Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Ndio hata mimi huwa natamani binadamu wote wangekuwa na uwezo wa kuwarudishia upendo wale wanaowapenda tu, lakini unfortunately wao wenyewe wanadai kuwa upendo haulazimishwi eti mtu anaweza akajitoa na akajitahidi kukupa kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake ila bado usimpende, hata hivyo point yangu ni kwamba kama humpendi mtu na unajijua huna mpango wa kumpenda hata akufanyie lipi zuri, basi mkatae mapema usimpe hata hiyo nafasi ya kukuonesha upendo wake, maana siku ukimuacha maumivu yatakuwa makubwa zaidi kwake huku wewe ukichukulia poa tu
 
Hahaha dah alikuja kujua unagonga?
 
Kuna muda unaweza kuwa unahitaji msaada ila haujui, hiyo kazi tuachie sisi. Wewe tu kuwa muwazi.
Hata huyo aliyeniquote alinijibu hivyo hivyo ila itoshe tu kusema sihitaji msaada mkuu, thanks for your concern ila najua ninachokifanya, i am happy for being this kind of person and i am proud of myself
 
Ulimsnitch mwana .😀Siyo poa
 
Kwa hiyo mkuu wanakupenda sana na wengine unawakataa?

Uzuri wa huku hakuna kukaa kinyonge, kila mwanaume anatongozwa sana, anapendwa sana na mademu na wengine hawataki.

Niliona manyaza nae hajataka unyonge, anapendwa na mademu tena wengine wanataka awazagamue siku hiyohiyo.
Ndio raha ya fake id hii
 
Aiseeeh!! Mungu anirehemu.
Yule mtoto wa watu alifall..

Sent from my SM-G970U using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…