Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mtu Wang tunamuono mmojaJf ipo hivyo mzee sijui kwanini,
Yaani comment za mwanzo ndo zinaamua comment zifuatazo,
Sasa hapo kila mtu anamshambulia mshikaji,
Kiukweli sio kwamba natetea ila pia yeye sio wa kwanza na hatakuwa wa mwisho.
Mkuu.Nambie ilianza vipi, najua haikuanza ghafla/
Zipi dalili, maana hata mafua huanza na chafya/
Kivipi mi kaka ako na ulisita kuniambia ukafanya siri/
Ina maana kimsingi na we ulitaka/
.
Kumbuka, tangu Baba mzee Mugu anakufa/
Alituhusia uaminifu, na ndo nguzo uliyoiangusha/
Nashangaa bado nafsi yako haijasuta/
Maana bado natamani kukujali mdogo wangu/
Natamani sana... Lakini imani yangu imekufa tayari/
Sometimes nakwenda mbali, natamani kukudhuru busara inaniweka huru nagundua mi sio mshari.
.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nambie ilianza vipi, najua haikuanza ghafla/
Zipi dalili, maana hata mafua huanza na chafya/
Kivipi mi kaka ako na ulisita kuniambia ukafanya siri/
Ina maana kimsingi na we ulitaka/
.
Kumbuka, tangu Baba mzee Mugu anakufa/
Alituhusia uaminifu, na ndo nguzo uliyoiangusha/
Nashangaa bado nafsi yako haijasuta/
Maana bado natamani kukujali mdogo wangu/
Natamani sana... Lakini imani yangu imekufa tayari/
Sometimes nakwenda mbali, natamani kukudhuru busara inaniweka huru nagundua mi sio mshari.
.
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulianza vipi kumtamani wife?
Ni ile siku namuoa? Ulianza kabla ya siku ya ndoa?
Na ndo maana siku ya harusi ushirikiano ilikua ishu kutoa/
Kama harusi ni pingu, nang'oa/
Sihitaji tena... Najiuliza kwanini nilibashiri.. Lakini nikapuuzia dalili.
Kwanini nili... Aah!
It all makes sense now.
Subiri mwanaizaya, subiri/
It all make sense now, mwezi wa pili hanipi penz now/
Yani kipindi nashusha pens down, ananiambia kuwa amechoka hawezi... How?
...
Sikujua kuwaacha pamoja home ilikua ni risk/
That's why, I've been away for so long and she never missed me/
.
.
.
Sijui unachofikiri rohoni bado/
Maana uko kimya, niseme huoni mwisho huoni mwanzo/
Ulikataa kusoma chuoni ng'ambo, ubaki, ule napokula/
Kweli kikulacho kinguoni mwako/
Tulisimama kama mdogo na kaka, umeng'oa nguzo/
Hongera kwa kuwa mpumbavu, yanipaswa kutoa tuzo/
Have you started using cannabis?
Man, I thought we were brothers, i thought we were bond, now we are enemies.
Sent using Jamii Forums mobile app
hesabu gani tena ambazo ziko binguni mkuuMkuu ipo siku nawe yatakukuta, malipo ni hapa hapa dunian huko mbinguni ni hesabu tu.
kumbu uko hapa broKwa hiyo dogo unajiona mjaaanja wakati nilishatega cctv kitambo huoni nilianza kukata mirija ya kukupa pesa ukaishia kupauka ww ni boya sana au niweke humu clip zako unaongea ongea tuu ukijua mimi sio member humu?
Ilikuaje kuaje mpaka ukamla mama mkwe mkuu,maana mimi nionavyo ni kazi, japo mama mkwe langu linanitoa udendaMkuu hyo yako CHA MTOTO...Mimi nilishamla MAMA MKWE WNGU....ni mtamu hatari...
Hii karma hii mbona ya ajabu mkuu?Si kila swala alie mbele yako uumle, wakati mwingine fanya kama umeshiba unamwacha aende, uzuri hakuna utamu unaokaa kichwani milele ndio maana unaweza kulala na mwanamke leo, mkapotezana kisha ukaja kumuona na kumtamani upya, Mambo mengine ni kujiendekeza tu, Huu ni Usela mavi kabisa, unamlalaje mke wa Kaka yako?? Hata kama Shemeji yako ni dhaifu kiasi gani kwanini wewe umlale. Uzuri Karma haijawahi kukosea, Kama si Mkeo, ni mtoto wako na kama sio mtoto wako basi Utalipa mara mbili. Ni suala la Muda tu but Utalipa kabla ya kuondoka. Dunia haibaki Na chenchi ya Mtu, unapewa chako kisha unachapa raba mbele.
Umasikini mbayaa..
Umasikini kweli hufunika macho.Mmeelewa lakini story 2003, mwana alikua na laptop inayoweza kukaa na chaji toka saa nne mpaka saa 6, lakini pia alienda kulala chooni
Vitu vingine vibakie kuwa siri tu jamani
Mm sijasoma hii comment ndugu wana JF.kwel tena.Aisee, hebu acheni ushamba basi.
Hivi mfano wewe Khantwe au wewe financial services ukito*mbwa na shemej yako ama rafik yako ama mwanaume yeyote tofauti na mumeo....
Je anaondoka na Mbunye yako?
Je mumeo akirudi toka safari utamwambia baba Mwajuma mdogo wako amenito*mba?
Yaani kipi hasa kitapungua kwako?
Nyie wote wawili, maisha yenu tangu utotoni mnatembea na makamasi mpaka hivi sasa mmeshawahi kuto*mbwa na mwanaume wangapi?
#Acheni Ushamba
Umenifanya nirudi juu kuangalia, mbona komenti tatu za mwanzo ziko tofauti na comments zilizofuatia? Kama ni kufuata mkumbo basi watu wangemfuata yule wa kwanza na kuanza kuleta visa vyao jinsi walivyowatafuna mashemeji, binamu n.kShida ya JF moja tu
Zile comment tatu za mwanzo ndo huwa zina-reflect comment za uzi mzima
Basi now kila mtu ni kama hajawahi kufanya hivyo
Yaani kila mtu anaona ni boonge la kosa
Kuna fala huenda ana comment akiwa kalala na shemeji yake
Mwamba anajua alichokifanya ni kosa na anajutia kabisa na alimua kuondoka pale alipokuwa.
Hata kama utalaumu na kulaani vipi haitasaidia