenye mapenzi tena..!!
Hua najaribu hilo sana aisee, mbaya zaidi n sehemu ambayo haiwezi kupita wiki bila kufahamu chcht khs hiyo sehemu na hapo ndo nazidi kuumia zaidiDoh! Pole sana, jaribu kuachilia uponye nafsi yako
2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo π
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
2010 na 2017.
2010 ni kama nilifufuka kwa msaada wa madaktari ila 2017 baada ya akili zangu kufika mwisho niliamuru mambo fulani kwa imani yakatokea kwa zaidi ya 100%
2013-2014 nilikuwa bega kwa bega nikimsapoti kiranga kwenye hoja za kupingana na nguvu za kiroho lakini hiyo 2017 kuna vitu niliamuru wakati nakaribia kudanja vikatokea kwa namna ambayo iliifanya niwe mpole kwenye mambo ya imani.
Yote hayo ilikua ni mapenzi na kufilisika..... Now nimeimarika kila nyanja π
Nikwoti kama unaweza ....
Hiyo mbinu ni gani?
Dah kumove on Kwangu labla nipate sehemu kama hiyo tena aisee ila bila hvy najiona nikizidi kuumia, sio kwa kupenda bali n sehemu ambayo automatically utakuta najua mambo yanayoendelea hapo na ndo naumia tena.Pole sana Mbaga Jr
Figisu kazini huwa zinatokea, lakini we move forward π€
Doh! Pole sana jitahidi uzoee inaweza kukusababishia msongo wa mawazo ukifikiria sanaHua najaribu hilo sana aisee, mbaya zaidi n sehemu ambayo haiwezi kupita wiki bila kufahamu chcht khs hiyo sehemu na hapo ndo nazidi kuumia zaidi