muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Hii hata kituoni polisi,sometimes wale Polisi wadogo,wanaonea sana, dawa kutaka kumuona Mkuu wa kituo tena ukisema kwa sauti wananywea.TMJ hospital Drive in cinema mwaka fulani yule dada (nesi) kakazana kuchat huku anacheka na simu yake wakati huo nina malaria inanitesa vibaya sana, aseee nilimwakia akajaribu kujibizana hapakutosha pale hadi wakuu wake walipokuja kuingilia kati
HakikaHii hata kituoni polisi,sometimes wale Polisi wadogo,wanaonea sana,dawa kutaka kumuona Mkuu wa kituo tena ukisema kwa sauti wananywea...
Alikuwa mzee sana? (Alikuzidi sana)? Kama sivyo nisingemuacha ningemtafuna na mifupa yake [emoji3]Miaka hiyo,nilipeleka maombi ya kazi sehemu,mama wa makamo ndiye alikuwa mapokezi,akaichukua bahasha yangu na kuitupa pembeni kwa dharau,nikaondoka nikisononeka....nikaitwa kwa usaili,na kupata ajira pale,yule mama akaondolewa kule mapokezi akawa muhudumu na kutuhudumia chai,....basi siku moja nikamkumbusha,alijisikia vibaya na kuanza kuniogopa na kunikwepa...lakini baadae tuliyamaliza angekuwa binti ningemtafuna tu aisee.
Lazima u mind,mimi ilinikuta kwa muhudumu wa kiume, nilienda club fulani nikaanzia nje nikachukua vant kubwa nikawa napiga mdogo mdogo mpaka mida nikaamua kulipia niingie ndani.Siku ikija kunikuta hii sijui nitachukua hatua gani..
Karibu mkuuNarudi sasa hivi.
Umetishaaa sanaaaaNgoja nishee habari Moja kuhusu ma secretary wenye nyodo mwaka ya 98 nilikuwa na mgogoro wa ardhi na mtumishi mmoja wa umma akiwa Ni afisa ardhi. Baada ya suala kuwa halishughulikiwi nikaamua kwenda ofisi ya Mkuu wa mkoa kupata msaada nilikuwa na miaka16 kipindi hicho.
Sasa nilipofika kwa katibu muhutasi huyo ili kupata ruhusa akanikatalia eti nimwambie shida yangu halafu akamwambie bosi wake akikubali ndo ataniruhusu, Katibu muhutasi akaniuliza kwa ukali "UNATAKA NINI NAWEWE KIBWENGO" Nikamjibu NIMEKUJA kuongea na Baba kwani Mimi hunijui? Basi akajifanya kunijua akaniruhusu nikaingia.
Muda kidogo akaniletea chai nzitoooo. Mkuu wake akashikwa na butwaa.alipotoka Yule muhutasi nikamueleza Miuu Yule shida yangu Mambo yakaenda sawa.nkatoka na kumuaga.INA MAANA NISINGE MDANGANYA NISINGE WEZA KUFIKISHA UJUMBE WANGU KWA MKUU WA MKOA NA HUWENDA TATIZO LISINGEPATIWA UFUMBUZI
Shukuru MUNGU mkuu. Tena wengine wewe unauliza yeye anatoka na kufunga kale ka nusu mlango kake!Sijawahi kuletewa ngebe
Hayo ni makaribisho sio nyodo mkuuKuna bar moja nikwenda. Kufika tu akajipendekeza bar maid mmoja kuja kunihudumia. Basi nikamwambia akaniletee supu ya kuku jikoni na yeye achukue yake. Dakika tano nyingi supu hizi hapa. Huku nnaendelea kusoma gazeti na kunywa supu. Nikamwambia aniletee castle baridi na yeye achukue yake. Dakika nyingi beer ziko mezani. Nikaagiza castle ya pili na yeye nikamwambia achukue yake. Baadae kidogo nikaomba bili nilipe niondoke. Kabla sijawasha gari namuona huyu ananikimbilia na kuniambia. Kaka umesahau kuchukua namba yangu.
Tena ye ndokaonyesha nyodoHay
Hayo ni makaribisho sio nyodo mkuu
Jamaa alishalizwa Na barmaid maana ana hasira nao balaa!!!😄😄Hajataja mhudumu kutoka wapi ila wewe una kisirani chako.
Alirudi akiwa amekua Hamza?Kuna chali wangu alikuwa na sister wake traffic sisi tupo na pikipiki, askari wa kiume ndie alie tukamata. Tukamwambia tuyamalize mkuu akasema acha leseni ukirudi njoo, nikamwambia kula kifaru cha blue alikataa. Chali akaongea na sister wake nae akajifanya kama yupo busy na yeye na yule traffic mwenziwe picha haziendi. Rafiki yangu akasema twenzetu hawa hawanijui sasa wataona.
Akapiga simu akaambiwa ukirudi pitia leseni yako hapo kituoni. Tulipofika kituoni yule traffic wa kiume alikuwa ana tetemeka huku anarejesha leseni na kuomba msamaha. Na yule wa kike ndio akamwita chali wangu ndugu yangu samahani kwa usumbufu chali akajibu siku yako na hio kazi itafika mwisho karibuni.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Haswaaaaa!Tena ye ndokaonyesha nyodo
Hapo barmaid alijipendekeza na sio nyodo.Kuna bar moja nikwenda. Kufika tu akajipendekeza bar maid mmoja kuja kunihudumia. Basi nikamwambia akaniletee supu ya kuku jikoni na yeye achukue yake. Dakika tano nyingi supu hizi hapa. Huku nnaendelea kusoma gazeti na kunywa supu. Nikamwambia aniletee castle baridi na yeye achukue yake. Dakika nyingi beer ziko mezani. Nikaagiza castle ya pili na yeye nikamwambia achukue yake. Baadae kidogo nikaomba bili nilipe niondoke. Kabla sijawasha gari namuona huyu ananikimbilia na kuniambia. Kaka umesahau kuchukua namba yangu......
Nadhani hukuchukua Namba bali ulimchukua na yeye Mazima usiku huo!Kuna bar moja nikwenda. Kufika tu akajipendekeza bar maid mmoja kuja kunihudumia. Basi nikamwambia akaniletee supu ya kuku jikoni na yeye achukue yake. Dakika tano nyingi supu hizi hapa. Huku nnaendelea kusoma gazeti na kunywa supu. Nikamwambia aniletee castle baridi na yeye achukue yake. Dakika nyingi beer ziko mezani. Nikaagiza castle ya pili na yeye nikamwambia achukue yake. Baadae kidogo nikaomba bili nilipe niondoke. Kabla sijawasha gari namuona huyu ananikimbilia na kuniambia. Kaka umesahau kuchukua namba yangu......