Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ntajitahidi kuuelewesha moyo, na nna hako kaweakness napenda mazima tena nakua sioni sisikii sasa ikitokea breakup huwa inakula kwangu[emoji19]
Pole uwe unajifunza kutokana na yaliyopita vinginevyo utakuwa unapata shida kwa hali zile zile kila mara.