Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Umeshawahi kulipigania penzi lisivunjike lakini mwisho wa siku ukakubali kushidwa

Nakumbuka miaka 6 nyuma kuna binti niliwahi kumpenda sana sasa katika mahusiano tulifikia kile kipindi kile mahusiano yapo too toxic kila nikijitahidi kuliokoa penzi kuliokoa tusiachane lakini wapi

Mwisho wa siku nilikubali matokeo niliumia sana lakini mwisho wa siku ilibidi nikubali kumwacha wakati yeye alishaniacha siku nyingi sana
Hivi mwanaume mwenye hela huwa anaachwa
 
Vp
2018 nilimbembeleza sana Yule mwanamke aendelee kubaki huku nikiomba msamaha kwa kosa silijui lakini ndio kwanza akazidisha matukio ikabidi nikubali knock out kishingo upande japo nilienda kumtumia text Mara moja moja kwa WhatsApp lakini hazikuwahi kujibiwa, hata text yangu ya pole kwa msiba wa baba yake haikujibiwa mwisho wa siku nikafuta namba..

Sasa mwaka huu 2021 siku ya Valentine namba ngeni inapiga kuuliza nani ni yeye, anaanza blah blah sijui kanimiss, nimsamehe anaomba tuanzishe maisha mapya, kumbe wahuni washamfanya single mother halafu wametokomea kusikojulikana[emoji2]
Vp umesamehe au ume move on?,
 
Mi nimenawa mikono April 1 2021 baada ya kubembeleza for 6 months huyo mwanamke abakie nami. All shall be well
Miezi 6 una bembeleza !? Hahahaha kuna watu mmeshindikana
 
Back
Top Bottom