Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

Nililetewa dhihaka na pump attendant Mimi kawaida yangu sikaagi na gari moja.
Nilikuwa na Rav4 nikauza, nikanunua Starlet nikauza, nikanunua Brevis nikaja nikauza nikaja nikanunua Passo rangi ya mgomba ndo siku naenda kujaza mafuta shell ambayo nimeizoea na kituo kizima wananijua. Huyo bidada akaanza nyodo eti hoo kashafulia kanunua kigari cha kike.

Nilimsikiliza sikumjibu kitu nikasema ww dawa yako lazima nikupige kapumbu. Kweli nikaja kufanikiwa nilipiga 3times.
 
Hongera mkuu
 
Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote?

Karibuni!
Ndio ila huwa mwisho wa siku wanageuka 'watumwa wangu'.Dawa ya moto ni Maji siyo moto.
 
Enzi hizo nakunywa safari beer baridi nilikua na rafiki yangu tajiri wa mabasi ya mikoani, lkn huyu jamaa vaa yake usingejua kwamba Ni tajiri. Tulikwenda bar moja Ina wahudumu wawili, jamaa akamtaka mmoja white lkn white akajifanya matawi. Basi jamaa akamjaribisha yule sura mbaya na sura mbaya akakubali.
Jamaa yangu kila siku Basi likitoka mikoani lzm lije na Michele, samaki, ndizi, kuku ndio usiseme. Baadae akaamua kuoa kabisa.
Tukamwacha white na uzuri wake akiendelea kuuza bar.
🤣🤣
 
Oh yes RITA moro mdada ana maziwa makubwaa na shungi jmn alinitreat vibaya siez sahau
 
Enzi hizo za ujana wangu, kuna kipindi nilipeleka maombi ya kazi PPF, kuna mama wa makamo mapokezi aliniambia niweke bahasha langu tu mezani yamefika.

Kuondoka nikawa tu na wasi wasi sijasaini popote kuwa nimeyafikisha maombi yangu salama nikarudi lile bahasha halikuwepo mezani kuangalia vizuri niliona tu bahasha la kaki limewekwa kwenye dustbin zile nyeupe na linafanania na langu 100%(kuna mikunjo kabisa ya ile bahasha nilikuwa naiona).

Nikazuga kwa upole kuna sehemu juu sijaandika vizuri anuwani ili anipe nifanye marekebisho ili nione kama ndio hilo alilolitupa akakataa, niliwaka aisee nataka nionyeshwe bahasha yangu au anaona aibu kwa kuwa ameitupa, mwisho wa siku kuna braza mmoja na suti yake aliita mlinzi mmoja nikatupwa nje, sikuitwa hata interview😡
 
huyo mama angekutana na mimi ningemvizia popote pale nampiga tukio ambalo asingesahau maishani mwake
 
Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote?

Karibuni!
Yalinifika!
Ila kilichompata huyo dada, inabidi anikumbuke vizuri kadri atakapofanya kazi ya benki.
Kwa kifupi nilikopa benki, na kutokana na biashara kusua sua dada mmoja kila nikiitwa kujieleza akawa kama ananitukana kimafumbo.
"Ati mnakopa halafu kurudisha fedha hata hujui utarudishaje, tutawafilisi, msikope hovyo" alisema huyo dada.
"Kukopa harusi, kulipa matanga" aliendelea.
Nikajikaza nisijibu neno.

Alahamdulilahi, pesa hiyo ikaingia benki kutokana na biashara zangu, tena siyo vijisenti, bulungutu lililo mara tano ya mkopo!
Nikalipa mkopo mara moja na kuagiza fedha iliyobaki kuhamishia akaunti benki nyingine.
Na nikawaandikia benki kurudisha mara moja dhamana zangu!
Meneja akaniita.
"Vipi tena bro, kwa nini unafunga akaunti tena?"
Nikawaambia tu, muulizeni yule dada wa mikopo.
Huyo dada alikoswakoswa kufukuzwa kazi, ila walimpunguza cheo.
 
