Umeshawahi kumla shemeji yako?

Umeshawahi kumla shemeji yako?

Dah....kumla mdogo wa mke wako siyo ishu kivileee....ila mke wa kaka yako ..Noo....a big noo[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Jf ipo hivyo mzee sijui kwanini,

Yaani comment za mwanzo ndo zinaamua comment zifuatazo,

Sasa hapo kila mtu anamshambulia mshikaji,

Kiukweli sio kwamba natetea ila pia yeye sio wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.
Kabisa Mtu Wang tunamuono mmoja

Watu wata flow kwenye uelekeo mmoja ila sio Mimi Next...Am free electron [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nambie ilianza vipi, najua haikuanza ghafla/
Zipi dalili, maana hata mafua huanza na chafya/
Kivipi mi kaka ako na ulisita kuniambia ukafanya siri/
Ina maana kimsingi na we ulitaka/
.
Kumbuka, tangu Baba mzee Mugu anakufa/
Alituhusia uaminifu, na ndo nguzo uliyoiangusha/
Nashangaa bado nafsi yako haijasuta/

Maana bado natamani kukujali mdogo wangu/
Natamani sana... Lakini imani yangu imekufa tayari/
Sometimes nakwenda mbali, natamani kukudhuru busara inaniweka huru nagundua mi sio mshari.
.
.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nambie ilianza vipi, najua haikuanza ghafla/
Zipi dalili, maana hata mafua huanza na chafya/
Kivipi mi kaka ako na ulisita kuniambia ukafanya siri/
Ina maana kimsingi na we ulitaka/
.
Kumbuka, tangu Baba mzee Mugu anakufa/
Alituhusia uaminifu, na ndo nguzo uliyoiangusha/
Nashangaa bado nafsi yako haijasuta/

Maana bado natamani kukujali mdogo wangu/
Natamani sana... Lakini imani yangu imekufa tayari/
Sometimes nakwenda mbali, natamani kukudhuru busara inaniweka huru nagundua mi sio mshari.
.
.





Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu.
Seriously?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulianza vipi kumtamani wife?
Ni ile siku namuoa? Ulianza kabla ya siku ya ndoa?
Na ndo maana siku ya harusi ushirikiano ilikua ishu kutoa/
Kama harusi ni pingu, nang'oa/
Sihitaji tena... Najiuliza kwanini nilibashiri.. Lakini nikapuuzia dalili.

Kwanini nili... Aah!
It all makes sense now.
Subiri mwanaizaya, subiri/
It all make sense now, mwezi wa pili hanipi penz now/
Yani kipindi nashusha pens down, ananiambia kuwa amechoka hawezi... How?
...
Sikujua kuwaacha pamoja home ilikua ni risk/
That's why, I've been away for so long and she never missed me/
.
.
.
Sijui unachofikiri rohoni bado/
Maana uko kimya, niseme huoni mwisho huoni mwanzo/
Ulikataa kusoma chuoni ng'ambo, ubaki, ule napokula/
Kweli kikulacho kinguoni mwako/
Tulisimama kama mdogo na kaka, umeng'oa nguzo/

Hongera kwa kuwa mpumbavu, yanipaswa kutoa tuzo/
Have you started using cannabis?
Man, I thought we were brothers, i thought we were bond, now we are enemies.
Nambie ilianza vipi, najua haikuanza ghafla/
Zipi dalili, maana hata mafua huanza na chafya/
Kivipi mi kaka ako na ulisita kuniambia ukafanya siri/
Ina maana kimsingi na we ulitaka/
.
Kumbuka, tangu Baba mzee Mugu anakufa/
Alituhusia uaminifu, na ndo nguzo uliyoiangusha/
Nashangaa bado nafsi yako haijasuta/

Maana bado natamani kukujali mdogo wangu/
Natamani sana... Lakini imani yangu imekufa tayari/
Sometimes nakwenda mbali, natamani kukudhuru busara inaniweka huru nagundua mi sio mshari.
.
.





Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii maradufu imeniumiza/
Acha uliponiangushia mninga/
Au ulipogusa mzinga nikakuokoa/
Upole ulizidi, ukaniona mjinga/
Ukaamua kumshika sharubu simba.

Remember we used to build a snowman/
Go to school together, playing ball and,
I can't believe that my very own brother,
Sheg my own wife, on my own bed.

Nilitaka tuwe sare sare/
Ningefadhili mbuzi, nikakuacha uwe pale pale/
Mabinti hawaishi, ukianza huwamalizi, ukasahau visima vingi, ila maji ni yale yale.
.....
Umebadilika, umepoteza nguvu na ufanisi/
Mtaa mzima, unatembeza rungu kama mlinzi.
.
.
.

Ulianza vipi kumtamani wife?
Ni ile siku namuoa? Ulianza kabla ya siku ya ndoa?
Na ndo maana siku ya harusi ushirikiano ilikua ishu kutoa/
Kama harusi ni pingu, nang'oa/
Sihitaji tena... Najiuliza kwanini nilibashiri.. Lakini nikapuuzia dalili.

Kwanini nili... Aah!
It all makes sense now.
Subiri mwanaizaya, subiri/
It all make sense now, mwezi wa pili hanipi penz now/
Yani kipindi nashusha pens down, ananiambia kuwa amechoka hawezi... How?
...
Sikujua kuwaacha pamoja home ilikua ni risk/
That's why, I've been away for so long and she never missed me/
.
.
.
Sijui unachofikiri rohoni bado/
Maana uko kimya, niseme huoni mwisho huoni mwanzo/
Ulikataa kusoma chuoni ng'ambo, ubaki, ule napokula/
Kweli kikulacho kinguoni mwako/
Tulisimama kama mdogo na kaka, umeng'oa nguzo/

Hongera kwa kuwa mpumbavu, yanipaswa kutoa tuzo/
Have you started using cannabis?
Man, I thought we were brothers, i thought we were bond, now we are enemies.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
kumbu uko hapa bro
 
Kaa kimya, kaa kimya ngoja nibonge/
We ni mdogo wangu toka nitoke/
Inaniumiza sikukuambia huu mwaka wa tatu,
Me na wife, tunagonga vidonge.

Oh man she killed you/
That devil killed you/
Labda nimekuua mwenyewe, labda ningekuambia kuwa sisi waathirika ila nikasita...

Man, I'm still a fool....
Yes, I'm still a fool...

Nikiandika overall summary/
Nimekuwa mjinga coz I killed my own Family...

Dizasta - Hatia.

Huyu mwamba nyimbo zake zinafurahisha sana.
Mkuu.
Seriously?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wameponda sana uku ila kiukweli hakuna kitu chenye furaha kama kuitunza heshima ya familia na hakuna kitu kinauma kama kisikia mkeo anachapwa nje au unasikia shemeji anachapwa nje sababu kaka amesafiri kwa kipindi kirefu jaribuni kuchunguza maisha ya wamasai wanajaliana sana has a kaka au mdogo mtu amesafiri ambapo atakaa kipindi kirefu watoto wake watalelewa vizuri mke atatunzwa wala hutasikia akipanyuliwa nje uko

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Si kila swala alie mbele yako uumle, wakati mwingine fanya kama umeshiba unamwacha aende, uzuri hakuna utamu unaokaa kichwani milele ndio maana unaweza kulala na mwanamke leo, mkapotezana kisha ukaja kumuona na kumtamani upya, Mambo mengine ni kujiendekeza tu, Huu ni Usela mavi kabisa, unamlalaje mke wa Kaka yako?? Hata kama Shemeji yako ni dhaifu kiasi gani kwanini wewe umlale. Uzuri Karma haijawahi kukosea, Kama si Mkeo, ni mtoto wako na kama sio mtoto wako basi Utalipa mara mbili. Ni suala la Muda tu but Utalipa kabla ya kuondoka. Dunia haibaki Na chenchi ya Mtu, unapewa chako kisha unachapa raba mbele.
Hii karma hii mbona ya ajabu mkuu?
1. Dhambi zangu alipie Mke wangu?
2. Dhambi zangu alipie mtoto wangu?

