Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

Fs
Kuna mtu nishawahi mpenda,afu akashindwa kuthamini upendo wangu kwake....aisee,mwamba.... nilikuwa real kwake...
Kwa upendo niliokuwa nao juu yake,I swear... nilikuwa tayari kuacha kilakitu...yaan kilakitu...

Wanaume, mwanamke akikupenda afu akawa na hasira sana juu ya matendo yako mabaya unayomfanyia....yaan hasira muda wote ila haondoki anavumilia...huyo mthamini,yupo tayari kukubeba kwa namna yoyote ile.

Kupenda kupo ila sema wanaume mnapoteza wake zenu wa maisha kwa sababu ya kauli mbiu yenu eti anaomba hela...ulitaka amwombe nani? Kakuomba Mara ngapi baada ya kumpa Mara ngapi?....

Hii dunia tutaendelea kuyaogopa mapenzi kwa sababu ya kujawa na ubinafsi....Kuna mabinti mnawachezea,wanalia machozi mnaona sifa na kujitutumua ....lakini nawaambieni ukweli....hawalii kuigiza,wanahisia nanyi...

Nimeandika mno,nilimaanisha upendo wa kweli upo,na mtu akishapenda haoni shida kupoteza kilakitu kwa sababu ya upendo.🥴
Daah inaumiza,inakuwa hivi unaempenda hakupendi anakupenda humpendi
 
Lishangazi / Mshangazi - 37 to 50 (yuko single hajawahi kuolewa au aliolewa akaachika au kafiwa etc. - mkubwa na amekupita kuanzia miaka 10 mpaka 20 ana T3).

Mmama / Jimama - 50 - 70 (huyu anaweza kuwa mama yako mpaka bibi yako, wengi washafiwa na waume au wameachika, haijalishi ana muonekano gani kikubwa ana hela na anakupenda).
Mwanamke mwenye miaka 50 ni mbibi, miaka 35+jimama
 
Kuna mtu nishawahi mpenda,afu akashindwa kuthamini upendo wangu kwake....aisee,mwamba.... nilikuwa real kwake...
Kwa upendo niliokuwa nao juu yake,I swear... nilikuwa tayari kuacha kilakitu...yaan kilakitu...

Wanaume, mwanamke akikupenda afu akawa na hasira sana juu ya matendo yako mabaya unayomfanyia....yaan hasira muda wote ila haondoki anavumilia...huyo mthamini,yupo tayari kukubeba kwa namna yoyote ile.

Kupenda kupo ila sema wanaume mnapoteza wake zenu wa maisha kwa sababu ya kauli mbiu yenu eti anaomba hela...ulitaka amwombe nani? Kakuomba Mara ngapi baada ya kumpa Mara ngapi?....

Hii dunia tutaendelea kuyaogopa mapenzi kwa sababu ya kujawa na ubinafsi....Kuna mabinti mnawachezea,wanalia machozi mnaona sifa na kujitutumua ....lakini nawaambieni ukweli....hawalii kuigiza,wanahisia nanyi...

Nimeandika mno,nilimaanisha upendo wa kweli upo,na mtu akishapenda haoni shida kupoteza kilakitu kwa sababu ya upendo.🥴
Dah pole sana. Mapenzi matamu lakini nyie dah. Ebu jaribu kunipenda mie. I promise i wont break ur heart teacher
 
Hapo unazungumzia wanaume au wanawake Kwa mwanamke hiyo ni ndoto Tena za mchana jua Kali Kwa wanaume inawezekana mfno ni huyo rafiki enu
 
Mapenzi Shikamoo!

Usiku huu nimeshuhudia mkaka anarudisha gari na fremu ya biashara kwa mmama aliyekua anadate naye sababu amepata msichana anayempenda na anataka kumuoa. Huyu mkaka amekua na mahusiano na huyu mmama ambaye ni rafiki yetu kwa zaidi ya miaka mitatu. Aliacha ajira serikalini, akafunguliwa biashara, akapewa gari na mwaka huu kalipiwa fremu yake ya pili kodi mwaka mzima apanue biashara zake.

Nyuma ya pazia kumbe alikutana na msichana, akampenda na akamwambia kila kitu kuhusu mmama wake anayefadhili lifestyle yake. Msichana akamwambia achague kati ya yeye au mmama na kama anampenda arudishe vitu vyote alivyopewa na waanze maisha upya wao kama wao.

Leo kijana kaja na karudisha kila kitu including gari lilikokua na jina lake na umiliki wake halali. Rafiki yetu naye anaugulia maumivu na hataki vitu vilivyorudishwa anasema yule kijana avichukue tu, upande wa pili mkaka hawezi kwa sababu demu wake mpya hataki.

Vipi, ushawahi kukataa hela au kuachia kitu chenye gharama kwa sababu ya mapenzi?

View attachment 3233769
Naomba connection hyo please, 🥺 kama sio story naomba sana sana nko seriously 😳 😣
 
Back
Top Bottom