Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Umeshawahi kupendwa na Mwanamke usiyempenda?

Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe tunawasiliana.

Mwanamke mwenyewe alikuwa mzuri tu, kwahiyo sikumkatalia nilimkubalia kiubishi bishi lakini kutokana na matendo yangu alijua simpendi lakini hakuniacha, ila mbeleni nilimchana ukweli kama simpendi tukaacha but aliumia sana na mimi sikujali nikapotezea, sasa cha ajabu baada ya muda mrefu kupita ni kaanza kumpenda lakini kwa sasa ameshaolewa ila bado ananipenda nasiwezi kumludia kwasababu kaolewa.

Je, na wewe ushawahi kupendwa na mwanamke usiyempenda? Kama umewahi tueleze ilikuwaje na nini uliamua.
Yupo ndio ila dah akinipigia simu au kutuma ujumbe najisikia vibaya sana halafu ameniambia nikimuacha atajidhuru
 
Nikiwa form three, kuna jamaa aliniomba nimbembelezee mdada fulani anaempenda,

Wakati twarudi shule nikafata nikambembeleza, nadhan kwa vurugu za watu, hakua ananiskia vizuri.

Kesho yake, rafiki yake ananifata ananambia kama mbona sijamwambia siku zote kama nampenda yule dada, hee nikashangaa ila nikaona gari limeniangukia.

Nimamwambia nilikua nahofia, basi akanambia mwenzio amekubali nae anakupenda.

Mapenzi yakanzia hapo, kimbembe ilikua jinsi ya kumjuza jamaa nagu alienituma ..

Itaendelea..
Aliyekuelewa anifafanulie tafadhali
 
Screenshot_20240517-232723.jpg
ik chuma hakijawah kukubal kua sikihitaj uspojibu msg znashuka kama mvua kila anachoongea simwelew kibaya zaid nlpga mara moja hata show yenyew skuielewa sasa yeye ndio kafika 💀
 
Mwaka 2002 niliwahi pendwa na binti ambaye niliamua kutuliza kiu yake.
Baada ya hapo siaonana naye mpaka leo lkn vurugu alizonazo kunisaka utadhani nilimpa mimba.
Ni piga block,hata baada ya miaka 6 ikitokea nikabadili simu akinitafuta lazima anipate na malalamiko mengi.

Miaka ya 2016 nikiwa Tanga kumbe yeye alikuwa Arusha,acha atume nauli kila baada ya miezi miwili,zikaliwa na kuliwa.

Nikapiga block,mwaka jana kanisaka tena, nilivyomtambua tu nika block.

Wewe sasa ni katili kwahili wala sio mjanja hata kidogo 🐈
 
View attachment 2992881ik chuma hakijawah kukubal kua sikihitaj uspojibu msg znashuka kama mvua kila anachoongea simwelew kibaya zaid nlpga mara moja hata show yenyew skuielewa sasa yeye ndio kafika 💀


Acheni kutesa wenzenu bhn upendo upewe thamani yake endapo kuna mtu atakuonesha huo upendo msijisifie kwa mambo ya kishenzi sisi sote ni wapitaji tu na haya mambo yanapita tu kama kweli wewe ni mjanja basi uishi milele usife umalize hata karne moja na nusu hapo utakuwa ni mjanja sababu wote ulio watesa watakuwa wamekufa ila kama na wewe upo sawa na wao tena huenda utatangulia utawaacha hao unao watesa saizi acheni ujinga wala hao wanao hangaika na nyie sio wapuuzi
 
Back
Top Bottom