Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Alinipenda kupitia stori kutoka kwa jamaa yangu

Jamaa akaniambia afu akanipa namba, sikumuelewa kivile ila alikuwa mrembo vyakutosha, tukawa tunadate online tu hata hatujawahi kuonana😅

Baba yake mjeda akamnyang'anya simu

Huyu ndo alikuwa demu wangu wa kwanza aliitwa Glady.
 
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.

Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.

Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
Wewe sio msimuliaji Wala mwandishi mzur wa storytelling
 
Alinipenda kupitia stori kutoka kwa jamaa yangu

Jamaa akaniambia afu akanipa namba, sikumuelewa kivile ila alikuwa mrembo vyakutosha, tukawa tunadate online tu hata hatujawahi kuonana😅

Baba yake mjeda akamnyang'anya simu

Huyu ndo alikuwa demu wangu wa kwanza aliitwa Glady.
🤣🤣sip dem, no bestie au wakuu mnasemaje maana hakumla
 
Back
Top Bottom