Kumbe hadi mngonoke ndiyo muwe wapenzi!Niliwahi kuwa nao wawili katika nyakati tofauti, ila hatukuwahi kufanya ngono kwa sababu sikuwapenda hivyo niliishia kuachana nao, kwahiyo siwezi kusema walikuwa wapenzi hao sijui mnawaiteje
Binafsi huwa nikipendwa nagopa kukataa huwa naona huruma , huwa naacha mpaka nimfume ata na ka msg kadgo ndio inakua gia .Kutokumpenda mtu siyo kosa, kosa ni kumdanganya kuwa unampenda halafu unakuja kumuacha, bora umuambie mapema msipotezeane muda
Mkuu mbona hamna mahali nimesema nahitaji msaadaWeka wazi tujue tunakusaidiaje
Tena huwa anajitoa kwa moyo woteMwanamke akipenda anakuwa hatari sana
Hapana Itategemea 😀😀Mimi nikiuliza maswali yangu uyajibu bila kupepesa macho🤣
Glady , huyo bila shaka ni mchaga😁😁Alinipenda kupitia stori kutoka kwa jamaa yangu
Jamaa akaniambia afu akanipa namba, tukawa tunadate online tu hata hatujawahi kuonana😅
Baba yake mjeda akamnyang'anya simu
Huyu ndo alikuwa demu wangu wa kwanza aliitwa Glady.
Nan huyu anachezea dodo?Nilimpenda sanaa akanitumia msg ndefu ya kuniacha, nikamuuliza vipi akasema Sina mvuto!
Here I go...!🤸
Next time ukipata nafasi usifanye makosa, ujasiri unakuja baada ya kujaribu kwa mara ya kwanza.Apana kwa kweli sikua na ujasiri wa kufanya hivyo .
Wewe sio msimuliaji Wala mwandishi mzur wa storytellingKwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.
Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.
Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
🤣AiseeGlady , huyo bila shaka ni mchaga😁😁
Sio kila anaehitaji msaada anajua kwamba anahitaji msaada.Mkuu mbona hamna mahali nimesema nahitaji msaada
PoleNilimpenda sanaa akanitumia msg ndefu ya kuniacha, nikamuuliza vipi akasema Sina mvuto!
Here I go...!🤸
🤣🤣sip dem, no bestie au wakuu mnasemaje maana hakumlaAlinipenda kupitia stori kutoka kwa jamaa yangu
Jamaa akaniambia afu akanipa namba, sikumuelewa kivile ila alikuwa mrembo vyakutosha, tukawa tunadate online tu hata hatujawahi kuonana😅
Baba yake mjeda akamnyang'anya simu
Huyu ndo alikuwa demu wangu wa kwanza aliitwa Glady.
Angejua kuna mwamba anaitwa luka humu kafa kaoza 😄Nilimpenda sanaa akanitumia msg ndefu ya kuniacha, nikamuuliza vipi akasema Sina mvuto!
Here I go...!🤸
Ohoo uzi unanitokea puani🤣🤣sip dem, no bestie au wakuu mnasemaje maana hakumla
Sawa mkuuAlinipenda kupitia stori kutoka kwa jamaa yangu
Jamaa akaniambia afu akanipa namba, sikumuelewa kivile ila alikuwa mrembo vyakutosha, tukawa tunadate online tu hata hatujawahi kuonana😅
Baba yake mjeda akamnyang'anya simu
Huyu ndo alikuwa demu wangu wa kwanza aliitwa Glady.
Mkuu kwa dunia ya leo kama tu kuna watu wanafanya ngono, na hawaitani wapenzi wanaitana friends with benefit sijui kulana kimasihara, sembuse ambao hawafanyi kabisa hao si kama kaka na dada tuKumbe hadi mngonoke ndiyo muwe wapenzi!