Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
We mbusiii, unakumbuka tulivyokuwa tunalima ngwara pale Langai, Orkesmet ulikuwa hutaki kuzila ndio maana umekuwa mduanzi kinyamaaaa.Mnawakuza sana wakenya eti wana uwezo mkubwa wa kufikiri. Sasa uwezo gani wa kufikiri wakenya wanayo? Acheni mambo ya kindezi. IQ uchwara ya adriz na Chaliifrancisco tu imezidi za mamillion wengi wa Kenya
Kuna video inakujia weee dogoWe mbusiii, unakumbuka tulivyokuwa tunalima ngwara pale Langai, Orkesmet ulikuwa hutaki kuzila ndio maana umekuwa mduanzi kinyamaaaa.
We kumbafff sitaki video zako za huko vijiji vya Nanja.Kuna video inakujia weee dogo
HahahaWe kimbafff sitaki video zako za huko vijiji vya Nanja.
utafiti wa hao jamaa kuwa mkubwa wa kufikiri umetokea wapi?kwa mtu mzima sana wa kuelewa mambo na kuchunguza ungewaonea huruma hawa jamaa,kiukweli bila kuficha nawaona kama watu waliochanganyikiwa asilimia kubwa,kingereza ni sawa na wasukuma tuInasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀
Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.