Kutoendesha account zao husika inaweza kuwa kweli.mie huwa nawainbox maCEO na HRs..labda ndo maana nakosa kazi..Mfano akina Anael Samuel (CEO wa SONGAS)..nlimDm na kumtmia CV zng ila hajajibu chochote..huwa nahisi sometimes kua accounts zao hawaziendeshi wao.
Experiences inatakiwa ijaeHapana sipost chochote ila ni vizuri sana ukapost kitu inakupa mileage.
Mimi huwa nina approach ma hr na ma vendors nawadd then najiintroduce sometimes nawatumia ujumbe kuwaambia services zangu ila mara nyingi kuna ambao huwa wao ndio wananioffer kazi.
Kwa mara ya kwanza kwakweli sina hata jibu, maana nilikuwa new na profile yangu haikuwa nzuri kihivyo ila kuna jamaa alinitumia invitation nilipo iaccept akaniambia kampuni anayofanya nayo kazi inatafuta mtu anayetoa service kama zangu so, akaniomba email akawapa hapo hapo waka niemail.
Kazi nyingi zinakuja zaidi baada ya kuwa umefanya na client wengi zaidi na ukaupdate profile yako kwenye experience. Pia kulink na watu ambao wako kwenye circle ya kitu unachofanya ni rahisi kukurecommend.
Kweli ww ni fursa kibao ,,aisee itakuwa fani yako iko very marketable.Ni app nzuri sana hakikusha profile Yako Iko vyema.
Mimi Huwa nafanya majaribio hata kama kazi siitaku pia jitahidi kuwa na connection kubwa uwezavyo.
Tofauti na kutuma maombi huwa nafuatwa inbox na recruiters kibao. Kwa February pekee nilifuatwa na kampuni 4 inbox na zote nilifanya interview.
Mwezi huu pia nilituma application 2 na zote zikakubalika wakaniita interview nikawaambia niko nje ya nchi labda tufanye phone interview; Moja nilifanya na kazi nikawa nimepewa na walikuwa tayari nifanyie huku nilipo mpaka nitakapo Rudi ; nyingine wanahangaika kufanya appointment na GM wao ili tufanye hiyo interview Huku niliko.
Kwa ufupi ubora wa profile Yako pamoja na connection uliyonayo utakurahisishia kazi.
Jitahidini kujenga mazoea yakufanya interview hata huhitaji kazi hii itakijengea experience moja kubwa sans.
Niliwahi kwenda kwenye interview ya kuitwa bila kuomba kazi nikakutana na mhindi empty kichwani alafu ana nyodo na maswali yake ya google mbona alikoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchana na nikakataa hiyo kazi kitaalamu
Naweka na viushahidi msije kusema ni mbwembwe za JFView attachment 2563565View attachment 2563566View attachment 2563568View attachment 2563569
Kaka hivi hiyo profile unaiwekaje sawa? Pia vipi connection ni uchaguzi ama ni kuwa na watu wengi kuleNi app nzuri sana hakikusha profile Yako Iko vyema.
Mimi Huwa nafanya majaribio hata kama kazi siitaku pia jitahidi kuwa na connection kubwa uwezavyo.
Tofauti na kutuma maombi huwa nafuatwa inbox na recruiters kibao. Kwa February pekee nilifuatwa na kampuni 4 inbox na zote nilifanya interview.
Mwezi huu pia nilituma application 2 na zote zikakubalika wakaniita interview nikawaambia niko nje ya nchi labda tufanye phone interview; Moja nilifanya na kazi nikawa nimepewa na walikuwa tayari nifanyie huku nilipo mpaka nitakapo Rudi ; nyingine wanahangaika kufanya appointment na GM wao ili tufanye hiyo interview Huku niliko.
Kwa ufupi ubora wa profile Yako pamoja na connection uliyonayo utakurahisishia kazi.
Jitahidini kujenga mazoea yakufanya interview hata huhitaji kazi hii itakijengea experience moja kubwa sans.
Niliwahi kwenda kwenye interview ya kuitwa bila kuomba kazi nikakutana na mhindi empty kichwani alafu ana nyodo na maswali yake ya google mbona alikoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilimchana na nikakataa hiyo kazi kitaalamu
Naweka na viushahidi msije kusema ni mbwembwe za JFView attachment 2563565View attachment 2563566View attachment 2563568View attachment 2563569
Jitahidi ku add watu wengi unaofahamiana na wale wanaofahamiana nao. Hata kama humfahamu we tu, a request, wengi wawe was fani yako.Kaka hivi hiyo profile unaiwekaje sawa? Pia vipi connection ni uchaguzi ama ni kuwa na watu wengi kule
Ahsante sana na karibu kwa mwendelezo!!Kwenye LinkedIn kama unataka ufanikiwe cha msingi usianze kuwatumia watu cv ovyo ovyo kisa umeona kwenye profile yake ni Hr au CEO au MD no.
