Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Form six hatimae mmeingia mtaani
Hongereni Sana
 
Mwenyewe niliwai pambana sana mwisho wa siku aliniacha tena akiwa na mimba yangu na mtoto akapelekewa baba mwingine ni bonge la storii ipo siku nitaileta mbele yenu hapa
 
Venye nlimpenda yule msupuu,ila kaja nambia amecheat ilikuwa almanusra nijinyonge,kumbe na yy alishajua nipo weak kwake kwa hyo hata akinambia kafanya kosa gani nitamsamehe,awamu hii nmeamua kukazaa hakuamini,mwenyew ndo aliamua kuwa tuachane,ila cha kushangaza alitaka kumtumia rafik yake anipange ila alichokitafuta huyo rafk yake nae kakipata,huu n mwz ya nne hakuna mawasiliano yyte na wala sitaki msikia...though mwanzon iliniwiya vigumu kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…