Umeshawahi kukosa au kukataa hela sababu ya mapenzi

Fs
Daah inaumiza,inakuwa hivi unaempenda hakupendi anakupenda humpendi
 
Mwanamke mwenye miaka 50 ni mbibi, miaka 35+jimama
 
Dah pole sana. Mapenzi matamu lakini nyie dah. Ebu jaribu kunipenda mie. I promise i wont break ur heart teacher
 
Hapo unazungumzia wanaume au wanawake Kwa mwanamke hiyo ni ndoto Tena za mchana jua Kali Kwa wanaume inawezekana mfno ni huyo rafiki enu
 
Naomba connection hyo please, πŸ₯Ί kama sio story naomba sana sana nko seriously 😳 😣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…