Umeshawahi kula ngwara?

Umeshawahi kula ngwara?

Mnawakuza sana wakenya eti wana uwezo mkubwa wa kufikiri. Sasa uwezo gani wa kufikiri wakenya wanayo? Acheni mambo ya kindezi. IQ uchwara ya adriz na Chaliifrancisco tu imezidi za mamillion wengi wa Kenya
We mbusiii, unakumbuka tulivyokuwa tunalima ngwara pale Langai, Orkesmet ulikuwa hutaki kuzila ndio maana umekuwa mduanzi kinyamaaaa.
 
Na kweli Wakenya wanakula sana ngwara

Ukienda mahotelini na katika migahawa hukosi
 
Wakenya Wana akili Gani Sasa? Ulishawahi kufika Kenya? Nyie watu mna taabu sana😆
 
Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀

Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
utafiti wa hao jamaa kuwa mkubwa wa kufikiri umetokea wapi?kwa mtu mzima sana wa kuelewa mambo na kuchunguza ungewaonea huruma hawa jamaa,kiukweli bila kuficha nawaona kama watu waliochanganyikiwa asilimia kubwa,kingereza ni sawa na wasukuma tu
 
Hayo maharage ya ngwara Huwa nayaona kandokando ya barabara ya kwenda Moshi/Arusha maeneo ya kuanzia Hedaru Hadi Same, mwanzoni nilikuwa nashangaa ndipo nikauliza wenyeji
 
Back
Top Bottom