GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea na wewe ni miongoni mwa wasiojua maharage yaitwayo ngwara😀Mhh kiswahili kipana sana asee
Usiwe mfalme njozi elewa kilichoandikwa nimesema kiswahili kigumu nijue au nisijue hayaleti chakula kwenye meza ya familia yanguInaelekea na wewe ni miongoni mwa wasiojua maharage yaitwayo ngwara😀
Kulikoni mkuu! Unaonekana umekwazika na huku mimi nilijibu kwa amani.Usiwe mfalme njozi elewa kilichoandikwa nimesema kiswahili kigumu nijue au nisijue hayaleti chakula kwenye meza ya familia yangu
Hapana sijakwazika mkuu ondoa shaka kabisaKulikoni mkuu! Unaonekana umekwazika na huku mimi nilijibu kwa amani.
🙏Hapana sijakwazika mkuu ondoa shaka kabisa
Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri Kwa mujibu wa tafiti zipi?Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀
Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
Kuhusu samaki, sipingani nawe mkuu. Inafahamika kuwa samaki ni lishe muhimu kwa uimara wa ubongo. Ila umaalum wa samaki wa Ziwa Tanganyika sikuwa ninafahamu.Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri Kwa mujibu wa tafiti zipi?
Unaelewa Kigoma ziwa Tanganyika ndio kuna Samaki wanaobust akili?
Tena inatakiwa uanze kulishwa ukiwa mtoto ndio boosting inakuwa na maana.
Inawezekana hilo wazo limechochewa na ID yako🤣Mimi nilijua kupigwa mtama
Miguu ya kuku? Ni msamiati mpya kwangu. Nashukuru mkuu🙏Ngwara ni miguu ya kuku hayo mengine siyajui.
Mimi nijuavyo, yanalimwa sana Arusha, Kilimanjaro na Manyara.Hajuna lolote. Kule Mvomero, Turiani, Dihombo, Mkindo, kibati, Tunguri hadi unafika Handeni wanayalima sana hayo na wanakula sana ila mbona ni mavilaza tu. Hizo ni blah blah.
Toka miaka ya 1990's to early 2000's wakati nasoma huko Morogoro vijijini sasa mvomero walikuwa wanatalima na kuyala hayo. Ni mazuri kwenye kurutubisha udongo ila kumfanya mtu awe na akili sio kweli ila kinachofanyika na wataalamu wa sasa, ili waweze kupromote bidhaa yao lazima waipe sifa nzuri.Mimi nijuavyo, yanalimwa sana Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Lakini mkuu, nafikiri ni jambo zuri ubapofanya tathmini ya ufanisi wa kitu, utumie waliofanikiwa ili ujue kilichokwamisha wengine kufanikiwa.
Si kila mgonjwa wa malaria anayetumia dozi ya malaria hupona. Kutokupona kwake hakuwezi kufanya hitimisho kuwa dawa husika haitibu wakati wagonjwa wengine wamepona.
Maziwa yakiwa nusu glasi, ni sahihi kusema maziwa yamekaribia kuisha kwenye glasi au glasi limekaribia kujaa maziwa.
Hata hivyo, kauli ya mwisho ni bora zaidi: glasi limekaribia kujaa maziwa.
Tuwaamini wataalamu wetu. Tuvipende vyakula vyetu.
Ngwara ni chakula bora.
Aisee😀Toka miaka ya 1990's to early 2000's wakati nasoma huko Morogoro vijijini sasa mvomero walikuwa wanatalima na kuyala hayo. Ni mazuri kwenye kurutubisha udongo ila kumfanya mtu awe na akili sio kweli ila kinachofanyika na wataalamu wa sasa, ili waweze kupromote bidhaa yao lazima waipe sifa nzuri.
Mnawakuza sana wakenya eti wana uwezo mkubwa wa kufikiri. Sasa uwezo gani wa kufikiri wakenya wanayo? Acheni mambo ya kindezi. IQ uchwara ya adriz na Chaliifrancisco tu imezidi za mamillion wengi wa KenyaInasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀
Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.