Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

Hii tunaita nguvu ya upendo na sio eti kwakua ni penzi jipya...😊
Upendo unanguvu mkuu, ukiacha haya mapenzi baby, sweet, honey and ect.....🤨
Kwa heshima yako mzee wangu Ushimen basi bwana kijana wako hapa🤣demu wangu si akaniacha Baada ya kugundua ninatokea familia ya kawaida ilhal wazazi wake walimwambia aolewe kwenye familia yenye ukwasi akaamua kuniacha ,miaka miwili mbele Yani 2021 hadi 2024 kapata bwana kampa gari!

Mie bado natembea kwa miguu, sidhani, kama kuna upendo wa ukweli mbele ya mali
 
Kuna mahali lazima ulikua unakosea ama huyo binti hakua amekupenda zaidi ya kutaka penzi lako...😊
 
😁Sema Ata ningekuwa mimi ndo yeye kwa hili jua la dodoma😁ningepokea gari simlaumu

Amenipunguzia jam!
 
Kumwambia limama limtu lizima kuwa unampenda yeye ndo mwanamke wa ndoto zako hata lenyewe linajua unalidanganya tu, ila ndo hivyo mwanaume inabidi uwe jasiri kwenye utafutaji
Inategemea unaweza kuta ana matako mazuri
 
Kwa heshima yako mzee wangu Ushimen basi bwana kijana wako hapa🤣demu wangu si akaniacha Baada ya kugundua ninatokea familia ya kawaida ilhal wazazi wake walimwambia aolewe kwenye familia yenye ukwasi akaamua kuniacha ,miaka miwili mbele Yani 2021 hadi 2024 kapata bwana kampa gari!

Mie bado natembea kwa miguu, sidhani, kama kuna upendo wa ukweli mbele ya mali
Dah ex wako amelevel up na wewe umekubali uhalisia. Safi!
 
Kumwambia limama limtu lizima kuwa unampenda yeye ndo mwanamke wa ndoto zako hata lenyewe linajua unalidanganya tu, ila ndo hivyo mwanaume inabidi uwe jasiri kwenye utafutaji
Yani unataka kusemaje :think3D:
Mimi siyo limama ni mshangazi na nina kijana wangu nimemzidi 15 years, anasema anipenda kila siku na mimi ndiyo tulizo lake. Sitakiwi kumuamini au?
 
Back
Top Bottom