Tengeneza profile yako vizuri yani mtu akiview hana haja ya kuomba CV yako.
Omba connection na watu yani connection watu wengi zaidi usiangalie ana cheo au hana
Mtu akiaccept mtumie tu ujumbe wa kuappreciate kakubali your invitation to connect.
Mpe muda kidogo muwe mnachart na watu kwanza kwa professional manner sio mambo mzima za ww me nakublock kabisa mtu akituma sms hvyo.
Fanya endorsement kwenye profile yake we gonga yeyote ili arudi kukushukuru na wewe upate mwanya wa kujielezea. Usimpe mtu CV kama ajakuomba jieleze ki professional zaidi ili avutiwe na kuomba CV yako.
Ntaendelea....
Sasa kaka ikiwa ww ndo.fresh graduate utawez experience ipi pale?Jitahidi ku add watu wengi unaofahamiana na wale wanaofahamiana nao. Hata kama humfahamu we tu, a request, wengi wawe was fani yako.
Cha mhimu zaidi cv yako yote iweke pale, elezea uwezo wako na uwe na bio nzuri.
NB: usije kuweka taarifa zisizo za ukweli.
Sujui kama nimekujibu kama ulivyouliza?
Unaweka tu fresh graduate; na hapo ndipo tuna SEMA graduate jitahidini kufsnya hata kazi za kujitolea hata kama hawakulipi; hii huwa ina mchango mkubwa.Sasa kaka ikiwa ww ndo.fresh graduate utawez experience ipi pale?
Kweli kabisa.Unaweka tu fresh graduate; na hapo ndipo tuna SEMA graduate jitahidini kufsnya hata kazi za kujitolea hata kama hawakulipi; hii huwa ina mchango mkubwa.
Au hata kuchukua kazi yebye mshahara mdogo na pia ikiwa no nje ya taakuma Yako we chukua
Shida sio hiyo shida hata hizo volunteers zenyewe sasa hv ni mchongo kuzipataUnaweka tu fresh graduate; na hapo ndipo tuna SEMA graduate jitahidini kufsnya hata kazi za kujitolea hata kama hawakulipi; hii huwa ina mchango mkubwa.
Au hata kuchukua kazi yebye mshahara mdogo na pia ikiwa no nje ya taakuma Yako we chukua
Kuna makampuni au taasisi zinakuwa na nafasi za kujitolea ila za ajira hawana hivyo hicho hakiwezi kuwa kikwazo. Na ikitokea umehitolea miaja 3 bila kazi basi pia kutakuwa na shida upande wakoKweli kabisa.
Sasa kwa wale wenye uzoefu miaka 3 n.k inatakiwa uweke,lets say experiences zote umejitolea na part time haiwezi kumpa wasiwasi anaetaka kukuajiri kuona why huko hujaajiriwa ???
Hapo sasa. Ila kiukweli kaxi nyingi sasa hivi no za kupigiana pande; maana matangazo yanaanzia ndani kabla ya kutoka njeShida sio hiyo shida hata hizo volunteers zenyewe sasa hv ni mchongo kuzipata
Mkuu kuna mashirika hayana hela kila mwaka yanaomba wadhamini yakakosa na unajitolea kwa sababu ndo wana ruhusu nafasi hizo unaenda nae hata miaka mitatu kibishi sometimes unabadili upepo na ni lazima kwenye CV uandike. Sio kwamba hawajakukubali bali hawana hela na unajionea mwenyewe kuwa hakuna hata mmoja alieajiriwa.Kuna makampuni au taasisi zinakuwa na nafasi za kujitolea ila za ajira hawana hivyo hicho hakiwezi kuwa kikwazo. Na ikitokea umehitolea miaja 3 bila kazi basi pia kutakuwa na shida upande wako
Shida HRUnadhani shida ilikuwa ni nini mkuu.
Manager anaweza akuelewe Ila HR asikuelewe kwa hio hakupi kaziakanipa mawasiliano ya Hr wake nikafanyiwa interview through the phone..Cha ajabu hadi leo sijaitwa
Ongezea na number 5Watu wanakosa kazi kwa sababu nyingi