Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Binadamu tupo tofauti... binafsi siwezi kumpenda Mtu ambae najua ana mtu na huyo mtu namjua.Itakua ujampenda ww kuna mtu anasubir mpaka ndoa yake ivunjike Bado anamsubir amoendae ww kisa amekataa unasepa kutana na divorcee tayar kashapata wakumliwaza😹
Hua nampenda mtu akiwa single ila nikishajua ana mahusiano mengine a mtu wake namjua..
Hua napata kinyaa tu mzuka nae nakua sina tena