Kwanini adhabu ya dhambi zangu nisibebe mwenyewe?

Kwahiyo wewe hapo unasubiri kusulubishwa duniani kwa dhambi alizofanya mama ako na baba ako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
Umasikini kweli hufunika macho.
Kaka yangu alianza kumiliki laptop 2000 (sijui aliipata wapi) siku narudi shule naikuta gheto..

2001/January rafiki zangu 3 makwao walikua na laptop na wawili kati yao tulikuwa tunachezea game zile za mario na zile kama za contra (nimesahau jina lake).

SHIDA NINI HASA?
Unataka kusema alitembelea maisha yako, kwakua hukuweza kuwa navyo basi WOTEE TULIVIKOSA?

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma comment za watu wengi,nilichokigundua wengi wamemponda mleta mada na mimi nikiri kuwa ni kosa
Lakini turudi kwenye Mila na desturi,Je kama kulala na shemeji yako ni kosa na ni laana
Mbona Mila za makabila mengi walikuwaw na utaratibu wa kurithi wake za ndugu.?pindi walipofariki?
Na je,ni kwanini wanaotoa ushuhuda wa kutembea na wake za watu hatujawalaumu kwa spidi hii wakati zote ni dhambi za uzinzi? Na mke wa jirani yako hujashiriki hata kwenye shughuli ya kupeleka mahali!!
Mwisho,hayo mazingira ya mleta hoja
Kusema kweli ni wanaume wachache wangeyaepuka kama Yusufu wa kwenye biblia.Vinginevyo utakuta
Hata yule aliyewahi kufanya akaa kimya analeta lawama hapa.
Ushauri ni kwamba si Kila ulilolifanya
Au kuliona ,lazima usimulie,mengine kaa nayo ili kudumisha amani,toba,tubu kwa Mungu au viongozi wa dini ikibidi.
 
Aisee, hebu acheni ushamba basi.
Hivi mfano wewe Khantwe au wewe financial services ukito*mbwa na shemej yako ama rafik yako ama mwanaume yeyote tofauti na mumeo....
Je anaondoka na Mbunye yako?
Je mumeo akirudi toka safari utamwambia baba Mwajuma mdogo wako amenito*mba?
Yaani kipi hasa kitapungua kwako?

Nyie wote wawili, maisha yenu tangu utotoni mnatembea na makamasi mpaka hivi sasa mmeshawahi kuto*mbwa na mwanaume wangapi?

#Acheni Ushamba
Mm sijasoma hii comment ndugu wana JF.kwel tena.
 
Shida ya JF moja tu

Zile comment tatu za mwanzo ndo huwa zina-reflect comment za uzi mzima

Basi now kila mtu ni kama hajawahi kufanya hivyo

Yaani kila mtu anaona ni boonge la kosa

Kuna fala huenda ana comment akiwa kalala na shemeji yake

Mwamba anajua alichokifanya ni kosa na anajutia kabisa na alimua kuondoka pale alipokuwa.

Hata kama utalaumu na kulaani vipi haitasaidia
Umenifanya nirudi juu kuangalia, mbona komenti tatu za mwanzo ziko tofauti na comments zilizofuatia? Kama ni kufuata mkumbo basi watu wangemfuata yule wa kwanza na kuanza kuleta visa vyao jinsi walivyowatafuna mashemeji, binamu n.k
Ninachoona hapa waliokomenti wengi wameoa au wanatarajia kuoa na kitendo cha kugongewa mke kinawauma. Hapa Jf kuna reaction tofauti....ikitokea ushuhuda wa mwanaume aliyechepuka kila mtu atatoa ushuhuda wake jinsi anavyofanya ufuska, kama ni mwanamke kuchepuka wanatoa povu kama lote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom