Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Hata mimi kuna demu namsubiri hapa anipende nianze kumzingua, naona ameshaonyesha dalili zote za kunielewa
 
Ndio hivyo wenyewe wanadai mapenzi hayalazimishwi, wewe hujawahi kuona mtu anapata mwenza anayemjali ila yeye hampendi anahangaika na mtu ambaye wala hamjali ila unakuta yeye ndio kafa kaoza, na hiyo huwa haichagua jinsia wote wanaume na wanawake wanawafanya huo ukiritimba bila kujali hisia za wenzao
 
Hiyo double standard haitakiwi aisee, yaani mwanamke kumwambia mwanaume hampendi au hamtaki mnachukulia kawaida tu, ila nyie mkiambiwa hampendwi mnaona kama matusi vile
 
Daah yani umegusa jambo linalotesa maisha yangu.

Nilitaka kuoa kipindi fulani nilipotangaza uchumba ndo kama nilikua nimetangaza vita kwa wadada, wadada walinichukia wallah, wengine wakanifanyia vitimbi maneno yakawafikia wazaz wake uchumba ukavunjwa pasina kua na kosa, dah.

nishawahi kufukuzwa kazi kisa kumkataa mke wa mtu tena mi ndo nilikua juu yake pale offin, alining’ang’ania nikaona uyu ananizoea sana, nikamchana waziwazi kua asinizoee kumbe ye akaenda kuchange story kwa mme wake et mi ndo namsumbua kila siku kazini namtishia kumtoa pale, wakanifanyia game kwa boss yani nilishtukizwa tu nasimamishwa kazi et nina dalili za corona kumbe ndo ilikua mazima barua zikanifata.

Yan tatizo nakua na moyo wa huruma kwa wengi wao, wao hujua labda ndo upendo,

kama uyu mmoja single mama nilitikea kumpenda mtoto wake wakike sana, sikumoja nikamchukua mwanae nikaenda nae shopping nikamnunulia vinguo na midoli sababu nilikua nampenda mno uyo mtoto, kasheshe ikaja kwa mama mtu, ushikaji wetu ye akauchukulia kua nampenda nashidwa kusema, siku moja akanisogelea sana nikashangaa mtu analeta lips nikaona nikipindisha uso hapa atajisikia vibaya, nikamsupport tuu ili aone kua naweza, yani akalegea kabisa masikini, ikabidi nijifanye namimi nimedata NIKAJIFANYA NIMESIMAMISHA ASIJUE HISIA NILIZIVUTA KWA CRUSH WANGU…! Bas akanianglia akawa ananionea huruma, nikamdanganya kua nawish nilale ila kuna mtoto sio sawa tufanye twende kwangu kumbe nilikua namkwepa najua hawez kutoka kwa ule mda, akanipromise kesho atakuja asijue ata sihitaji aje.

Nimetoka pale njiani najilaani tu, full kuatema mate kama mwehu, nimefika home anapiga simu kama ananidai nikawa namkwepa kiaina, inshort wengi hua naishia kuwatafutia makosa ili niwaache wakiwa hawaoni kua nilikua siwapendi, waone ni walinikosea ndo maana nikawaacha.
 
mimi ni me!
Sijawai kupendwa huwa napenda tu!
Mwanamke afanye kazi yake ya kuniheshimu inatosha!
Nami nifanye yangu ya kumpenda!
Kwa maana ili uwe mwanamke lazma ukuwe na upendo tayari, kinyume chake unakuwa ni kiumbe kingine! Mf kahaba!
Yaan, mwanamke ndo upendo wenyewe!
huwezi kusema upendo unatakiwa kuwa na upendo!!!!
 
Thanks , najitahidi kumpenda.
 
Ndugu yangu acha tu nikwambie ukweli ulifanya ufala
 
Nje ya mada kidogo..... Msimamo wako ni upi juu ya mapenzi ya jinsia moja ?
 
bahati kama hizi mbona hazijagi kwangu?? Daahh!
 
Hiyo double standard haitakiwi aisee, yaani mwanamke kumwambia mwanaume hampendi au hamtaki mnachukulia kawaida tu, ila nyie mkiambiwa hampendwi mnaona kama matusi vile
Mwanaume ujasiri na nguvu za kumwambia mwanamke humpendi mnautoa wapi?? 🤣🤣🤣
 
Dee popote ulipo usinifanyie hivi
Kama hunielewi Uwe wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…