Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Mimi kuna manzi nimetoka kumbembeleza mwezi mmoja umepita, tangu siku iyo sikumtafuta tena kabisa na yeye hajanitafuta kabisa, keshokutwa tarehe 10 ni birth day yake, nawaza hapa nim-wish au ntaonekana najipendekeza????
 
Ntajitahidi kuuelewesha moyo, na nna hako kaweakness napenda mazima tena nakua sioni sisikii sasa ikitokea breakup huwa inakula kwangu😒
My dear, kindly allow me to teach you a lesson when it comes to love, embu tuwe wote nikupende halafu nikusalitui vizuri mpka ukome kupenda penda kama wafilipino, njoo dm na contacts zako nikulambue,looking back to hear from you as soon as you will come across the text!
 
Mkuu, do you feel proud to hurt someone's heart? That's not good and fair.🙄 siku yatakurudia pia
 
Unaenda kufeli mwanangu, nakuhakikishia kuanzia tarehe 11 ujipe siku 21 za stress kutojibiwa text au kutopokelewa simu, Amen
Mimi kuna manzi nimetoka kumbembeleza mwezi mmoja umepita, tangu siku iyo sikumtafuta tena kabisa na yeye hajanitafuta kabisa, keshokutwa tarehe 10 ni birth day yake, nawaza hapa nim-wish au ntaonekana najipendekeza????
 
2018 nilimbembeleza sana Yule mwanamke aendelee kubaki huku nikiomba msamaha kwa kosa silijui lakini ndio kwanza akazidisha matukio ikabidi nikubali knock out kishingo upande japo nilienda kumtumia text Mara moja moja kwa WhatsApp lakini hazikuwahi kujibiwa, hata text yangu ya pole kwa msiba wa baba yake haikujibiwa mwisho wa siku nikafuta namba..

Sasa mwaka huu 2021 siku ya Valentine namba ngeni inapiga kuuliza nani ni yeye, anaanza blah blah sijui kanimiss, nimsamehe anaomba tuanzishe maisha mapya, kumbe wahuni washamfanya single mother halafu wametokomea kusikojulikana[emoji2]
Ume mjibu nini?
 
Mimi kuna manzi nimetoka kumbembeleza mwezi mmoja umepita, tangu siku iyo sikumtafuta tena kabisa na yeye hajanitafuta kabisa, keshokutwa tarehe 10 ni birth day yake, nawaza hapa nim-wish au ntaonekana najipendekeza????
kausha,mfungie vioo,ndio dawa yake
 
Niliwahi kupigania pensi pale karume ooh sorry kumbe ni penzi?
 
Mimi kuna manzi nimetoka kumbembeleza mwezi mmoja umepita, tangu siku iyo sikumtafuta tena kabisa na yeye hajanitafuta kabisa, keshokutwa tarehe 10 ni birth day yake, nawaza hapa nim-wish au ntaonekana najipendekeza????
Sio mbaya,mtakie tu kheri
 
Mimi kuna manzi nimetoka kumbembeleza mwezi mmoja umepita, tangu siku iyo sikumtafuta tena kabisa na yeye hajanitafuta kabisa, keshokutwa tarehe 10 ni birth day yake, nawaza hapa nim-wish au ntaonekana najipendekeza????
Acha ufala.
 
Mimi Miaka Miwili Sasa Nambembeleza Arudi Ndoa ya Miaka kumi ikavunjika Sababu mpaka leo hazieleweki... Yule mwanamke amejua kunitesa...!!! Nimeshindwa kabisa kumove on... Plz hivi Ni kupenda au ninaumwa... Nakaribisha ushauri hata PM
Ndani ya hiyo miaka kumi ulikuwa umeshaachwa zamani sana
 
Back
Top Bottom