Ngoja nishee habari Moja kuhusu ma secretary wenye nyodo mwaka ya 98 nilikuwa na mgogoro wa ardhi na mtumishi mmoja wa umma akiwa Ni afisa ardhi.Baada ya suala kuwa halishughulikiwi nikaamua kwenda ofisi ya Mkuu wa mkoa kupata msaada nilikuwa na miaka16 kipindi hicho.
Sasa nilipofika kwa katibu muhutasi huyo ili kupata ruhusa akanikatalia eti nimwambie shida yangu halafu akamwambie bosi wake akikubali ndo ataniruhusu, Katibu muhutasi akaniuliza kwa ukali "UNATAKA NINI NAWEWE KIBWENGO" Nikamjibu NIMEKUJA kuongea na Baba kwani Mimi hunijui? Basi akajifanya kunijua akaniruhusu nikaingia.
Muda kidogo akaniletea chai nzitoooo. Mkuu wake akashikwa na butwaa.alipotoka Yule muhutasi nikamueleza Miuu Yule shida yangu Mambo yakaenda sawa.nkatoka na kumuaga.INA MAANA NISINGE MDANGANYA NISINGE WEZA KUFIKISHA UJUMBE WANGU KWA MKUU WA MKOA NA HUWENDA TATIZO LISINGEPATIWA UFUMBUZI
Ulitumia akili na busara pia Mimi kuniita hivyo kibwengo sijui dah ningemjazia mji mzima huyo muhudumu .
 
Yalinifika!
Ila kilichompata huyo dada, inabidi anikumbuke vizuri kadri atajspofanya kazi ya benki.
Kwa kifupi nilikopa benki, na kutokana na biashara kusua sua dada mmoja kila niitwa kujieleza akawa kama ananitukana kimafumbo.
"Ati mnakopa halafu kurudisha fedha hata hujui utarudishaje, tutawafilisi, msikope hovyo" alisema huyo dada.
"Kukopa harusi, kulipa matanga" aliendelea.
Nikajikaza nisijibu neno.

Alahamdulilahi, pesa hiyo iksingia benki kutokana na biashara zangu, tena siyo vijisenti, bulungutu lililo mara tano ya mkopo!
Nikalipa mkopo mara moja na kuagiza fedha iliyobaki kuhamishia akaunti benki nyingine.
Na nikawaandikia kurudisha mara moja dhamana zangu!
Meneja akaniita.
"Vipi tena bro, kwa nini unafunga aksunti tena?"
Nikawaambia tu, muulizeni yule dada wa mikopo.
Huyo dada alikoswakoswa kufukuzwa kazi, ila walimpunguza cheo.
Ukipata nafasi nenda kamshukuru huyo Dada aliyekufanyia 'jeuri'.Amechangia pakubwa mno wewe kupata hayo mabulungutu bila yeye kujijua.
 
Sehemu nyingi watu sana dharau na nyodo, kipindi nasoma pale Thaqafa secondary school -mwanza wale walioko utawala ukiwauliza kitu wanajibu kwa nyodoo kudadeki utadhani hawaendi chooni.
Mwenge Catholic university wale ma sister pale utawala ndio wale wale tu
Ukienda benki vile vile, tuombe Mungu atupe unyenyekevu
 
Pale Thaqafa miaka ya 2010 kulikua na mlinzi mjinga sana nlienda kumtembelea mdogo wangu akanizingua siku mchelewesha nikampa dose yake tuka hheshimi

Pale Thaqafa miaka ya 2010 kulikua na mlinzi mjinga sana nlienda kumtembelea mdogo wangu akanizingua siku mchelewesha nikampa dose yake tuka heshimiana
Kuanzia mlinzi mpaka vingozi wote ni wakuda tu
 
Back
Top Bottom