Umeshawahi kumla shemeji yako?

Utakuwa una undugu na man fongo maana hanaga ushemeji
 
Afadhali shujaa wa1 ! ebu funguka mwaya! lete mambo! enhee!!! Baba mdogo alianzaje?
 
Hata mimi ningekuwa mzembe hali hii ingenitokea,ila nilijiongeza ,kuna kipindi nimemaliza form 6 miaka ya 2010 hapo wazazi wote washafariki chuo nimenyimwa mkopo nikawa nipo nipo tu,ikabidi niende kwa brother angu mtoto wa baba Mkubwa nikakae mitaa ya temeke ili nibadili mazingira kidogo ya mtaani kwetu maana niliona frustrutation za kuulizwa chuo lini sijui unafanya nini sasa hivi zitanichanganya!kwanza niliongea na bro kwa simu akakubali niende ,nikafika pale nikawa very descent boy,bro alikuwa na mke na watoto wawili pia alikiwa anaishi na mdogo wake wa tumbo moja umri sawa tu na mimi hivyo tukaws tunaishi chumba kimoja na mshkaji ila jamaa alikuwa haelewani na shemeji yake kabisa,hivyo mimi nikawa kidogo nabalance mambo,naamka asubuh nasaidia kazi za,nyumbani ,napeleka madogo shule,nawafata jioni ,napitia maftari yao ya shule yaani walinipenda kiukweli sabbu bro na mke wake hawakuwa na elimu kivile walikuwa wafanyabiashara tu,hivyo mimi ndo nilikuwa nawasaidia watoto homework etc,kwa aina ya yale maisha nikatokea kuelewana na shem ila yeye akawa anataka kuvuka mipaka na mazoea,mara siku nyingine akiona bro hayupo aniite chumbani nimsaidie kuweka vzr kitanda huku kavaa khanga moja tu na aidondoshe maksudi ila najifanya sijaona kitu,siku nyingine akiona tumebaki wawili tu anataka kuangalia picha za kikubwa,nikaona hapa utakuwa msala nitaharibu mahusiano na ndugu yangu nikatafuta sehem walau niwe nafhndisha tuition kwa udi na uvumba ili niwe nashinda hukooo,nategea muda wa kurudi watu wote wamerudi home,nikawa siku nyingine nikiona bro amesafiri nalala kwa mshkaji wangu mahali hata siku 2 ili kupoteza yale mazingira ya mazoea kupitiliza,mpaka nikapata kijibarua mahali cha kunipa mia 2 ya uhakika nikapanga chumba fasta nikahama,ila inshort tu niliandaa mazingira ya kupoteza yale mazoea ya kupitiliza naamini kilikuwa kama kiupepo flani kibaya hivi kilitaka kumpitia kwani baada ya pale alirudi normal tu tukawa tunapiga stori kawaida namimi sikutaka kuiongelea mahala popote zile situation ,nilikabiliana nazo mwenyewe kiume!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kajilia shemeji yake kuumia unaumia ww mkuu?

Punguza shobo basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa bongo utakuwa umebaki wewe tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akubariki mkuu, kwa kumheshimu kaka yako pamoja na kumtunzia siri shemeji wako.
 
Nilisahau kukwambia kwamba huu Mwaka wa tatu sasa, mi na wife tinagonga vidonge...ooh! She killed you!.....HATIA by Dizasta
 
Mwanamke ni kiumbe dhaifu ila hiyo sio sababu ya kuwatumia tutakavyo. Mimi kuna kipindi mpama bro alikuwa anatuletea vinywaji tunakunywa (sio pombe japo wengi walipenda) tulikuwa tunafungulia muziki mpaka saa 7 na tunabambiana ileile (wale wa vijijini wanaelewa muziki unachezwaje). Lakini kwa kuwa bro alikuwa ananiamini aikuwahi hata kumtamkia shemeji yangu kuwa namtaka (huwezi kusema unampenda) na mpaka nahama tulikuwa tunaheshimiana. Kama ningekuwa na akili za mtoa mada nadhani ningeunga hoja.
 
*kaa kimya ,kaa kimya ngoja nibonge,we n mdogo wangu toka nitoke,inaniumiza sikukwambia tangu mwanzo kwamba, huu mwaka wa 3 mi na wife tunagonga vidonge,oooohh men !! she killed you,that devil killed you,labda nmekuua mwenyewe,labda ningekwambia kuwa,sisi ni waathirikia ila nkasita.yes I'm still fool.

!! HATIA !!
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hii
Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
chai kama sio uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…