Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Kuna muda unaweza kuwa unahitaji msaada ila haujui, hiyo kazi tuachie sisi. Wewe tu kuwa muwazi.Mkuu mbona hamna mahali nimesema nahitaji msaada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna muda unaweza kuwa unahitaji msaada ila haujui, hiyo kazi tuachie sisi. Wewe tu kuwa muwazi.Mkuu mbona hamna mahali nimesema nahitaji msaada
Unasoma post huku unawaza vikoba, kaa utulieAliyekuelewa anifafanulie tafadhali
Ndio hata mimi huwa natamani binadamu wote wangekuwa na uwezo wa kuwarudishia upendo wale wanaowapenda tu, lakini unfortunately wao wenyewe wanadai kuwa upendo haulazimishwi eti mtu anaweza akajitoa na akajitahidi kukupa kila kitu kilicho ndani ya uwezo wake ila bado usimpende, hata hivyo point yangu ni kwamba kama humpendi mtu na unajijua huna mpango wa kumpenda hata akufanyie lipi zuri, basi mkatae mapema usimpe hata hiyo nafasi ya kukuonesha upendo wake, maana siku ukimuacha maumivu yatakuwa makubwa zaidi kwake huku wewe ukichukulia poa tuSometimes kutompenda mtu ni kosa kwa kutoheshimu zawadi ya kukupenda. Kumbuka mtu hatokei tu kukupenda bila sababu, what if MUNGU anajibu maombi ya nyakati yako ambayo inakuja mbeleni? [emoji848]
Sometimes watu wanajifanya wanayajua mapenzi wanatokea watu wanawapenda wao wanasema huyu sijamuelewa halafu wanakuja stuka umri umeenda kazi kubadilisha partners tu mwishowe umri unasogea wanaambulia patupu wanaanza kukumbuka waliowahi wafuata kwa upendo na kuwahitaji.
Kasema ndio yupo singleAmejibuje???
Kuna MTU anahitaji kujua
Hahaha dah alikuja kujua unagonga?Nikiwa form three, kuna jamaa aliniomba nimbembelezee mdada fulani anaempenda,
Wakati twarudi shule nikafata nikambembeleza, nadhan kwa vurugu za watu, hakua ananiskia vizuri.
Kesho yake, rafiki yake ananifata ananambia kama mbona sijamwambia siku zote kama nampenda yule dada, hee nikashangaa ila nikaona gari limeniangukia.
Nimamwambia nilikua nahofia, basi akanambia mwenzio amekubali nae anakupenda.
Mapenzi yakanzia hapo, kimbembe ilikua jinsi ya kumjuza jamaa nagu alienituma ..
Itaendelea..
Hata huyo aliyeniquote alinijibu hivyo hivyo ila itoshe tu kusema sihitaji msaada mkuu, thanks for your concern ila najua ninachokifanya, i am happy for being this kind of person and i am proud of myselfKuna muda unaweza kuwa unahitaji msaada ila haujui, hiyo kazi tuachie sisi. Wewe tu kuwa muwazi.
Mwambie anichek kuna sehem nimpe connectionsKasema ndio yupo single
Mwambie mwenyewe🤸Mwambie anichek kuna sehem nimpe connections
Ulimsnitch mwana .😀Siyo poaNikiwa form three, kuna jamaa aliniomba nimbembelezee mdada fulani anaempenda,
Wakati twarudi shule nikafata nikambembeleza, nadhan kwa vurugu za watu, hakua ananiskia vizuri.
Kesho yake, rafiki yake ananifata ananambia kama mbona sijamwambia siku zote kama nampenda yule dada, hee nikashangaa ila nikaona gari limeniangukia.
Nimamwambia nilikua nahofia, basi akanambia mwenzio amekubali nae anakupenda.
Mapenzi yakanzia hapo, kimbembe ilikua jinsi ya kumjuza jamaa nagu alienituma ..
Itaendelea..
Kwa hiyo mkuu wanakupenda sana na wengine unawakataa?Hii imetokea Sana - Ila mm huwa natumia kanuni yangu ya kutogawa attention so MTU anajikatia tamaa mwenyewe simwambii hapana Ila lazima atajiongeza.
Akituma message '-Mambo na mjibu poa' baada ya hapo sina story nae
Mwanamke mzuri ni yule ntatumia muda wangu kumtafuta .
Kwa nini sasa? Ni weupe tu shida?,Kwanza ni mweupe pee afu simuelewi kabisaaa.
Aiseeeh!! Mungu anirehemu.Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.
Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.
Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
Mwite chap...Mwambie mwenyewe🤸
View attachment 2993305
Huyu ni mwanamke king'ang'anizi
[emoji16][emoji16]Ilinikuta mara mbili.. Ya kwanza huyu binti alikuwa jirani yetu na kiukweli hakuwa mbaya ila bahati mbaya kwake nilikuwa na mahusiano na binti mzuri zaidi yake na alikuwa anajua. Ya pili nilipendwa na JEFUNEBA (jeusi, fupi, nene, baya) na huu unafiki wangu kukataa siwezi nikawa namuonesha mapicha picha lakini alikuwa king'ang'a. (Sikufanya ngono na yeyote kati yao).
Note: binti bikra akikupenda, atakupenda haswaa. Ila huko mbeleni itategemea.
Mmmh...ya mungu mengi Ila sioni kama atanishinda!!kuforce