Umeshawahi kumpenda mtu kisirisiri halafu hujawahi kumwambia na unafurahi akifanikiwa?

Akati niko primary, niliwahi mpendaga classmate, ila kumuambia naogopa, basi ikafika std 6 tukapangwa kukaa dawati 1.

Kuna ka feelings nlikua nakapata, hasa ile akinisemesha au kupiga story, nili enjoy ule ukaribu, ila kumfungukia sikuweza.

Tukamaliza, yeye akaenda Sec ya kata, mie nikaenda bweni.
Nafurahi kila mtu katimiza ndoto yake, na yeye kafanikiwa pia.

Abarikiwe sana wa kuitwa D.
Mpaka leo sijafanikiwa kujua jinsia yako Coca😂
 
Ushawai mpenda mtu afu Ata hujawai muambia unampenda mtoto wa mammkwe unakaa tu kua proud akioa au kuolewa, akifanikiwa yaan inakua sasa Kama secret well wisher(crush).

NB: Sikushauri ka confess izo mafeelings zitakusumbua 👽👽
Huyo tokea mwanzo wa raisi kuwepo tanzania na leo alishwai kupenda watu
IMG_0612.jpeg
 
Akati niko primary, niliwahi mpendaga classmate, ila kumuambia naogopa, basi ikafika std 6 tukapangwa kukaa dawati 1.

Kuna ka feelings nlikua nakapata, hasa ile akinisemesha au kupiga story, nili enjoy ule ukaribu, ila kumfungukia sikuweza.

Tukamaliza, yeye akaenda Sec ya kata, mie nikaenda bweni.
Nafurahi kila mtu katimiza ndoto yake, na yeye kafanikiwa pia.

Abarikiwe sana wa kuitwa D.
Hadi wewe?
 
Back
Top Bottom