Umeshawahi kula ngwara?

Umeshawahi kula ngwara?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀

Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
 
Attachments

  • KILIMO_CHA_NGWARA_KWA_AFYA_NA_UTUNZAJI_WA_ARDHI_YENYE_MAGADI(144p).mp4
    8.5 MB
Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀

Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri Kwa mujibu wa tafiti zipi?

Unaelewa Kigoma ziwa Tanganyika ndio kuna Samaki wanaobust akili?

Tena inatakiwa uanze kulishwa ukiwa mtoto ndio boosting inakuwa na maana.
 
Kuhusu samaki, sipingani nawe mkuu. Inafahamika kuwa samaki ni lishe muhimu kwa uimara wa ubongo. Ila umaalum wa samaki wa Ziwa Tanganyika sikuwa ninafahamu.

Kuhusu Wakenya kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri ni madai ya clip hapo juu. Niliiweka kimakusudi ili kama kuna wanaofahamu tofauti au zaidi waweze kushare kwa manufaa ya wengi.

Lakini kwa upande wa ngwara, tafiti za Kisayansi zimeonesha kuwa zina manufaa nyingi kiafya. Ni vizuri kuhamasisha kilimo chake na matumizi yake hapa nchini badala ya kuwaachia ndugu zetu Wakenya kuzifaidi peke yao.

Tuendelee kuwauzia, lakini na sisi tutumie kwa wingi pia.
 
Hajuna lolote. Kule Mvomero, Turiani, Dihombo, Mkindo, kibati, Tunguri hadi unafika Handeni wanayalima sana hayo na wanakula sana ila mbona ni mavilaza tu. Hizo ni blah blah.
 
Mimi nijuavyo, yanalimwa sana Arusha, Kilimanjaro na Manyara.

Lakini mkuu, nafikiri ni jambo zuri ubapofanya tathmini ya ufanisi wa kitu, utumie waliofanikiwa ili ujue kilichokwamisha wengine kufanikiwa.

Si kila mgonjwa wa malaria anayetumia dozi ya malaria hupona. Kutokupona kwake hakuwezi kufanya hitimisho kuwa dawa husika haitibu wakati wagonjwa wengine wamepona.

Maziwa yakiwa nusu glasi, ni sahihi kusema maziwa yamekaribia kuisha kwenye glasi au glasi limekaribia kujaa maziwa.

Hata hivyo, kauli ya mwisho ni bora zaidi: glasi limekaribia kujaa maziwa.

Tuwaamini wataalamu wetu. Tuvipende vyakula vyetu.

Ngwara ni chakula bora.
 
Toka miaka ya 1990's to early 2000's wakati nasoma huko Morogoro vijijini sasa mvomero walikuwa wanatalima na kuyala hayo. Ni mazuri kwenye kurutubisha udongo ila kumfanya mtu awe na akili sio kweli ila kinachofanyika na wataalamu wa sasa, ili waweze kupromote bidhaa yao lazima waipe sifa nzuri.
 
Aisee😀
 
Inasemekana Wakenya Wana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa sababu wanakula ngwara😀

Zitafute na wewe uanze kuzila kuanzia mwakani.
Mnawakuza sana wakenya eti wana uwezo mkubwa wa kufikiri. Sasa uwezo gani wa kufikiri wakenya wanayo? Acheni mambo ya kindezi. IQ uchwara ya adriz na Chaliifrancisco tu imezidi za mamillion wengi wa Kenya
 
Back
Top Bottom